Search results

  1. mwanaapolo

    Utumishi wa umma msalabani

    Ndugu watumishi wa umma, Tunaendelea kupita katika kipindi cha kheri na shari, Heri ya Mwaka Mpya! Kama inavyoonekana kuna wanaopata ubatizo wa maji na wengine ubatizo wa moto. Ni usawa wa kulimia meno. Tujikaze. Tuko katikati ya vita vya shetani, ibilisi na zimwi. Kila kundi likishangilia...
  2. mwanaapolo

    Mfumo wa Rais Unatengeneza Kundi Jipya la Janjajanja na Wala Nchi kwa Mgongo wa Kuisaidia Serikali

    Unajua wakati raisi anaingia madarakani nilijua kuwa ndio wakati hakuna mtu yoyote atatia mkono kwenye bakuli la nyama la serikali na kujichotea minofu, hakuna mtu atapata "upendeleo" kutoka serikalini, hakuna mtu atafanya mambo kwa nyodo kwani serikali ya awamu ya 5 haina...
  3. mwanaapolo

    Nahitaji Kujua biashara ngapi zimefungwa 2015/16?

    Mwenye takwimu sahihi naomba kujuzwa biashara ngapi na gani zimeshindwa 2015/16 na kwa nini tafadhali? Je Tanzania ni nchi rafiki kwa Start-up business? au nikawekeze Rwanda na Kenya? Vipi mikopo inapatikana ki urahisi kutoka kwa taasisi za fedha? Biashara gani zinafanya vizuri, hasa kama una...
  4. mwanaapolo

    Bongo Movie Filamu million 8 kwa miaka miwili

    Maneno yanayoonekana katika account ya Mh. Zito Kabwe ni kuwa kiwanda cha filamu Tanzania kimefyatua kazi 8milion kwa miaka miwili huku wastani wa siku ukiwa ni filamu 11. Huku kodi ya zaidi mili 300 ikilipwa. Swali ni, je hiki kiwanda kinakufa au kinakua? Nani ananufaika na nani anaumia...
  5. mwanaapolo

    Mkutano kati ya TCRA na vyombo vya habari Tanzania nzima

    Vyombo vya habari TV (28) & Radio (95)viko mkutanoni sasa hivi Mlimani City. Wanajadili jinsi gani vyombo hivyo vinatakiwa kufanya wakati wa uchaguzi 2015. Kali ya zote, TCRA wasema Radio Uhuru sio ya CCM kama hamuamini nendeni "brela". Vyombo vya habari vimechachamaa pale wanapohisi TCRA...
  6. mwanaapolo

    Mtu yeyote anaweza mfungulia Sitti Mtemvu mashtaka

    Msikilize Mwanasheria akielezea juu ya sheria inasema nini endapo Sitti Mtemvu akikutwa na hatia ya kudanganya umri. Nilicho shangaa ni kuwa mtu yeyote anaruhusiwa kumfungulia mashtaka Sitti endapo kamati ya Miss Tanzania na Ritta watashindwa/watapotezea. Nimesikia through Radio 5 ya Arusha...
  7. mwanaapolo

    Radio 5:Meja Joseph Masawe asema Diamond hana ruhusa ya kutumia nguo za Jeshi

    Nasikiliza kipindi cha Afrika Ngoma kutoka Radio 5 FM nikaweza kurekodi sehemu ya interview kati ya mtangazaji wa kituo hicho na Meja wa JWTZ, Meja Joseph Massawe. Kinacho onekana ni kuwa Naseeb Abdul amevunja sheria za nchi kwa maana hiyo tusubiri Jeshi kutekeleza adhabu juu ya sheria...
  8. mwanaapolo

    Kansiime, Fred Omond na Mc Pilipili ya shughuli Leo Golden Tulip

    Ngoja nijinoe mbavu kwani baadae Golden Tulip itakua ni "sheedah". Jana niliwashuhudia wachekeshaji Anne Kansiime, Omond na Mc Pilipili katika vyombo vya habari. So, leo ndio leo inabidi nikaitendee haki 90000 yangu. Ukihitaji live updates nicheki PM!
  9. mwanaapolo

    Heee! Mtwara bado wana machungu?

    Kuna msemo usemao "mla ndizi husau, mla ganda ...." Nilisahau kuhusu "the gas saga" ila wana mtwara wamenikumbusha baada ya leo kufunga biashara zao na usafiri wa uma kuwa enzi waliopoteza uhai, kupigwa pamoja na mali zilizopotea. Sasa Mama Salma Kikwete anaweza furukuta kama watanzania hawa...
  10. mwanaapolo

    CCM inataka bajeti kwa ajili ya kufatilia utekelezaji wa Ahadi yake

    Kama masikio yangu yapo vizuri namsikia Lukuvi akisema, lazima pesa milioni mia kadhaa (nimesahau kidogo) ipatikane kwa ajili ya kupitia utekelezaji mapitio ya Ilani ya CCM. Juu yake inahitajika milioni 80 kwa ajili ya kununua Rav4 mpya kwa matumizi ya kiofisi. Ni sawa CCM kupatiwa fedha...
  11. mwanaapolo

    Yoyote mwenye kuwafahamu Shugulika Recruitment Agency

    Wakati napitia hotuba ya raisi ya 01/05/2014, nikaona maelekezo juu ya kusimamisha makampuni yanayo dalalia ajira hapa nchini. Nikaanza kuyasaka hayo ma- recruitment agencies. Mara nikaona hawa jamaa wanaitwa Shugulika Recruitment Agency, jaribu kuchimbua nikaishia kwa website yao tu...
  12. mwanaapolo

    Uhai production imetoa majina ya waliofaulu usaili?

    Naomba kuuliza wale waliofanya usaili tarehe 6&7 March 2014, kuna aliyepigiwa simu kuitwa au kujulishwa?
Back
Top Bottom