Njoo upate viwanja Lingato - Kigamboni kwa bei nafuu

Njoo upate viwanja Lingato - Kigamboni kwa bei nafuu

Mathematician

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2009
Posts
327
Reaction score
111
Ninauza viwanja vya kwangu mwenyewe Lingato SQM 1225 (Mita 35 x Mita 35) kwa shilingi milioni 3.0. Eneo bomba halina tabu na muuzaji na dalali ni mimi mwenyewe mmiliki.

Interested, call: 0714 620 265.
 
Ninauza viwanja vya kwangu mwenyewe Lingato SQM 1225 (Mita 35 x Mita 35) kwa shilingi milioni 3.0.
Eneo bomba halina taabu na muuzaji na dalali ni mimi mwenyewe mmiliki.

Interested, call.
0714 620 265.
 
Ninauza viwanja vya kwangu mwenyewe Lingato SQM 1225 (Mita 35 x Mita 35) kwa shilingi milioni 3.0.
Eneo bomba halina taabu na muuzaji na dalali ni mimi mwenyewe mmiliki.

Interested, call.
0714 620 265.
 
Mkuu, maelezea ya ziada kuhusu eneo kilipo kiwanja yanahitajika otherwise bei ni reasonable...
 
Kigamboni. Jirani na Mikwambe upande wa mashariki na pia kaskazini imepakana na Lugwadu.... kuja ubambe plot
 
Mkuu, maelezea ya ziada kuhusu eneo kilipo kiwanja yanahitajika otherwise bei ni reasonable...
Kigamboni. Maeneo yako jirani na Mikwambe, Ponde na Lugwadu pia.... kuja ubambe plot
 
ahsante sana kwa taarifa na je ni eneo la tambarale au?ni umbali gani toka feri?Ili kufika hilo eneo unatakiwa upande mabasi mangap?

Umeme na maji yamefika? Na katika umiliki wako,eneo lina offer au hati?
 
Dah yaani kama siyo woga wa kuingizwa mjini ningelipa cash this morning
 
samahani, hv ni umbali gani toka pale feri kigamboni?
 
Kigamboni. Jirani na Mikwambe upande wa mashariki na pia kaskazini imepakana na Lugwadu.... kuja ubambe plot

Ni kilomita ngapi toka barabara ya kongowe -Mjimwema, vipo wilaya ya Mkuranga au Temeke,Lugwadu iko mkuranga kama kumbukumbu zangu ziko sawa
 
Ninauza viwanja vya kwangu mwenyewe Lingato SQM 1225 (Mita 35 x Mita 35) kwa shilingi milioni 3.0.
Eneo bomba halina taabu na muuzaji na dalali ni mimi mwenyewe mmiliki.

Interested, call.
0714 620 265.

Mbona kama unaficha details muhimu?
Ukitoka Ferry ni kulia au kushoto?
unavuka FunCity? Kama ndio basi kwa umbali upi?
Na ukiacha Lami unaingia ndani umbali upi?
Unacho kimoja au vingapi?
Vipi Maji na Umeme?
 
Bei ni nzuri but inabidi kukaa chonjo, unaweza ukashtukia umenunua mbuzi kwnye gunia!
 
Mathematician, nimeulizwa swali na hujanijibu ila wengine unawajibu.Ina maana ni swali ambalo hulielew au?
 
Mkuu swali lililoulizwa sana,ambalo hata mimi ningependa kujua, ni kilomita ngapi kutoka ferry?!
Nilipigwa ban kwa kupost kwenye majukwaa yasiyohusika :smile-big: nitawajibu baadae leo nimefunguliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom