Wabunge wa CHADEMA watoka nje kususia hotuba ya Rais Kikwete

Meale

Member
Nov 24, 2009
91
0
Wabunge wa CHADEMA kwa pamoja wametoka nje kususia hotuba ya Rais sasa hivi.

mbowe_chadema.jpg

wabunge-chadema.jpg
 
Mh kweli? Mbona tunasoma live streaming kuwa wapo wote
 
Chadema wameondoka wote sasa ivi bungeni. Kikwete akaa mdomo wazi. Jk aanza kuiutubia CCM bungeni leo saa 10:37 jioni.
 
Veri nais, Lazima umma wa watakatifu ujitenge na udhalimu. Mwanga na Giza haziwezi kuwa pamoja hata kidogo!!!
 
Wabunge wa CHADEMA wamethibitisha ujinga mkubwa walio nao. Haiwasaidii na wala haitasaidia CHADEMA. The publc is against them and CHADEMA. Tanzania bila CHADEMA inawezekana sana tena sana mara elfu.
 
Back
Top Bottom