Etario napata shaka kuhusu akili yako. Madaraka hayapewi mtu yeyote bali ni yule mwenye sifa na mojawapo ni elimu. Wakati nchi inapata uhuru ni akristo wengi walikuiwa na elimu. Chanzo cha waislamu wengi kutokuwa na elimu ni waliozileta dini hapa nchini. Waarabu walileta dini wakajenga misikiti...
Buguruni pole sana. Kweli malezi ya shule hii sifuri. Wanapaswa kutambua muda mwingi wa watoto huutumia shuleni wakirudi ni home works na kulala hivyo walimu wanalo jukumu nkubwa la malezi
Duh hii kali zaidi. Malalamiko ni mengi ila mkuu wa shule akiona yamezidi najua atampa hela kidogo Kibonde wa Clouds FM amsafishe kwenye jahazi kwa maneno ya kipuuzi bila kushughulikia tatizo. Niseme wazi shule ile ina watoto watukutu na wa kukemea ni shule kwa sababu inawezekana home hawafanyi...
watoto wanaoiba wanajulikana kwa wanafunzi na walimu coz saa nyingine wanadokoa wakiwa wanaonekana. Wizi ni haza pale wanapokuwa mapunziko na mabegi wametindika madarasani kwao. Mtoto akitaka kwenda kusema kwa mwalimu anachimbwa mkwara mzito wa kubondwa. Yaani uswahiliiiiii kama zile shule za...
Japokuwa maadili na tabia njema huanzia nyumbani ila shule naamini ina mchango mkubwa wa kuwafunza watoto hayo. Wizi baina ya watoto umekithir shule hii ukimpa mtoto kitu uhakika wa kurudi nacho mdogo. Na watoto kupigana nahisi labda ni mmoja wa michezo shuleni hapo. Nimeripoti kwa walimu na...
Wakati wa msiba wa Mwandishi Mwandamizi wa New Habari 2006 Ltd ilisikiaka ahadi iliyotolewa na mmiliki wa kampuni hiyo Mh. Rostam Aziz kwamba ataendelea kumlipa mke wa marehemu mshahara wa Danny kwa miaka mitano na pili atasomesha watoto wa Marehemu mpaka kufikia chuo Kikuu. Vyombo mbali mbali...
Mbona kama stori ina mkanganyiko saaana na umbea mwingi. Hamuoni kama Huyo Rugobonzibwa ndio kauza hiyo stori kwenye magazeti? yeye alikuwa hapati maslahi kusimamia IPTL?
je mh Rostam kaitema hii kampuni?
Sababu ya swali langu ni sababu hali ya kampuni kila kukicha inazidi kuwa tete
- Mshahara miezi zaidi ya miwili haijalipwa sasa?
- Madeni ya kodi yanazidi kuisumbua kampuni japokuwa naye aliiandika IPP lakini hali kwake ni tete zaidi na Majembe na TRA...
Nasikitika who cares unachangia mada usiyoielewa vizuri na sioni hata cha kukujibu sababu ungekuwa unasali hapo maswali yote ungejijibu. Naomba tena usivamie mada.
Labda nikwambie moja tu kuhusu hela ya kutosha kama ipo au la. Nina uhakika ipo na kila msharika anajua na kuwa na uhakika na hilo...
Kwangu mimi ujmbe utakuwa umefika na naamini something will be done. For you it is very low that is why your brain is at ICU but to others it is making some sense. God bless you
Kuna ujenzi unaendelea katika kanisa hili ila tatizo kubwa limekuwa ujenzi umekuwa hauendi katika speed inayotakiwa japokuwa hela ya kutosha ipo ya kazi kuendelea
Ujenzi umesimama kwa muda sasa na hatua hata ya kuweka madirisha haiendelei tena na uongozi wa kanisa hausemi lolote.
HELA ZIPO...
Naamini kwamba Tanzania imejaliwa kuwa na dini mbili kuu na kila moja ikiwa na madhehebu kadhaa. Kwa upande wa dini ya kikristo ninayoijua zaidi kuna madhehebu mengi ikianzia KKKT, RC, Anglican, AG na ministries kama kwa Kakobe, Mwingira, Mzee wa Upako, Ndegi, Sloam, Agape kwa Fernandez. Naamini...
Poleni waungwana. Na kama leo hakuna dalili it means ikifika monday wanakatiza mwezi hivyo tarehe 45.
Mzee RA mambo Bungeni si yameisha fresh, awacheki washkaji basi au ndio kawasusa jumla
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.