Search results

  1. Dreamliner

    KERO: Mabasi ya ABOOD kujaza abiria kupita uwezo

    Leo nimesafiri na basi la ABOOD kutoka Morogoro namba T818_____ lililoondoka saa 6.00 mchana. Mambo ya ajabu niliyoyaona na nikikuwa ninayasikia kabla ni kujaza abiria kupita kiasi, wengine hukaa pale mbele karibu na driver, wengine wanachuchumaa kwenye corridor, kama hakuna dalili za askari...
  2. Dreamliner

    TAHADHARI: Wizi kwa unaempa lift

    Wadau.. Mfanyakazi mwenzangu, ameibiwa LAPTOP baada ya kuwapa lift watu watatu, mmoja akiwa ni mwanafunzi FAKE. Alikuwa anatoka maeneo ya MAJOHE asubuhi kuelekea maeneo ya Gongolamboto halafu kibaruani. Alipofika Relini, Watu wawili na mwanafunzi FAKE wakaomba lift. Jamaa alipoona na mwanafunzi...
  3. Dreamliner

    CHEMSHA AKILI yako utoe jibu.

    Nguo inauzwa sh. 10,000.00 wewe huna pesa ukaamua kukopa kwa dada sh. 5,000.00 na kwa kaka sh. 5,000.00 ukapata sh. 10,000.00. Ukanunua ile nguo kwa sh. 9,700.00 na ukarudishiwa sh. 300.00, Ukaamua kupunguza deni, ukatoa sh. 100.00 kwa dada na sh. 100.00 kwa kaka. ukabaki na sh. 100.00. Hivyo...
  4. Dreamliner

    PRECISION AIR taabani

    Safari za Kampuni ya ndege za Precision Air zimesimama jioni hii baada ya kuwa na deni kubwa la mafuta kutoka PUMA. Wauzaji hao wa mafuta walikataa kuwapa mafuta PW mpaka walipe deni la nyuma ambalo halijajulikana ni kiasi gani. Abiria waliokuwa waondoke saa 10 jioni hii, kuelekea Nairobi...
  5. Dreamliner

    Majambazi yapora PESA Muhimbili National Hosp

    Majambazi wenye silaha za moto, wamepora kiasi kikubwa cha pesa Muhimbili National Hospital muda mfupi uliopita. Wakiwa na bastola 2 na pikipiki, walifyatua risasi 2 hewani karibu na mgahawa uliopo ndani jirani na wards za Mwaisela na Kibasila na kuondoka na kitita hicho cha pesa kwa ulaini na...
  6. Dreamliner

    Hivi huyu ni MZAZI kweli?

    Tunaishi na Msichana wa kazi karibu miaka 2 sasa, Mwezi huu my wife wangu alifiwa na shangazi, hivyo tukaenda kwenye msiba kwao. Ambako ndio anakotoka binti yetu. Nikamwambia Wife ni muhimu twende kwao na binti. Bahati nzuri tulimkuta Mama yake Mdogo... Ambapo yeye husema Mama yake mzazi...
  7. Dreamliner

    Elections 2010 Uchachuaji ulianza mapema!

    Jamaa waliona maji yameshazidi unga! Hapo inakuwaje
  8. Dreamliner

    Amfumania mke wake 'live' fundisho.

    WEWE ungefanyaje/.. REAL story... Baada ya kufunga ndoa takribani miezi 6 hivi, jamaa yangu wa karibu alihisi kusalitiwa kwa ndoa yake. Akafanya mtego na siku hiyo kama kawaida aliaga anakwenda kwenye biashara zake mkoani. Mke akamjulisha X B/F wake kama kawaida yao. Ilipofika saa 2 usiku...
  9. Dreamliner

    Bwana na Bibi ni mtu na Dada yake....

    Wakuu heshima mbele.... Jirani na ofisini kwetu, kuna bwana mmoja ana kampuni yake na ana wafanyakazi kadhaa anaowamiliki. Dada yake (wa mwisho kuzaliwa kwao) ni katibu muhtasi wake na ndio wenye kampuni hiyo.. Kibaya zaidi, hawa watu ni mwaka karibu wa 10 wanatembea (kumegana) Mwanamume...
  10. Dreamliner

    Maisha ya kila siku ya ndoa.

    Wana JF tusaidiane hili! je tatizo liko wapi? Ina maana wan ndoa tunakuwa tumezoeana sana?
Back
Top Bottom