Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

Nami pia nna neno kwa Harmonize popote utakapoenda tambua kuwa kuna watu wanakesha usiku na mchana kutaka kukushusha na kuzishusha kazi zako hata utoe nyimbo kali hawawezi kuisapot so be carefull
 
Wimbo uko 1 on trending huko YouTube lakini hapa wanaomchukia konde boy wanakuja kusema trending or viewers wengi haimanishi wimbo ni mkali..
Ila wao wakitoa wimbo ukawa 1 on trending na kua viewers weng basi wanaamini wimbo wao ni mkali sana
 
Hili ni tatizo sawa na ndoa za vijana wakileo,wakishaoana...mke anaanza kumlinganisha mume wake na ma X wake,vivyo hivyo na mume naye anamlinganisha mkewe na ma X wake,matokeo yake ndio kusikia maneno BWAWA NA KIBAMIA
Iko Hivi, Harmo wimbo wowote atakao toa sahivi watu watakua wana compare na enzi akiwa WCB.

Hapo ndio Tatizo.
 
Nimeshangaa kwa kweli Harmonizer kuimba nyimbo isiyo na maadili namna hii. Nimezoea nyimbo zake sina meseji nzuri. By the way nilipoona UNO nilijua Numero Uno. Nikajua ina ujumbe wa kuwa number one. Kumbe upuuzi mtupu. This is not Harmonizer I knew.
 
Back
Top Bottom