Search results

  1. Rene Jr.

    Msaada: Natafuta shule nzuri za Sekondari

    Asante nilipata mkuu. Hapo yenye ada kubwa ni Feza tu milioni 13, nyingine chini ya 5m. Usiogope
  2. Rene Jr.

    Cute B, Nakutafuta

    Tulipotezana, maana namba yangubalkuwa nayo nami yakr nlikuwa nayo[emoji22]
  3. Rene Jr.

    Cute B, Nakutafuta

    Good. Akiona anisaidie kufikisha habari
  4. Rene Jr.

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Unajidanganya. Wanajua vizuri sana, na wanaongea wao kwa wao wewe hawawezu kukwambia.
  5. Rene Jr.

    Usipokuwa makini huku ughaibuni, unaweza kula Trans na usijue

    Wewe umejuaje? Anayemla ndiyo anafunua chupi anajua anakutana nanini.
  6. Rene Jr.

    Nakaribia kudhulumiwa, naombeni ushauri

    Hiyo nyumba uliwezaje kujenga na huo uoga wa kuogopa mwanajeshi tena koplo? Au yaurithi? Fuata njia zakisheria mtoe acha kubembeleza.
  7. Rene Jr.

    Cute B, Nakutafuta

    Habari zenu wakuu. Namtafuta rafiki yangu wa kitambo sana, tulipotezana mwaka 2019 hapa JF. Kama ananiskia tafadhali anicheki pm.
  8. Rene Jr.

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Milioni 3 take home bila kujiongeza ni kweli unakufa maskini ndugu.
  9. Rene Jr.

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Sahihi kabisa, hasa kwa mahindi. Sjuwi aliko, lakini sehem nyingi hiyo 5m ni eka kumi tu za mahindi, uvuna saaana gunia 400 za 100kg. Umepata bei nzuri saana mwaka huo 1200/kg. Kwahiyo hata upate vipi huwezi kuikuta 50m. Sasa ondoa hiyo SAAANA weka mavuno ya wastani 25bags kwa eka, na uuze bei...
  10. Rene Jr.

    Hakuna nadharia yoyote ya Kisayansi inayoelezea kikamilifu chanzo cha ulimwengu

    Nikweli kabisa binadamu hatujaweza kupata definitive answer juu ya chanzo cha ulimwengu. Je, ujinga wetu unatosha kuthibitisha kwamba ulimwengu umeumbwa na sungura mwenye mikia saba?
  11. Rene Jr.

    Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

    Cheap excuses. Naamini aloeleza ndugu hapo juu ni mfano tu wa mlolongo wa mambo yanayomnkosesha amani nyumbani kwake. Kama unamjua vizuri mtu mwenye gubu utaelewa. Ndiyo, anaweza tu kuangalia taarifa ya habari chumbani pekeyake, unadhani hiyo ni nzuri? Yaani mwanamke hawezi kusucrifice dakika 15...
  12. Rene Jr.

    Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

    Hivi ukikua kumbe mwenza kukosa uaminifu inakuwa poa tu? Mwebza matusi, gubu kukununia na kufanya ujose amani nyumbani ni poa tuu. Ninyi ndiyo wazee mnaotoka kazini mnapitiliza bar, kurudi nyumbani saa6 mkali kama mbogo watoto wanatetemeka vitandani. Ok, nyie ndiyo wazee wakomavu na ni mfuano wa...
  13. Rene Jr.

    Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

    Sasa mpaka ukachonge mbao zakazi gani pesa siunaazima ya mtu kuigizia tu.
  14. Rene Jr.

    Msaada: Natafuta shule nzuri za Sekondari

    Habari wakuu. Kijana wangu anaandika mtihani wa darasa la saba wiki ijayo. Najaribu kutafuta na kulinganisha shule za sekondari kwa ajili yake. Anapenda sana masomo ya sayansi, hasa kwa vitendo, hivo ningependa shule ambayo wana ubunifu wa sayansi, hasa clubs hai za ushindani na walimu wenye...
  15. Rene Jr.

    Kwanini wazazi wengi wanakuwa wagumu kuwapa watoto mitaji ya biashara

    Halafu unajiita daktari? Acha uzembe, hiyo milioni 10 hata ukipewa haitakufikisha popote utafilisika na kubaki kunwombea mzee afe mgawane urithi.
  16. Rene Jr.

    Yah: Wakala kukuambia LIPA KWA SIMU badala ya kutoa Pesa

    Sasa kodi za vat anapigwa muizaji au anapigwa mnunuzi[emoji16]
  17. Rene Jr.

    Sekondari ya Kemebos haitakiwi kuwa inaonekana 10 bora

    Ni vitu viwili tofauti. Unapoomba nafasi unafanya mtihani, ukifaulu wanakuchagua kuingia shule hiyo,uspofaulu hawakuchukui. Shule za "special" za serikali mtu akishachaguliwa hawamhamishi tena labda atake yeye kwa sababu zake. Lakini kitendo cha wewe kulipa ada ya shule A kwa miala minne, then...
  18. Rene Jr.

    TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

    Alipe kodi aache kulialia. Na kama kuna ujanja anafanya wa kukwepa kodi wamshughulkie tu, maana wengine hata hatuna sehem za kusemea unakufa kimyakimya kama mfuasi wa kibwetere.
Back
Top Bottom