Search results

  1. C

    Prof. Lipumba asema haungi mkono hatua ya Mbowe kusoma hadharani barua aliyomwandikia Rais, adai CUF haitasusia Uchaguzi katika Mazingira yoyote

    Hatua ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Taifa, kusoma hadharani barua aliyomuandikia Rais John Magufuli, imekebehiwa. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF – Taifa amekejeli hatua hiyo na kusema...
  2. C

    Rais Magufuli, Barrick na Nasaha za Profesa Zartman*

    _Na Mwamba wa Kaskazini_ Bingwa wa masuala ya utatuzi wa migogoro duniani, Profesa William Zartman amewahi kueleza nadharia yake inayoshadidia wakati gani ni muafaka kuumaliza mgogoro unaoumiza pande zote mbili. Katika nadharia yake aliyoiita “Mutual Hurting Stalemate,” Prof. Zartman anasema...
  3. C

    Yaliyojiri wakati Rais akizindua hoteli ya nyota tano ya Verde leo Januari 11, 2020 Zanzibar

    Leo ni siku muhimu kwa maendeleo ya taifa letu hasa kwa uwekezaji huu mkubwa uliozalisha ajira zaidi ya 200. Miradi kama hii inadhihirisha tunajikomboa kiuchumi. Hoteli hii yenye hadhi ya nyota tano inachochea kukua kwa uchumi, hongera muwekezaji Umenifurahisha umelipa kodi toka ulipoanza...
  4. C

    Zitto Kabwe kuondoka jimboni kwa hiari au kwa kuondolewa?

    Je, ataondoka mwenyewe au atasubiri kuondolewa? Zitto ni mwanasiasa mzuri sana katika masuala yahusuyo siasa za kimajimbo hata kitaifa, Zitto ni mwanasiasa kijana kwa umri wake lakini pia ni mwanasiasa mwenye uwezo mkubwa wa kusoma upepo. Zitto ameliongoza jimbo la Kigoma Kasikazini kwa...
  5. C

    Tanzania, Democracy in Action: As Millions Elect Local Government Leaders Today

    Correspondent, Asia Cronicle, NAIROBI, Kenya More than 19 million Tanzanians are today out on ballots casting their vote to elect local government leadership; a demonstration of democracy from the grassroots. The election is expected to be peaceful as is the tradition in Tanzania; East...
  6. C

    Star Tv: RC Paul Makonda akiwasilisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Mkonda yuko mubashara Star TV akiwasilisha utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2015-2020 kwa mkoa wa Dar es Salaam. Mgeni rasmi ni Katibu Mkuu wa CCM,Dkt. Bashiru Ally.
  7. C

    Hujuma yoyote kwa mali ya umma ni kutishia maslahi ya taifa

    Maslahi ya taifa ni malengo, matarajio na uhitaji uliowekwa na taifa husika kufikia hatua bora zaidi katika masuala ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni ambayo kwa namna yoyote yakiathiriwa yanabadiri ama kuchelewesha uelekeo chanya wa taifa husika. Maslahi haya yamegawanyika katika...
  8. C

    Air Tanzania katika vita ya kiuchumi na kisa cha vikwazo vya Marekani dhidi ya Cuba na China

    Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) aina ya Airbus A220-300 imeendelea kushikiliwa nchini Afrika ya Kusini kwa siku ya 9 sasa tangu iliposhikiliwa kwa amri ya Mahakama Kuu ya Afrika ya Kusini mjini Gauteng. Ndege hiyo inashikiliwa kufuatia kesi aliyofungua Mkulima wa Kingereza Hermanus...
  9. C

    Mchakato wa Mohammed Dewji kurudi uraiani kamwe hauwezi kuwaacha salama Mambosasa, Sirro, Robert Boaz na mzee Gulam Dewji

    Zile kauli za awali kwamba Watekaji ni Wazungu, Taarifa ya Picha za CCTV zenye utata na wasiwasi mwingine waliouonesha Wananchi mimi naachana nao. Naanzia pale Simu ilipopigwa na Mo Mwenyewe akitoa taarifa kwa Baba yake ili kujipatikanisha mwenyewe. Kabla sinaendelea zaidi nitoe kwanza Maoni...
  10. C

    Wassira: Zitto, CCM hatukuwahi kujadili waraka wa KKKT katika Vikao vyetu

    Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira amemtaka Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) kuipumzisha Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ukurasa wake wa ‘twitter’ kuhusiana na mjadala wa Maaskofu wa KKKT. Wasira akizungumza na eatv.tv amefunguka kuwa Chama cha...
  11. C

    Kinana mbuyu kwenye msitu wa siasa

    Na Emmanuel J. Shilatu Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Abdulrahman Omar Kinana anatajwa kuwa katika orodha ya safu za viongozi mibuyu na migude kwenye misitu minene ya siasa yenye kuhimili tufani za kila aina pia Mwanasiasa anayependa kuheshimu utamaduni, utaratibu na...
  12. C

    Mwigullu Nchemba: Boda Boda Zilizokamatwa Kwa Makosa Madogo Madogo Ziachiwe.

    Mwigulu Aagiza BodaBoda Zilizokamatwa na Polisi Ziachiwe Mara Moja >> Mwigulu Aagiza BodaBoda Zilizokamatwa na Polisi Ziachiwe Mara Moja - MSUMBA NEWS BLOG
  13. C

    Walimu 6495 Wameajiriwa Nchini Kuziba Pengo La Wenye Vyeti Feki

    Serikali imeajiri Walimu 6495 wa Shule za Sekondari na Msingi kuziba pengo la wenye vyeti feki walioondolewa. ---------- Dodoma — The government said on Wednesday that it has employed 6,495 teachers for both secondary and primary schools to fill gaps left after sacking of those with fake...
  14. C

    Mhe. Zuberi Mohammed Kuchauka, Mbunge wa Liwale (CUF), Awapongeza Magufuli Na Majaliwa

    “ *Niwapongeze wewe Waziri Mkuu pamoja na Mheshimiwa Rais Magufuli* kwa yale ambayo mnayasimamia na mnaamini kwamba yataleta ukombozi kwa wananchi wa Tanzania. Lazima nikiri kwamba wakati mnazindua sera ya uchumi wa viwanda, nilikuwa siamini katika hiyo sera yenu kwa sababu niliona ni moja ya...
  15. C

    Rais Dkt. John Pombe Magufuli Mgeni Rasmi Sherehe Za kukabidhi Kombe Kwa Bingwa Wa VPL Leo Tarehe 19/05/2018

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kukabidhi kombe kwa bingwa wa ligi kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2017/2018. Rais Magufuli atawakabidhi Simba 'Sports Club' maarufu kama Wekundu wa Msimbazi leo mara tu baada ya mchezo...
  16. C

    Watalii 100 Kutoka Uswisi watua nchini kutembelea vivutio mbalimbali

    Siku chache baada ya Watalii 300 kutoka Australia kutembelea nchini kwa mara moja,kundi lingine la Watalii zaidi ya 100 kutoka Uswis limewasili nchini na kutembelea vivutio vya Wanyama katika hifadhi za Taifa za ukanda wa kaskazini.
  17. C

    Rais wa TFF, Wallace Karia kumteua mrundi kuwa Katibu Mkuu wa TFF

    Tarehe 17/02/2018 katika Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Rais wa Shirikisho hilo , WALLACE KARIA anataraiia kumteua raia wa Burundi, KIDAO WILFRED kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo. KIDAO ni raia wa Burundi aliyeingia nchini kama Mkimbizi akiwa na...
Back
Top Bottom