Niwapongeze wanajf wote kwa kuingia mwaka mpya 2018. Pia niwape pole/hongera na kazi za kulijenga taifa.
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu iliyonisukuma kuanzisha uzi huu. Katika safari zangu za mapumziko ya sikukuu za Christmas na mwaka mpya,nilisafiri katika mojawapo ya mabasi ya kwenda...
Ndugu wana jf ninawasalimu wote na kuwapa pole/hongera
kwa majukumu ya kulijenga taifa letu.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kufuatia mjadala unaoendelea juu ya fao la kujitoa kwa wanachama
wa mifuko ya jamii pindi ajira zao zinapokoma kabla ya kufikisha umri wa...
Habari zenu wana jamvi.
Kutokana na dhamira ya rais ya kuikwamua nchi hii kiuchumi namshauri afanye haraka abadilishe fedha yetu, na atoe muda kama miezi sita hivi,fedha yote ya zamani iwe imebadilishwa vinginevyo mmiliki atakuwa ameingia hasara endapo ataendelea kuwa na fedha mkononi bila...
Wana janvi naamini nyote mu-wazima.
Naomba tujadili au naomba kujua kwa anayefahamu anifafanulie
dhana kamili ya mwenge ambao hupewa heshima kubwa hapa nchini
na kutumia fedha nyingi katika mbio zake huku madarasa ya wanafunzi
hayana madawati na vitu muhimu mashuleni.
Ukiangalia mabango yote...
Siku ya uzinduzi wa kampeni za chama tawala mtoto wa mwalimu alipewa nafasi kusema jambo Miongoni mwa mambo niliyoyashangaa ni pale aliposema ''Kifimbo hoyeeee...!Nilijiuliza je? kile kifimbo ndo kile cha mwalimu Na je kwa nini kifimbo leo(siku ya uzinduzi wa Kampeni)?
Hii ilinipa kukumbuka...
Salaam kwenu wana janvi wote.
Baada ya kuhamasisha wananchi kujiandikisha katika daftari
la kudumu la wapiga kura,sasa ni wakati muafaka
tume itoe elimu juu ya mambo muhimu ya kuzingatia
ili kura itakayopigwa iwe harali na ihesabike.
Jambo hili litasaidia kuondoa mkanganyiko,
maana watu...
Wana jf habari zenu, Leo asubuhi kweye taarifa ya habari ya ITV Wamemuonyesha mkurugenzi wa TECCO kule mwanza akiwa amevaa magunia na kwenda kwa mkuu wa mkoa, kanisa la KKKT na kanisa katoliki, alipoojiwa na polisi alisema kuna fedha yake aliyopewa kama zawadi ya kupanda miti jiji la mwanza na...
Poleni/hongera na kazi wadau na wanaJF wote kwa ujumla,
Nimeona nilete hii hoja humu jamvini kufuatia maswali mengi niliyojiuliza leo baada ya kuangalia taarifa ya Habari iliyorushwa na ITV leo asubuhi saa moja na nusu.
Waziri mkuu wa JMT ameonyeshwa akiongea na waandishi wa habari akiwalaumu...
Wakuu habari zenu,
Naomba kwa anayejua anifahamishe,
Je, kuangalia porn kwa njia ya mtandao nayo ni mojawapo ya makosa ya uhalifu wa kimtandao?
Na kama jibu ni ndiyo,kwa nini hawa wanaoweka picha hizo hawafungiwi?
Ahsante.
=================
Habari zenu wana jf
Nimekuwa nikitazama mara kwa mara kwenye picha mbalimbali
za vyombo vya habari nikagundua wanawake wengi wakuu wa wilaya
na wabunge wa viti maalum karibia wote ninaowafahamu ni wazuri wa sura
Ninajiuliza hivi ni kweli hakuna wanawake wasomi wenye sura kama yangu
wanaofaa...
Habari zenu wana MMU
Nakumbuka nilipokuwa mdogo nilikuwa napenda sana kuvuta
sehemu yangu ya siri na mama alikuwa akinipiga na kusema wewe kwa nini mkono
wako hauachi kuvuta dudu yako,sasa baada ya kuwa mkubwa nikajikuta,niko poa(bila kibamia).
Nawashauri wamama wawe wanawanyoosha taratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.