Elections 2010 CONFIRMED: CCM yashinda Kigoma Mjini

Meale

Member
Nov 24, 2009
91
0
Ubunge Kigoma Mjini

CCM 20,594
CHADEMA 19,414


So sad mpiganaji kaachwa kwa kura chache.
 
Ubunge Kigoma Mjini

CCM 20,594
CHADEMA 19,414

So sad mpiganaji kaachwa kwa kura chache.

Tangu saa kumi jioni hawa walikuwa wanavutana tu baada ya CHADEMA kuwa imeshinda kwa tofauti ya kura zisizozidi 500. Naona kuna counter-attack imefanyika kati kati hapo...
 
Hakuna lolote wameanza kuingiza kura za wizi matokeo halali yangetangazwa jana. AIBU Kwa Chama Cha Majambazi. We won't let you have the cake.
 
uchakachuaji ndo uliokua umetawala. Kasulu na Kibondo wamewahi kutangaza matokeo mapema kuliko kigoma mjini kama sio wizi ni nn
 
Tupe matokeo ya Kasulu. Na kigoma yote Kwa zitto tunajua kalamba, Kafulila nae bila shaka...hao waliobaki jamani
 
Back
Top Bottom