Search results

  1. nw eca

    Desktop RAM na Laptop RAM

    Desktop RAM DDR3 2GB 1Rx16 PC3-12800U Laptop RAM DDR3 2GB 1Rx8 PC3-12800S Laptop RAM DDR2 1GB 2Rx8 PC2-5300S Desktop - Tsh 25000 fixed Laptop DDR3 -Tsh 20000 fixed Laptop DDR2 -Tsh 15000 fixed -------------------------- ------------------------- ------------------------- **** Ukichukua zote...
  2. nw eca

    Kwa anaeijua vizuri SQL Database au anatumia c#. Msaada tafadhali

    Stephano , hiyo thread haitanisaidia mimi tu bali kila atakaesoma atafaidika nayo. Sikupenda ulichoandika ndo maana nikaandika niliyoandika. Kila kitu ni kusaidiana sio kuvunjana moyo. Natumai umenielewa kwa hapo
  3. nw eca

    Kwa anaeijua vizuri SQL Database au anatumia c#. Msaada tafadhali

    Kama huna la kusema acha usiandike chochote hujui nimefanya nini mpaka now. Usiweke maneno yako ya kejeli na ufikiri kiupana zaidi. Na kama wewe ni developer huwa haufanyagi hivyo kijana.
  4. nw eca

    Kwa anaeijua vizuri SQL Database au anatumia c#. Msaada tafadhali

    Sikumtazama fb, kitu nimefikiria mimi mwenyewe ishu ni kwamba kinataka kufanana.. ndo maana nikatolea mfano wa fb ili mtu aelewe kiurahisi, lasivyo maelezo yangu yangechukua page tatu.
  5. nw eca

    Kwa anaeijua vizuri SQL Database au anatumia c#. Msaada tafadhali

    NoSQL kwangu si shida nimeahatumia sana.. lakini kitu nafanya now ni lazima nitumie SQL
  6. nw eca

    Kwa anaeijua vizuri SQL Database au anatumia c#. Msaada tafadhali

    Msaada wakuu najua wengi wetu tunatumia fb, kuna kile kipandw cha post ambacho mtu akipost kitu kinaonekana kwa watu wote wanaomhusu na wanaweza ku comment na mengineyo. Lengo langu ni kufanya kitu kama kile ninatumia SQL Database.... Nimekwama kwa sababu sijui structure ya database kama jinsi...
  7. nw eca

    Enhanced: Internet ya bure yenye kasi zaidi

    Your dowmload rate is low 500kb/sec.. punguza hiyo bei kwanza
  8. nw eca

    Wanaotengeneza apps bei poa..mpo wapi?

    Website unaweza fanyiwa bure cause mtu anaweza chukua template tu na akahost. Native Android app hakunaga tenplate anza from scratch mpaka inakua kamili. Inahitaji skills na inaweza chukua hata miezi 6 au mwaka kumaliza app moja ndo maana ni gharama
  9. nw eca

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Kumbe watumiaji wa Xiaomi mpoo ila kwa TZ wachache sana. Natumia Tecno but ina OS ya MIUI 9 - 7.11.16 ya Redmi Note 3G.
  10. nw eca

    Hapo vipi wadau

    Karibu
  11. nw eca

    Mgomo mkubwa leo st.joseph college songea

    Hawajatulia hao ss wenyewe huku stj- dar wanazingua ile balaa yan
  12. nw eca

    Kwa wanawake na wasichana pia

    Kibella kama kitanda hakizai haramu nani ni haramu, na nn kifanyike
  13. nw eca

    Kwa wanawake na wasichana pia

    Chukulia ya kwamba wewe ni mama wa watoto 5, mtoto wako wa 1 yupo chuo na wa mwisho hata kuongea bado, na unampenda mumeo(mmefunga ndoa). Cku moja ukaja kugundua ya kwamba mumeo miaka 16 iliyopita alitoka nje na mtoto aliepatikana yupo mpaka sasa hv pamoja na *****. Je, utakua hatua gan dhid ya...
  14. nw eca

    Msaada: J forum app inaforce close

    Maybe it is true ram ndogo, thanks
  15. nw eca

    Msaada: J forum app inaforce close

    App yangu ya J Forum inaforce close baada ya matumia kwa muda, kwa yeyote anayefahamu. Ninatumia android 2.2.2, cm ya ZTE
  16. nw eca

    Israel na ukiristo

    Hapo msaada wa Mungu juu ya hayo yotee unahitajika ili kuijua kweli sahihi
Back
Top Bottom