Search results

  1. K

    DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

    Mbona hili halijaenda Meeda Bar? Au siku hizi pale biashara hii haipo tena?
  2. K

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Nyumba yenye 5 rooms,Sitting & Dining rooms,Kitchen garama yake inakadiriwa kuwa Tshs.95,000,000.Vijana tunaogopa kujenga lakini ukianza substructure (Msingi). taratibu ukaenda kwa awamu kwa kudunduliza utafika mahali pazuri. Wenu MKADIRIAJI GARAMA ZA UJENZI (Qs)
  3. K

    Mama Janeth Magufuli endelea kulea vijana wetu mwache baba apige kazi

    Nahisi labda kuna tatizo mahali. Kwa nini kimya hivyo.Asionekane kum support kweli?
  4. K

    Gharama za Kuweka Gypsum na Tiles, Nyumba ya 14x11 Mtrs - Dar

    Kwa tiles ambazo ni standard andaa kama Tshs.3,080,000 materials. Labour charge will depend on the negotiation.
  5. K

    Nauza maziwa fresh na mtindi

    Unapatikana wapi? mtu anaweza akapitia hapo pia
  6. K

    UMOJA FUND za UNTIT TRUST OF TANZANIA

    Habari za asubuhi ndugu wadau, kwa mara nyingine tena naomba mnifungue akili kuhusu huu mfuko wa uwekezaji UTT. Ukinunua vipande 61, 600, je vitauzwa ndani ya siku ngapi? Naomba wadau wenye uwelewa wa mengi zaidi wanijuze kuhusu UTT. Thanks.
  7. K

    Hoja yangu kwa HESLB

    Wale ambao ni continuing walio omba kwa mara ya kwanza watajuaje wamepata mkopo? Niko njia panda nisaidieni wajameni
  8. K

    Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

    Navyoelewa mimi kwa wale wenye mzunguka mfupi, siku ya 12 na 13 baada ya hedhi na wenye mzunguko mrefu ni siku ya 14 na 15 baada ya hedhi kidume kinaweza patikana. Ila mwanaume ni vizuri apige mbao yenye mbegu za kutosha
  9. K

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Asante mkomatembo, nimeamini JamiiForums tunasaidiana sana
  10. K

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Habari wana Jamii Forum, Mimi ni kijana nimeoa na tuna mtoto mmoja.Tulihangaika na mke wangu kutafuta House girl baada wa yule wa kwanza kuondoka.Tukaja mpata House girl anapiga kazi kweli kweli, ila tatizo anakojoa kitandani usiku.Naomba msaada wenu nini dawa ya kuacha kukojoa kitandani...
  11. K

    Hakuna haja ya kuangaika na maji ya DAWASCO, chimba kisima kwa bei nafuu sasa

    Ni mita ngapi utapata maji yasiyo na chumvi hapa Dar, mfano maeneo ya Goba
  12. K

    Nafasi za kujiunga na jeshi,jwtz

    Ila usisahau Jeshini kuna Birth Day Suit.Jiandae kwa hilo mkuu
  13. K

    TCU selection hizo!

    Kwani ukiwa na E mbili na S siyo principal pass? Nathani wenye three walio na principal pass watachukuliwa tu, Issue mikopo
  14. K

    TCU selection hizo!

    Kwani ukiwa na E mbili na S siyo principal pass? Nathani wenye three walio na principal pass watachukuliwa tu, Issue mikopo
  15. K

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Ukiangalia na ndio hivyo tume ya kuratibu mchakato wa kupata katiba mpya imeshaundwa. katika tume hiyo angalia walioteuliwa, utagundua kwamba ni lazima wafeve mambo ya OIC na mahakama ya kadhi
  16. K

    Dk Hoseah ateuliwa kuingia katika 'Takukuru' ya kimataifa

    Hivi kweli jamani kuna evidence yoyote au ni redio mbao tu
  17. K

    Ni miaka mingapi inafaa kukaa kwenye uchumba na BF au GF kabla haujaoa au kuolewa?

    Mimi naona swala la kukaa miaka muda mrefu kwenye uchumba hilo si kigezo cha kusema kwamba kutamkomaza mtu kabla ya kuoana.Watu tunasahau,kikubwa awe ni mke mwema aliyechaguliwa na Mungu kwa ajili yake,na umri uwe ni 18yrs and above naamini hapo binadamu anaweza kufanya maamuzi ya msingi katika...
  18. K

    Asiye na mwana aeleke jiwe

    Unajua hapo hata kama akifanya mazoezi ya aina gani hawezi pungua,laba anywe uji asubuhi,mchana na jioni mwaka mzima
  19. K

    The road towards 2010 Elections

    Hello, Katika uchaguzi wa mwaka huu, mimi naona Dr. Slaa anafaa sana hii inatokana na uchungu alionao kwa taifa masikini la Watanzania.
Back
Top Bottom