Search results

  1. Mathematician

    Top 4 brands za karatasi

    Habari zenu wadau wa jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali. Naomba kujua top brands za karatasi zinazotumika na kukubalika sana hapa za Tanzania. Nikisema brands namaanisha hizi Rotatrim, HP, Paperline, Golden Start, Double A etc.
  2. Mathematician

    Viwanja Kigamboni karibu na Lugwadu

    Vipo Kigamboni/Lugwadu. Heka mbili (approx) zote ziko barabarani. Moja 10M na nyingine ni 8M. Ukitaka ukatiwe plot ndogo tutakukatia robo kwa 3M (itakuwa around 1225SQM). Nipigie kwa maelezo zaidi. 0714620265
  3. Mathematician

    Njoo upate viwanja Lingato - Kigamboni kwa bei nafuu

    Ninauza viwanja vya kwangu mwenyewe Lingato SQM 1225 (Mita 35 x Mita 35) kwa shilingi milioni 3.0. Eneo bomba halina tabu na muuzaji na dalali ni mimi mwenyewe mmiliki. Interested, call: 0714 620 265.
  4. Mathematician

    Ujasilriamali - Aliko Dangote

    Mamboz, hamjamboz.. Tupitieni hii link tumsikilize mwenzetu aliyefanikiwa huku na sisi tukiwa na dreams zetu. Inshallah nasi tutafanikiwa. Bofya hapa.
  5. Mathematician

    Nyumba inauzwa Mtongani

    Good morning GTs. Nyumba inauzwa ipo maeneo ya mtongani Tambuka reli. nyumba ina eneo kubwa ipo barabarani ina barabara ya kupita gari mpaka mlangoni. bei yake ni shilingi milioni 85. Eneo ni kubwa waweza jenga nyumba kubwa na nafasi ya kujinafasi na familia au kibiashara ukajenga nyumba kubwa...
  6. Mathematician

    Kiwanja Kigamboni - Lingato, SQM 4200 kinauzwa

    Nimekadiria kwa kiwango cha chini cha eneo lakini kinazidi SQM 4200 unaweza kuja na GPS kwa uhakika. 70M kutoka barabarani bei ni 8M. Kiwanja cha mbele yake kilichopo barabarani pia ni cha kwangu na kina ukubwa wa SQM 4500 bei ni 12Mil ukitaka kunivua. Eneo lipo Lingato ndani ya Kigamboni karibu...
  7. Mathematician

    Kiwanja Mwasonga 32Mx100M kinauzwa

    Habarini GTs, Ninauza kiwanja changu mwenyewe Kigamboni Mwasonga, ukubwa uliotajwa hapo juu kwa Milioni saba (7mil). haipungui, kiwanja kiko bomba sana ni flat land kiasi cha mita 60 kutoka barabarani na ni jirani na uwanja uliotengwa kwa ajili ya shule ya serikali mita 200.... kriib... 0714620265
  8. Mathematician

    Taratibu za kufuata niweze kuuza vyakula nje ya Tanzania, especially processed food

    Habarini wanaJF na natumai muko poa. Naomba kujua ninawezaje kuexport processed food kama cashew, asali n.k Taratibu za kufuata hadi niruhusiwe kuexport zikoje?
  9. Mathematician

    How to overcome opportunity addiction

    Hii inahusika wadau. pitieni hiyo link hapo chini mjionee wenyewe. Huyu jamaa ni Expert na ni Trainer wa ujasiriamali na biashara kwa ujumla ndani ya Online video tutorials & training | lynda.com How to Overcome Opportunity Addiction - YouTube
  10. Mathematician

    Ni salama kununua line za uwakala A'money/t'pesa/m-pesa zilizotumiwa na mtu mwingine?

    Habarini great thinkers, Ninahitaji line tajwa lakini kama mjuavyo urasimu uliopo kwenye mchakato mzima wa kuzipata kutoka kwenye makampuni ya simu nimefikiria kuzinunua kwa mtu aliyetumia na sasa ameamua kuziuza. Je ni salama kufanya hivi na ni zipi athari zake. Natanguliza shukrani....
  11. Mathematician

    Mashine za kukamua miwa kwa ajili ya juice zinauzwa

    Habarini wadau! Mashine mbili za kukamulia juice ya miwa zinauzwa. Moja inatumia umeme na nyingine ya kusukuma kwa mkono. Zinauzwa kwa pamoja 1.5M bila kupungua wala kuzidi hata senti moja. Ziko Mbagala Kibonde maji. Zimetumika kwa muda usiozidi miezi minne tu. Kwa mawasiliano mpigie mwenye...
  12. Mathematician

    Mashine za kukamulia juice ya miwa zinauzwa

    Habarini wadau! Mashine mbili za kukamulia juice ya miwa zinauzwa. Moja inatumia umeme na nyingine ya kusukuma kwa mkono. Zinauzwa kwa pamoja 1.5M bila kupungua wala kuzidi hata senti moja. Ziko Mbagala Kibonde maji. Zimetumika kwa muda usiozidi miezi minne tu. Kwa mawasiliano mpigie mwenye...
  13. Mathematician

    Maonesho ya kilimo DAR

    Juzi wakati napita kwenye mataa ya morocco nikitokea mwenge-kariakoo niliona bango linaloashiria uwepo wa maonesho ya kilimo ambayo nimeona neno machinery kama uwepo wa vifaa vya kilimo. Sikulisoma vizuri lile bango na nimeshindwa kupata muda wa kwenda tena pale kwa ufuatiliaji. Naomba mwenye...
  14. Mathematician

    Mshahara wa kuanzia NSSF

    ​Habari zenu wadau natumai mko vizuri. Mi naomba kujuzwa kuhusu BASIC SALARY ya kuanzia ndani ya NSSF kwa graduate wa BCOM. Please naombeni msaada wenu ASAP.​
  15. Mathematician

    Mshahara wa kuanzia NSSF

    ​Habari zenu wadau natumai mko vizuri. Mi naomba kujuzwa kuhusu BASIC SALARY ya kuanzia ndani ya NSSF kwa graduate wa BCOM. Please naombeni msaada wenu ASAP.
  16. Mathematician

    Msaada MICROSOFT OFFICE SPECIALIST (MOS)

    Jamani nataka kufanya hii mitihani lakini sijui ni wapi center hapa DAR naweza pata huduma hii. TECHNOBRAIN hawafanyi hii kitu kwa sasa coz watu wengi hawako interested. Please I need update!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  17. Mathematician

    Wapi hii AFROIT?

    Jamani naomba mnijuze kuhusu AFROIT-ICT Kijiji mbona siipati? Kama wamebadili name n.k naomba msaada
  18. Mathematician

    Wasailiwa jamani!

    Thinkers naomba tuwe tunaupload wanaoitwa kwenye usaili, tutakuwa tumewasaidia kwa kiwango kikubwa wale wasio na uwezo wa kununua magazeti kama vile inavyokuwa msaada mkubwa kwa wanaotafuta kazi. Naamini hapa ndio mahali pake.
Back
Top Bottom