Search results

  1. keynessian

    Naomba ufafanuzi kuhusu haya mabaka yaliyonitoka mabegani

    Habari za wasaa huu, Leo nimeshtukia kuna hivo vitu vinaendelea kwenye mabega yangu. Siwashwi wala sijiskii chochote Imetokea sehemu zote mbili za mabega. Hii inaweza kuwa tatizo gani. MREJESHO Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. keynessian

    4 USED FREEZERS

    Husika na kichwa cha habari hapo juu Nahitaji mafreezer used ya futi 5, kama unayo tafadhali ni PM
  3. keynessian

    Interview DFID

    Wakuu niliaply post ya financial analyst B1 iliyotangazwa hapa katikati Nimeitwa kwenye interview Ningependa kufahamu kama kuna mtu mwenye uzoefu wa hizi interviews naomba anisaidie walau tips. Regards Sent using Jamii Forums mobile app
  4. keynessian

    SAMSUNG S7 egde

    Imetumika week 1 tu Bei 850k Whatsup 07495855940 Niko Dar. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. keynessian

    I phone 6s 64GB

    Wakuu natumaini mko salama Nahitaji simu tajwa hapo juu Nina 500k Kama unayo tafadhali njoo PM
  6. keynessian

    Lowassa kusamehe walionufaika mikopo ya HESLB

    Habari njema kwa wanufaikaji wa mikopo ya HESLB
  7. keynessian

    Mgombea ubunge Jimbo la ubunge akamata zaidi ya kadi 100 feki za kupiga kura

    Mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chadema, Saed Kubenea akionyesha baadhi ya kadi 100 za kupigia kura ambazo hazina taarifa zilizodaiwa kukamatwa hivi karibuni. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) ambaye pia ni mgombea wa Kawe, Halima Mdee. Wagombea hao walidai...
  8. keynessian

    Waraka wa wazi kwa Prof. Ibrahim Lipumba

    Habari za wasaa huu mchumi mwenzangu Lipumba, Tunaheshimu uamuzi wako wa kujiuzulu uliouchukua hivi karibuni, ni simanzi kubwa kwa wanaharakati wa mabadiliko nchini. Kitendo hichi mpaka sasa kimezua maswali maswali mengi kuliko majibu,kimefanya juhudi zako zote za kupigania mabadiliko kuwa...
  9. keynessian

    Mpango wa UKAWA wajulikana

    Habari wanabodi, ni matumaini yangu mnaendelea vizuri, Imefahamika kwamba ukawa wanasubiri ccm ipitishe mgombea wake na atoke kwenye wale makada sita waliopo kifungoni, baada ya hapo watamshtaki mgombea huyo kwa sheria ya uchaguzi ya mwaka 2010, Ikumbukwe kwamba sheria hii inakataza kuanza...
  10. keynessian

    Hahaha this is funny

    Hahaha
  11. keynessian

    Hahaha,This is funny

    Hahaha
  12. keynessian

    People nowdays

    Inasikitisha
  13. keynessian

    Ebola ni noumah

    Prevention is better than cure
  14. keynessian

    Civil engineer's wedding

    This is funny,,,
  15. keynessian

    Hii ni Hatarii,, usiruhusu ikitokee

    Jaman my fellow men,,tufanyeni mazoez,tusile sile ovyo ili ni Janga
  16. keynessian

    Iringa oyeee

    Iyo breakfast safiii sana
  17. keynessian

    An Opportunity for Economists

    Kama umesoma BA Economics UDSM na una GPA kwanzia upper second peleka CV yako na barua pale career centre pale UDBS, wanahitaji watu 10 kwa ajili ya ajira na 40 kwa ajili ya internship CRDB.
  18. keynessian

    When a girl mary an engineer

    Huyu mdada anajutia hii ndoa
  19. keynessian

    Tv kwenye Laptop/Computer

    Habari wadau,, nlijua naomba kufahamu Kama inawezekana kupata huduma ya tv kwenye Laptop yangu, NB,, sio online tv
  20. keynessian

    CFA exams

    Habari za apa wanajamvi, naomba kujuzwa mitihani ya cfa,, chartered financial analyst hapa Tz inafanyika wapi? Na utaratibu ni upi kwa mtu mwenye degree ya economics au finance,, Thanks in advance!
Back
Top Bottom