Search results

  1. Meale

    Wabunge wa CHADEMA watoka nje kususia hotuba ya Rais Kikwete

    Wabunge wa CHADEMA kwa pamoja wametoka nje kususia hotuba ya Rais sasa hivi.
  2. Meale

    Elections 2010 Roma kawafanyia nini wakazi wa Iringa?

    Nilikuwa kwenye show inaitwa 'mtikisiko' uwanja wa Samora Iringa. Kulikuwa na wasanii wengi maarufu wa ndani na nje ya nchi wakitumbiza kama Radio na mwenzake, Chege, Juma Nature, Barnabas, Temba, Lina, Mr. T na wengine kibao. Lakini kilichonishangaza mtangazaji mara kwa mara alikuwa akiuliza...
  3. Meale

    Elections 2010 CONFIRMED: CCM yashinda Kigoma Mjini

    Ubunge Kigoma Mjini CCM 20,594 CHADEMA 19,414 So sad mpiganaji kaachwa kwa kura chache.
  4. Meale

    Elections 2010 Arusha waongoza kata nyingi za udiwani

    Matokeo rasmi mpaka sasa Chadema inaongoza kata 10 kati ya kata 19. Tayari barabara kadhaa zimefungwa kutokana na watu kujaa wakishangilia. Mgombea ubunge wa Chadema Lema yupo katika kituo cha majumuisho ya kura wakati Dr. Buriani amekataa kupokea simu. Katka hali iliyowashangaza wengi diwani...
  5. Meale

    Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Hanang

    Habari zisizo rasmi kutoka katika vyanzo tofauti tofauti zinadai kwamba, mgombea ubunge kwa jimbo la Hanan'g Chadema ambaye pia alikuwa mke wa Dr. Slaa, Rose Kamili amembwaga mpinzani wake waziri Mary Nagu aliyekabidhiwa mikoba ya kuliongoza jimbo hilo na waziri mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye...
  6. Meale

    Elections 2010 Polisi akamatwa na vitambulisho vya kupigia kura

    Askari polisi wa Moshi mjini amekamatwa na vitambulisho kadhaa vya kupigia kura. Polisi walipata taarifa kutoka kwa wasamaria wema juu ya kuwepo kwa kadi hizo. chanzo: tbc1
  7. Meale

    Uhuru kwa mpenzi.

    Eti wana JF, hivi ni vizuri mpenzi wako ambaye either ni member au anapenda kuperuzi hapa JF kujua username unayotumia? Je akijua username yako kwa namna fulani hawezi kukunyima uhuru wa kutoa au kuchangia mada hasa zinazohusu mahusiano/mapenzi? Je vp kuhusu kumpa passwords za emails zako?
  8. Meale

    Job opportunity us embassy

    Job Opportunity Warehouseman The U.S. Embassy in Dar es Salaam is seeking an individual for the position of Warehouseman, in the General Service Office. Note: All applicants must be residing in country and have the required work and/or residency permits allowing employment in country prior...
  9. Meale

    Natafuta mchumba au rafiki

    Jamani wana JF kijana mwenzenu nimechoka kuwepo kuwepo sana kwa hiyo nataka KUOA hivyo nipo kwenye mchakato wa kumpata. Wasifu wangu Jinsia, mwanaume Umri, miaka 29 Dini, mkristu Kazi, nimejiajiri Kipato, cha wastani Napendelea kuchat, kubadilishana mawazo, michezo, muziki na kusikiliza...
Back
Top Bottom