Search results

  1. BIN NUN

    Maandamanao ya kudai pombe

    Hahahaha eti kujikojolea umemwambia kwa ukali sana
  2. BIN NUN

    Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

    Kiama kitatokea siku ya ijumaa na unasema ijumaa ni siku ya saba kwa kalenda ipi? Kiislam siku ya kwanza ni jumapili Yaum li ahad. Ijumaa inakuwa siku ya sita. Na y Siku ya saba ni jumamosi ambayo ni Yaum sabat.hiyo ya kiama ijumaa ambayo ni siku ya saba ni kwa minajili ipi?
  3. BIN NUN

    Bondia Dula mbabe wa Tanzania ashushiwa kichapo kizito huko Uk

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana eti hakuna kutegea hahaha
  4. BIN NUN

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Acha ujinga [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. BIN NUN

    Ifahamu nchi ambayo haina maskini hata mmoja, wote ni matajiri

    Au sio umeenda google ukaambiwa ni nchi masikini kazi ipo.
  6. BIN NUN

    Msaada: Nimetupiwa kipande nateseka mwaka wa 3 sasa, nahitaji msaada

    Kama utani lakini unaumia hivo. Kufanikiwa kuna hitaji ukomavu na roho ngumu haswaa. Hapo ndo umeingia ulingoni sasa kadiri utakavokuwa unarudia hali yako ya zamani mdo kadiri utapingwa.
  7. BIN NUN

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Utata uko juu yao/yake. Rais alikuwa katika hospital ya jeshi. Rais aliomba kuondolewa katila hospitali hiyo na hakuondolewa mpaka kafa. Rais kaifia hospitali ya kijeshi. Ila utata unaonekana watu wa nje ndo wamemdhuru Rais wakati alikuwa chini ya uangalizi wa kijeshi! Ifike muda tukubali kifo...
  8. BIN NUN

    Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

    Ningeshangaa kutokuta comment yako. Maana ndo mambo yako [emoji23]
  9. BIN NUN

    Utata kuhusu Hadithi ya gharika la NUHU na SAFINA

    Kidogo umekuja kuja.. Hapo kwa spiritual ndo code ilipo. Tena sio code mchezo ni code haswaaa We soma agano la kale zamani walivokuwa wakikosea waliluwa wanatakaswaje kule milimani na kufunga kwa siku 3.. Kuna vitu kuvielewa inahitaji kichwa kisiwe na madeni.
  10. BIN NUN

    Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

    Nina hakika baada ya usiku moja kesho ni fujo. Hasa ikitokea nafsi ako ikihisi unazidiwa na mwenzio... [emoji2211][emoji2211] swaum njema.
  11. BIN NUN

    Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

    Hahaha akili yako inawaza nini hasa! Kushare utaweza kweli!!
  12. BIN NUN

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Gesi kuna wakati wamama huchoka sanaa aisee so unakuta anampa mtoto usiku nyonyo yeye analala mpaka mtoto ananyonya hewa tu. 1.nunua Grip water hii itamsaidia sana. 2.kama unahisi mambo ya uswahili usipewe dawa yoyote mkate tunywele kidogo kichwani mwake kisha hizo hizo nywele zake mfunge...
  13. BIN NUN

    Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

    Swali langu lilikuwa kama kiwakilishi kwa waziri kuwa je na tende wanazotupa zimepimwa!? Au ndo wanaamua kutilisha matango pori tu kisa vita ya kibiashara ya wauzaji wa mchele kutupa taharuki kiasi hicho.
  14. BIN NUN

    Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

    Swali langu lilikuwa kama kiwakilishi kwa waziri kuwa je na tende wanazotupa zimepimwa!? Au ndo wanaamua kutilisha matango pori tu kisa vita ya kibiashara ya wauzaji wa mchele kutupa taharuki kiasi hicho.
  15. BIN NUN

    Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

    Hizo tende na unga wanazogaiwa nazo zimetangazwa zina virutunisho vimewekwa?
  16. BIN NUN

    Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

    Huu mwezi wa Ramadhani wanajitahidi kuleta kila nyuzi .. Sio lazima kuwajibu kwani mkiacha waandike bila kujibu kuna shida!.
  17. BIN NUN

    Ni dhihaka kwa Mungu kualika kwenye futari watu wenye uwezo waliokula milo mitatu

    Kwamba kuna andiko lolote linaloanisha wa kualika katika Futari?
Back
Top Bottom