Search results

  1. S

    Tanzania ingekuwa na 'Serious Opposition' hili la Wafanyakazi kufanywa Mazuzu wa kutopandishuwa Mishahara ingekuwa ndiyo Turufu yao kuingia Ikulu

    Kwelii..inahitajika retrenchment, ili tuwe na watu wachache and very efficient /productive. Mfano Dereva wa mkuu wa mkoa akishamfikisha..anakula tu A/C..kwa nini asiwe pia messenger? Driver cum messenger. Massa zaidi ya sita hazalishi!!
  2. S

    Katika kilimo tunakosea nini hadi tunashindwa kutosheleza chakula chetu?

    Mi naweza kuchangia kwa ufupi... *Kwanza kutoka kizazi cha kwanza hadi cha nne(1st-4th Generation) cha wakulima wetu ni wa kujikimu(peasant) kwa hivyo vizazi ama generation vinarithi mbinu duni za kilimo....unapoja muingiliano na maendeleo ya elimu lazima tu watakidharau. Thinking ya...
  3. S

    Kamanda Sirro, Paul Makonda sio mkubwa kuliko wewe kwenye mambo ya usalama!!

    Kauli za DAB alizotoa 'kabla ya Jumapili atampata ROMA' ni kipimo kuwa system iko corrupted...kwenye Taifa lenye uwajibikaji alipaswa aajibishwe...Sirro yupo stranded sijui kazi gani anafanya!
  4. S

    Kamanda Sirro, Paul Makonda sio mkubwa kuliko wewe kwenye mambo ya usalama!!

    Saluti ni utaratibu na protokali tu za majeshi!! Lakini linapokuja suala la Command,Is something very Sensitive kwa usalama wa Taifa....na ikumbukwe Taifa si Mali ya JPM,Wakuu wa majeshi,DAP wala Mawaziri ni Mali yetu sisi na vizazi vyetu...Hawa watu wanalichezea TAIFA LETU Sana na tumekuwa...
  5. S

    Kamanda Sirro, Paul Makonda sio mkubwa kuliko wewe kwenye mambo ya usalama!!

    Wanajamvi, Nimejaribu kutafakari yanayoendelea katika nchi yetu takribani miezi nane sasa nashangaa sana. Kamanda Sirro wewe ni Mkuu Knda maalum ya DSM ambayo ndani yake kuna mikoa ya kipolisi Kinondoni, Ilala na Temeke. Kamanda wa Dar hawezi kuwa sawa na yule wa mkoa wa Mwanza au Iringa...
  6. S

    Diamond kamuomba Gwajima yaishe

    Diamond ALIPULIWE TU maana hakuna namna nchi haipo serious....mambo ya kibwege tu hii serikali ya hovyo sana DAB angeondolewa haya yote yasingetokea...
  7. S

    Kidono/Vidono

    Kuna jirani yetu mmoja zamani nikiwa mdogo ....cha pombe balaa umri umeenda kidogo(mtu wa makamo).Sasa kuna kijana mmoja alinunua kiwanja mtaani kwetu akajenga mjengo wa maana.!Huyu jamaa alikuwa full nyodo alafu jeuri,mbabe dizain jitu la miraba minne. Sasa siku moja(usiku kama saa sita-saba)...
  8. S

    Kidono/Vidono

    Yaah...Vidono ni utamaduni wa kuchanjia asili yake Buha-Kigoma. Ila kabla unatestiwa kama imekolea kwa kukatwa panga likidunda basi...lakini kama bado ndo nitolee. Mtu huyo anaweza hata kupigana na watu 20 na wakafloat,risasi inadunda,kisu,panga ,mshale havifui dafu.
  9. S

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Mheshimiwa rais JPM atakuwa ndiye rais maarufu Afrika kuliko wote kuwahi tokea katika zama hizi mpya za mawasiliano ya kijamii. Hii ilianza kuchochewa na jinsi Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2015 ulivyofuatiliwa na watu wengi Duniani ambapo "Tanzania Election 2015"ni moja ya neno lilotafutwa sana...
  10. S

    Natafuta gari aina ya volkswagen beetle mjini Dar

    Njoo huku gongo la mboto zip nyingi
  11. S

    CHADEMA wanyimwa ruhusa kutumia Uwanja wa Taifa Kwenye uzinduzi wa Kampeni

    Mbona Magufuri na CCM walikodi ndege ya serikali ktk kujitambulisha mikoani.??
  12. S

    Mkopo wa milioni 5

    Habari Wanajamvi, Nina hitaji mkopo wa Tshs mil.5 kwa ajili ya mradi wangu wa kilimo na ufugaji. Kwa ambaye anaweza nisaidia tafadhali ni PM nita rejesha kwa riba kuanzia mwezi wa nne (April). Natanguliza Shukrani zangu. PAMOJA TUNAWEZA.
  13. S

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Hili jembe nalikubali sana toka chuo NIT (National Institute of Transport). Safi sana Kembo.
  14. S

    Kwa wafugaji wa Sungura na Simbilisi

    Mi nafuga hawa wanyama. Wanatumika kama kitoweo na scientific research. Majina: PIMBI kwa wenyeji wa pwani....contravesial kwa kanda ya ziwa Pimbi ni kiumbe anapatikana kwenye miamba (greenstone belt) na anaitwa" rock hyrax" SIMBILISI ni mikoa ya nyanda za juu kusini. anaitwa kwa kimombo"...
  15. S

    Nahitaji Tissue Culture Banana

    Superb!! what a worth infos..... Thanks mkuu pamoja sana katika ujenzi wa Taifa, Nitayafanyia kazi mawazo, ushauri wenu Ahsante!!
  16. S

    Nahitaji Tissue Culture Banana

    Hakika Giant!! kama vile upo kwenye fikra zangu. Kibiashara lazima uwe na lengo la kuwa na ugavi unaokidhi mahitaji ya soko. Kwa vipando jadi -leo umevuna mkungu mmoja kesho miwili mpaka wiki nyingine. Kwa kweli haina tija kiuchumi!! Bado vipando tishu ni chaguo mosi.Hakika!!
  17. S

    Nahitaji Tissue Culture Banana

    Ahsante Baba Enock; Kwa habari njema nitawacheki hao MARI -mikocheni " Muungwana huenda kwa jirani akitokea bomani kwake". ahsante!!
  18. S

    Nahitaji Tissue Culture Banana

    Mkuu nahitaji kuotesha Pwani. Faida za vipando tishu tofauti na vipando jadi (suckers) ni: *Hukua na kukomaa haraka. *Stahimilivu kwa vimelea na Magonjwa. *Hukomaa kwa pamoja (uniformity) Faida kibiashara. Ahsante Dan,
  19. S

    Nahitaji Tissue Culture Banana

    Aisee!!! Tunahitaji kubadili fikra ili tujikwamue. Katika Tafitishi zangu za chumbani(desk research) nimeng'amua hapa Dar maeneo ya Mikocheni kuna kituo cha kilimo- Mikocheni Agricultural Research Institute nadhani ndicho unamaanisha mkuu!! Nitajongea........
  20. S

    Nahitaji Tissue Culture Banana

    Ahsante sana Mkuu nitakwenda SUA kuona kama wanazalisha na wana-commercialize. Kwasababu tatizo Tafitishi nyingi Tanzania zinaishia kwenye makabrasha. Wadau kiringeni naendelea subiri maoni yenu, Naomba Kuwasilisha!!
Back
Top Bottom