Search results

  1. GREGO

    Hivi kuna uhusiano gani kati ya mvua na foleni za barabarani Dar es Salaam?

    Mvua ikinyesha watu hawapiti njia za mkato (vichochoro) kutokana na kutokuwa na hali nzuri. Pili kuna wale wenye magari ya kuegesha (yamechoka/lina hitilafu) au wengine hawapendi kutumia/kuendesha magari siku mvua ikidondoka yote haya yanatoka hata anaeogopa kuweka mafuta siku hiyo anapiga...
  2. GREGO

    Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

    Mkuu kwamba kikao kifanyike bar na mbili tatu pembeni😀😀
  3. GREGO

    Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Kuhamia kabla sijaikamilisha, hii ilipelekea kupata wakati mgumu kukamilisha maana familia iko ndani ikabidi nianze kujenga nyumba nyingine inanipelekesha.
  4. GREGO

    Msaada mabasi ya kwenda Arusha toka Dodoma

    Napendekeza hizi kwa kufuata ubora na idadi ya magari Machame (Saa 12, Saa 2 na Saa 7) Arusha Express Ngasere Kuna mengine ukienda Area C utayapata tu akina MJ n.k
  5. GREGO

    Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

    Ukisikia harufu ya ubwabwa porini ujue Nyoka anajivua gamba. Ukimchungulia mtu anakata gogo mzazi wako atakatika matiti Hutakiwi kula ukiwa umelala ngedere watamaliza mazao shambani Ukinyoosha kidole makaburini kitaoza Tulipangwa sana ila ilisaidia kuwa na nidhamu
  6. GREGO

    Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Komaa hapo hapo....usipinduke
  7. GREGO

    Raha ya safari za usiku 12Hrs Dar - Shinyanga

    Sijui Ludewa iliingiaje hapo, ila point yangu ilikuwa niandike watu wa Familia. Kweli uchawi upo :D Ahsante
  8. GREGO

    Msaada: Kutuma na kupokea pesa kutoka nje ya nchi

    Aliopo nje anajiunga kupitia link hii International Money Transfer - Send Money Online | WorldRemit au playstore baada ya hapo anatuma kupitia mitandai ya simu (Tigo wako vizuri zaidi fasta unapokea) au bank na unachukua mpunga kiulaini kwa wakala. Siku hizi kuna Nala ila ni baadhi ya nchi japo...
  9. GREGO

    Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

    Rais anatumia Economy?? Viongozi wateule watumie Economy? Nahisi unatania. Pili, Msafara ukifika huko nje unafirikiri hawatumii magari? Tatu, hujazungumzia perdiem zinalipwa kwa Dola na bado hotel za nyota 5 wa viongozi na wengineo. Nne, umesema Land cruiser V8 lililotumika kama haya yetu...
  10. GREGO

    Urafiki na huyu brother umekuwa ni changamoto sana kiuchumi

    Sijaisoma yote nimeishia kwa mke mdogo ila kwa hii summary aachene na mambo ya huyo Bro atakuja kumliza.
  11. GREGO

    Huyo unayemwita fundi wako ndiye mtu anayekupiga sana huku ukimchekea

    Kwani lazima niende duka utakalonielekeza?
  12. GREGO

    Huyo unayemwita fundi wako ndiye mtu anayekupiga sana huku ukimchekea

    Mkuu kuna uwezekano wa kuja kulia kwenye suala la kubadilisha fundi gari. Fundi nyumba, fundi nguo au fundi vitasa sijui unaweza ukabadilisha ila kwenye vyombo vya moto utakuja kulizwa sio kupigwa tu. Ukiwa na fundi mmoja wa gari ni rahisi kutrack vifaa na rekodi ya gari yako. Mf. Akila masega...
  13. GREGO

    Kwanini unatakiwa kuacha ulevi wa pombe? Hizi ni baadhi ya faida

    Ulevi ni mbaya sana ila pombe ya kiasi ina faida ikiwemo kufahamiana na watu pamoja na kupata konekshen. Niache pombe nivute bangi?
  14. GREGO

    Malengo 2022 ni kuacha kunywa pombe kabisa

    Lazima apate kitu cha kuziba huo muda wa kupiga vyombo.
  15. GREGO

    Yupiteru car remote

    Mkuu ulipata ufumbuzi?
Back
Top Bottom