Majambazi yapora PESA Muhimbili National Hosp | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majambazi yapora PESA Muhimbili National Hosp

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dreamliner, Jun 13, 2011.

 1. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Majambazi yenye silaha za moto, yamapora kiasi kikubwa cha pesa Muhimbili National Hospital muda mfupi uliopita. Yakiwa na bastola 2 na pikipiki, yalifyatua risasi 2 hewani karibu na mgahawa uliopo ndani jirani na wards za Mwaisela na Kibasila na kuondoka na kitita hicho cha pesa kwa ulaini na kuwaacha wananchi waliokuja kuwaona wapendwa wao wengine wakizimia na wengine wakilia. Tunachojiuliza, je walinzi wa magetini wanafanya kazi gani? Maana majambazi hao wamepita kwa ulaini kama kwao.
   
 2. S

  Sharp lady Senior Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wadau!

  Kwa taarifa za uwahika nilizonazo majambazi wamevamia mapokezi ya Muhimbili asubuhi hii kwa lengo la kuiba fedha zilizokuwa zinapelekwa bank. Mwenye taarifa zaidi naomba utujuzi.
   
 3. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hata mimi nimesikia ila bado sijadhibitisha,naendelea kufuatilizia.
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Inawezekana ni mpango uliosukwa mahususi ukihusisha hadi walinzi na watu wanao jua kuwa pesa zipo hapo.

  Pia inawezekana hayo majambazi yaliona weakness ya getini
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  wamemua askari mmoja.lakini siyo police.ni wale askali wa mhimbili.wametoka napikipiki ikiwa na watu watatu.anayeendesha na wengine wamebebwa.wale askali wa getini wamestuka pikipiki inatokea ndani walikua hawajui kama kuna wizi unaendelea ndani.
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,058
  Likes Received: 6,505
  Trophy Points: 280
  Wizi mwingine ni laana hadi hosp. inatisha kweli kweli.
   
 7. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kazi kweli kweli
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  aiseee......mahali pengi sana walinzi wa magetini ni kama mapambo tu...hakuna lolote......sasa wameua askari na kupora pesa......
   
 9. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Inasemekana wamepora makusanyo ya weekend baada ya kutonywa na watu wa uhasibu. Ni inside job.
   
 10. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Acha tu! Saa hizi ndio askari kanzu wamejaa!
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Poleni sana, ngoja tusubirie Longolongo za Kova
   
 12. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni habari za kweli ambazo zimetokea mihimbili,na kuna mlinzi mmoja amepigwa risasi yupo ICU,ila lazima kutakuwa na taarifa zilivuja kabla ya tukio maana jamaaa awawezi kukulupuka tu.
   
 13. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wazee wa kuunda tume isiyo kuwa na majibu,utawasikia tu maana ni zaidi ya longolongo.
   
 14. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huo ni mchongo wa ndani waasibu na walinzi,watz tunagraduate kuiba
   
 15. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Taarifa za kuaminika zinabainisha kuwepo uporaji wa mamilioni ya pesa kwenye hospitali ya Taifa
  ya Muhimbili leo asubuhi ambapo majambazi hayo yamemuua askari polisi aliyekuwa akilinda baada
  ya 'kukomaa'. Baada ya tukio hilo na majambazi na kisha kutoweka, ulinzi mkali umewekwa eneo hilo.
   
 16. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ina maana majambazi huwa hawaugui???? lete source.
   
 17. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Sasa ulinzi mkali ulihitajika kabla ya tukio au baada ya tukio?
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Muhimbili sehemu gani? Ndani ya hospitali au maeneo ya muhimbili?
   
 19. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Inawezekana kabisa, ila kuhusu walinzi, pale hakunakitu kazi yao ni kugawa na kupokea cards za magari tu.
   
 20. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Pole sana kwa polisi aliyeuawa. Huyu inawezekana ni mmoja ya polisi wachache waaminifu kwenye kazi yao. Hayo mamilioni yameporwa hospitalini au bank? Hospitali mamilioni yametoka wapi? Na huo ulinzi mkali unawekwa kwa ajili ya nini na hali majambazi washakwenda?
   
Loading...