Search results

  1. Butola

    Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

    Kwahiyo medicine ikikuelewa unakaa sawa?
  2. Butola

    Hivi PJ, mtangazaji wa Clouds FM, alienda wapi?

    Kweli nimeanza kuzeeka maana sijaelewa unachomaanisha.
  3. Butola

    Mfalme wa Oman Hytham akiwa Dar Es Salaam enzi za ujana wake

    Ni mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa Sudan Kusini, John Garang, lakin yeye na Mama yake wamekuwa wakimpinga sana Rais wa sasa, Salva Kiir, na kumuunga mkono aliyekuwa Makamu wa Rais, Riek Machar. Baada ya Makamu wa Rais kurudi masituni kupambana, jamaa nae akarudi msituni akiwa msemaji wa waasi...
  4. Butola

    BBI, Handshake breakdown Ruto and Uhuru relations

    Wakalenjin ni kabila kubwa, kumbuka chaguzi mbili zilizopita kolabo ya Wakalenjin na Wakikuyu ilikuwa na 45% ya Wapiga kura. Kwa sasa kinachowasumbua wakongwe ni namna gani ya kumtenganisha Ruto na wapiga kura wa Mount Kenya, Wakikuyu. Mpaka sasa hilo halijafanikiwa ukizingatia kuwa kwa Wakikuyu...
  5. Butola

    Heche Mwenyekiti na Lema Katibu Mkuu CHADEMA

    Mbowe angeheshimika sana kama angetoka wakati wa uchaguzi wa chama uliopita wakati chama kilipokuwa kwenye peak. Hakuutambua wakati wa kutoka na kuachia damu mpya. Ukweli uwa unachelewa lakin hatimaye imeanza kuwaingia.
  6. Butola

    Raia wa Africa Kusini wanaweza kuwa sahihi

    Nilichojifunza hapa ni kuwa kibali ni ghali sana. Kwa spirit ya Umoja wa Wana Afrika Mashariki ni vyema kibali vya kuishi na kufanya kazi kwa mtu wa ndani ya Afrika Mashariki viwe chini, walau Laki 5 mpaka million 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.Kosa la Wajinga wachache huko...
  7. Butola

    ITV mnachotufanyia kwenye Isidingo is not fair at all. Msitufanye tuanze kumkumbuka Mzee Reginald Mengi this soon!

    Pascal Mayalla kwanin ujipe shida na kupangiwa ratiba? Kwanin usijipakulie mwenyewe kwa muda wako? Isidingo tena ya ITV ipo nyuma sana, jiangalizie kwenye channel SABC 3, chagua episode uliyoishia, songa mbele.
  8. Butola

    Dubu: Mnyama anayependa kuogelea kwenye maji ya barafu, lakini ni hatari mno

    Haa ha ha anaweza kukusamehe na kukupotezea.
  9. Butola

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Rakims ebu dadafua vizuri jinsi ya kujua nyote yako kama tarehe ya kuzaliwa na jina zipo makundi tofauti, dafafua kuwezesha mtu kucalculate na kupata nyota hasa ni ipi.
  10. Butola

    Rais wa DR Congo ateua Waziri Mkuu mpya

    Kwa kuwa jeshi ni la Kabila hawana namna ,lazima watakuwa na nidhamu kwa Kabila;
  11. Butola

    Ugomvi wa mali wamsukuma bilionea kumkana mtoto wake. Ni ugomvi wa Ukurugenzi wa MOTISUN Group

    Hata Baba yawezekana sio zake, yawezekana ni mali za ukoo za urithi tu, ataendelea kubanana na dogo.
  12. Butola

    Aggrey Mwanri: Mungu amshukuru Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayofanya

    Rais Magufuli ni mcha Mungu, anamheshimu Mungu na anamtanguliza Mungu mbele kwenye kazi yake ya urais. Ukiisikiliza hotuba nzima ya RC Mwanri utauona ipo vizuri, ni kosa tu la uchaguzi wa neno moja ambalo yawezekana limetokea kwa bahati mbaya.
  13. Butola

    Israel:No country for black people

    Duh basi Wa Israel wana huruma sana na ni mfano wa kuigwa kwa kumlipa kila mhamiaji haramu Dola za Marekani 3,500?? Million 8 hiyo.
  14. Butola

    Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

    Waliishacheza, wametoka 1-1.
  15. Butola

    Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

    Duh na paketi ya pili ndio wanamalizia hivyo, vumbi la Congo!
  16. Butola

    Kangi Lugola mshirikishe IGP katika maamuzi ya utawala

    Vyeo walivyotumbuliwa.
  17. Butola

    Kangi Lugola mshirikishe IGP katika maamuzi ya utawala

    Hivi kweli angekuwa amemshirikisha IGP hao Makamanda aliowatumbua mpaka sasa wangekuwa kazin?ni common sense tu.
  18. Butola

    Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

    Kwa hili nipo na Rais Magufuli, zije mtaani zizalishe badala ya kukaa tu.
Back
Top Bottom