Rais wa TFF, Wallace Karia kumteua mrundi kuwa Katibu Mkuu wa TFF

Cybercrime

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
3,246
1,113
Tarehe 17/02/2018 katika Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Rais wa Shirikisho hilo , WALLACE KARIA anataraiia kumteua raia wa Burundi, KIDAO WILFRED kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo. KIDAO ni raia wa Burundi aliyeingia nchini kama Mkimbizi akiwa na Wazazi wake Miaka ya 1980.

Pia Mpango huo wa KARIA ni kinyume cha taratibu za kujaza nafasi hiyo ambapo inatakiwa kutangazwa na kutoa fursa kwa Watanzania wenye sifa kuomba.

Makatibu wote wa TFF waliopita walipatikana kwa nafasi hiyo kutangazwa ambao ni FREDRICK MWAKALEBELA , ANGETILE OSIAH na MWESIGWA SELESTINE.

Aidha ili kuhakikisha wajumbe wa kamati ya utendaji wanapitisha jina la Kidao, Karia amepanga kutoa rushwa ya shillingi milioni tano kwa kila mjumbe.
 
Haya twende tu si tumeamua wenyewe kuwa watazamaji wakati Taifa linaingia mikononi mwa wageni kwa kasi. Wenye mamlaka wanasema 'wako macho' na tunaambiwa hatuna tulijualo zaidi ya kuongea mitandaoni

Tukumbushane tu KGB ilikuwa bora kwenye medani za ushushushu lakini USSR ilianguka, leo hii wanagombea sehemu ndogo kama Crimea. Majuto ni mjukuu, na mdharau mwiba...
 
Acheni zengwe mmekalia majungu tu mkipeewa nafasi mnaangalia kuiba tu mtu toka 80 yupo tanzania bado unasema sio mtanzania
Mkuu mkimbizi ni mkimbizi tu hata. kama angekuwa nchini tangu 1905. Watu wa aina hiyo ndiyo wanaotugharimu. Binafsi nampongeza cybercrime kwa kufanya udukuzi, ni mzalendo huyu
 
Inakuwa kama CHADEMA 2O15, Joka lililopo porini huwa halikaribishwi chumbani!

Nini kifanyike kama washauriwa hawakubali ushauri?????????

Katika zile kazi kuu NNE moja ama mbili zitekelezwe
 
Huyu KARIA mwenyewe aliupataje huo urais wa tff? Maana inasemekana ni Msomali. Halafu nasikia anajilipa posho za safari hata kama safari hizo zinapaswa kulipwa na CAF au FIFA
Ndio, ana asili ya Somalia mzazi mmoja. Na yeye anataka kiteua mwenye asili ya Burundi kuwa Katibu Mkuu. Isije kuwa ndio wanajipenyeza kupitia kwenye Soka.

Haiwezi kupita akilini bila kukushtua kidogo
 
Tarehe 17/02/2018 katika Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Rais wa Shirikisho hilo , WALLACE KARIA anataraiia kumteua raia wa Burundi, KIDAO WILFRED kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo. KIDAO ni raia wa Burundi aliyeingia nchini kama Mkimbizi akiwa na Wazazi wake Miaka ya 1980.

Pia Mpango huo wa KARIA ni kinyume cha taratibu za kujaza nafasi hiyo ambapo inatakiwa kutangazwa na kutoa fursa kwa Watanzania wenye sifa kuomba.

Makatibu wote wa TFF waliopita walipatikana kwa nafasi hiyo kutangazwa ambao ni FREDRICK MWAKALEBELA , ANGETILE OSIAH na MWESIGWA SELESTINE.

Aidha ili kuhakikisha wajumbe wa kamati ya utendaji wanapitisha jina la Kidao, Karia amepanga kutoa rushwa ya shillingi milioni tano kwa kila mjumbe.
Yaani kwa akili hizi,Trump hakukosea kutuita Shithole country,
Sasa kama aliingia miaka ya 80,na akaomba uraia,tatizo lipo wapi?tukianza kuchunguza kila MTU au wazazi wake wametokea wapi,nani atapona?
Unajua Obama,Trump wazazi wao walitoka nchi gani?
Nyie ambao babu na babu zenu mmeifanyia nchi hii kipi cha maana?na huo uraia wenu?
Kuna njia tatu za kuwa RAIA wa nchi hii,sio kuzaliwa tu na wazazi waliozaliwa hapa,
 
Ndio, ana asili ya Somalia mzazi mmoja. Na yeye anataka kiteua mwenye asili ya Burundi kuwa Katibu Mkuu. Isije kuwa ndio wanajipenyeza kupitia kwenye Soka.

Haiwezi kupita akilini bila kukushtua kidogo
Kwa mtindo huu wa kwenye soka hatutaacha kuwa kuwa kichwa cha mwenda wazimu
 
Haya twende tu si tumeamua wenyewe kuwa watazamaji wakati Taifa linaingia mikononi mwa wageni kwa kasi. Wenye mamlaka wanasema 'wako macho' na tunaambiwa hatuna tulijualo zaidi ya kuongea mitandaoni

Tukumbushane tu KGB ilikuwa bora kwenye medani za ushushushu lakini USSR ilianguka, leo hii wanagombea sehemu ndogo kama Crimea. Majuto ni mjukuu, na mdharau mwiba...
Soon wataanza kutuelezea aina za uraia!
 
Yaani kwa akili hizi,Trump hakukosea kutuita Shithole country,
Sasa kama aliingia miaka ya 80,na akaomba uraia,tatizo lipo wapi?tukianza kuchunguza kila MTU au wazazi wake wametokea wapi,nani atapona?
Unajua Obama,Trump wazazi wao walitoka nchi gani?
Nyie ambao babu na babu zenu mmeifanyia nchi hii kipi cha maana?na huo uraia wenu?
Kuna njia tatu za kuwa RAIA wa nchi hii,sio kuzaliwa tu na wazazi waliozaliwa hapa,

True, kwanza hao waliozaliwa bongo kuanzia vibibi vyao wameifanyia nini Nchi?
 
Yaani kwa akili hizi,Trump hakukosea kutuita Shithole country,
Sasa kama aliingia miaka ya 80,na akaomba uraia,tatizo lipo wapi?tukianza kuchunguza kila MTU au wazazi wake wametokea wapi,nani atapona?
Unajua Obama,Trump wazazi wao walitoka nchi gani?
Nyie ambao babu na babu zenu mmeifanyia nchi hii kipi cha maana?na huo uraia wenu?
Kuna njia tatu za kuwa RAIA wa nchi hii,sio kuzaliwa tu na wazazi waliozaliwa hapa,
Shida ni pale mwenye asili ya ugeni naye anapomteua kwenye nafasi nyeti mwenye asili ya ugeni mwingine tena bila kutumia utaratibu. Kwa nini analazimisha huyo? Angekuwa amepitia kura sawa, lakini kwa nini anatumia mamlaka yake huyo mtu apate?
 
Hapo sasa, kwanini utaratibu uliozoeleka wa kumoata Katibu na badala yake anajikasimisha kazi hiyo mwenyewe? Hapa kuna tatizo
 
Back
Top Bottom