keynessian
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 590
- 423
Habari wadau,, nlijua naomba kufahamu Kama inawezekana kupata huduma ya tv kwenye Laptop yangu, NB,, sio online tv

nunua tv card mkuu!
kwa ulimwengu huu wa ving'amuzi tv card zinafanya kazi kweli?