Nini mustakabali ya new habari(2006) ltd- gazeti mtanzania

jongoo

Member
Feb 10, 2010
17
3
je mh Rostam kaitema hii kampuni?

Sababu ya swali langu ni sababu hali ya kampuni kila kukicha inazidi kuwa tete

- Mshahara miezi zaidi ya miwili haijalipwa sasa?
- Madeni ya kodi yanazidi kuisumbua kampuni japokuwa naye aliiandika IPP lakini hali kwake ni tete zaidi na Majembe na TRA hutembelea mara kwa mara
- Wafanyakazi walio makini wameanza kutimka
- Dela uchapaji magazeti kule Jamana printers linaisumbua kampuni
-NSSF na PPF wanaikaba koo kampuni kudai makato ya wafanyakazi-
- Wadeni wengine naoi wako juu

ROSTAM VIPI? TOA MSIMAMO WAFANYAKAZI WANATAABIKA
 
Jamaa anaangalia upepo, kama haujatulia anachapa mwendo na wale wenzangu na mimi walioharibu CV zao kwa kuacha maadili ya uandishi na kuwa kasuku ndo itakuwa imekula kwao. Maana nani atawaajiri tena akina Mapunda! raha kwelili kweli!
 
Back
Top Bottom