Nyumba inauzwa Mtongani

Nyumba inauzwa Mtongani

Mathematician

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2009
Posts
327
Reaction score
111
Good morning GTs.
Nyumba inauzwa ipo maeneo ya mtongani Tambuka reli. nyumba ina eneo kubwa ipo barabarani ina barabara ya kupita gari mpaka mlangoni. bei yake ni shilingi milioni 85. Eneo ni kubwa waweza jenga nyumba kubwa na nafasi ya kujinafasi na familia au kibiashara ukajenga nyumba kubwa 2. changamkieni.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunipigia mimi MATHEMATICIAN nikiwa kama rafiki wa muuzaji (sio dalali) kwa namba 0714620265 au mwenye nyumba 0716201769

MUHIMU: Mtongani wilaya ya Temeke njia ya mbagala karibu kwa Azizi Ally na sio kwenu Kunduchi huko...
 
bado tunawakaribisha mjini....bei ni nafuu sana ukilinganisha na eneo lenyewe...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom