Bone see saw for sale
EASY POWER....ITALIAN DESIGN
BEI: MILLION MOJA( imetumika mwez mmoja tu)
Napatkana Dar 0766775599
Sent using Jamii Forums mobile app
Fact.....siku ukiamua kufanya biashara, siku za mwanzoni unaweza kulaza familia njaa, coz your target ni kuimarisha biashara yako/zako. Same applies to Magu, kaanza na kuimarisha shirika la ndege, tusitegemee kupata matunda kipindi hiki hiki it will take time. Tunategemea utalii utaongezeka...
Kwa suala hili mimi namuunga mkono. Kuna wakati misaada kutoka nje itakata. Anachojaribu kufanya ni kutengeneza economic freedom.....midege itazalisha tutapata pesa ya kusambaza maji, ingawa itachukua muda kidogo. Ndege ni assets, as shirika likiendeshwa vizuri litaongeza pato la taifa.
Kuisha ndani ya siku 2 so tatizo, bali tatizo ni kama imemalizwa na mambo yasokuwa ya msingi. Mi nakumbuka niliwahi kumaliza hela yangu ya field ndani ya siku 1 [emoji23] lkn sikujuta maana hela yote ilitumika kuongeza assets ambazo zilikuja kunisaidia kwa baadae nilipomaliza chuo.....so tumia...
Miaka 4 iliyopita, wakati niko mwaka wa tatu chuo......nilikuwa inspired nikaamua kuzichungulia fursa kwenye kilimo cha ufuta, huko Mahenge Morogoro. Mategemeo yangu yalikuwa makubwa mno. Nilikodi hekari 5, baada ya hapo nilichokishuhudia ningekuwa na presha ningekufa. Mvua ilinyesha sana msimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.