Search results

  1. Cannabis

    Nini kifanyike ili elimu ya Tanzania iende na mahitaji ya soko la Ajira?

    Hata ukishushwa mtaala kutoka mbinguni kama hakuna ajira za kutosha bado msoto utakuwa pale pale
  2. Cannabis

    Kama hujajiandaa kuingia kwenye ndoa usiingiee kabisa

    KIUFUPI KATAA NDOA 🐼
  3. Cannabis

    Nipeni mbinu kwa huyu manzi, asiende kizembe

    Sikiliza wimbo wa Nikki mbishi unaitwa Playboy, utapata majibu ya nini ufanye
  4. Cannabis

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Aisee upo hatarini sana, usikute huyo mama j kaminywa na mme wake wanakuwekea mtego uliwe vizuri...kama amemsaliti huyo mme wake bila shinikizo akiminywa kidogo anakusaliti tu na wewe🐼
  5. Cannabis

    Joseph Musukuma: Kikokotoo kinawaumiza wananchi, tunatengeneza taifa la wezi

    watumishi wafundishwe manufaa ya kikokotoo, mbona kuna mbunge alisema ni kizuri sana
  6. Cannabis

    Rais Samia Atunukiwa Udaktari wa Uchumi (Doctorate of Economics Degree) Uturuki

    Wangempa uprofesa maana udaktari tayari anao wa kutosha 🐼
  7. Cannabis

    Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Unataka waanze kuagiza G-Wagon 🐼
  8. Cannabis

    Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi kuhusu Rufiji

    Ningewaletea tamasha kubwa la kina joti, mwijaku, baba levo na wengineo ili kuwakumbusha ni wapi wanatakiwa kupiga kura
  9. Cannabis

    Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Hiyo ni kama kwenda kupinga matokeo ya uchaguzi ze hegi 🐼
  10. Cannabis

    Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

    Nyie hamjui kuna Ostazi leo alikuwa anachambua silaha nzito za kisiri alizonazo Irani unnambiwa hata Marekani hawazijui, wakiamua wanaifuta Israeli kwenye uso wa dunia
  11. Cannabis

    Satellite ya Kijasusi ya ya Urusi ya zoom Dallas,Texas

    Lugha ngumu sana kwa hiyo wanaitungua Marekani kutokea kwenye satelaiti au sijaelewa ?
  12. Cannabis

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Afadhali maana kelele za vyura zilikuwa nyingi sana.....tunaweka rekodi sawa....mpaka hivi sasa taifa linawakilishwa na mnyama na sio utopolo
  13. Cannabis

    Hizi jeuri za fedha Maulid Kitenge anazitoa wapi?

    Hahahaa jeshiiiii koh koh
  14. Cannabis

    Riba ya Benki Kuu yaongezwa hadi 6% kukabiliana na Mfumuko wa Bei

    Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mama..
Back
Top Bottom