Wanajamvi,
Nimejaribu kutafakari yanayoendelea katika nchi yetu takribani miezi nane sasa nashangaa sana.
Kamanda Sirro wewe ni Mkuu Knda maalum ya DSM ambayo ndani yake kuna mikoa ya kipolisi Kinondoni, Ilala na Temeke. Kamanda wa Dar hawezi kuwa sawa na yule wa mkoa wa Mwanza au Iringa. Haingii akilini Makonda anakuendesha kama gari bovu...kuanzia ishu ya Shisha,madawa,na la utekaji wa akina ROMA.
Chain of command sasa imepotea. Waziri wa mambo ya ndani, IGP hawaeleweki wako kwenye chain ipi.
Makonda kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi haimaanishi akuamrishe kwa maana wewe unaqualify kuingia kwenye kamati hiyo kuwasaidia wana kamati ktk maswala ya ulinzi na usalama ambapo wewe ndio unatakiwa kutoa mwongozo(weledi) sio kuamrishwa nini cha kufanya maana kijeshi kukiwa na channel nyingi za command ni hatari kwa usalama wa Taifa.
Ndio maana Hussein Mwinyi hawezi kuamrisha majeshi kwenda vitani isipokuwa Amri Jeshi Mkuu JPM. Hata majeshi yote huamrishwa tu na Amiri Jeshi kwa mashauriano na wakuu wa majeshi hayo.
SIRRO Watch Out!