Kwa wanawake na wasichana pia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanawake na wasichana pia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nw eca, Jan 13, 2014.

 1. nw eca

  nw eca Member

  #1
  Jan 13, 2014
  Joined: Jan 10, 2014
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chukulia ya kwamba wewe ni mama wa watoto 5, mtoto wako wa 1 yupo chuo na wa mwisho hata kuongea bado, na unampenda mumeo(mmefunga ndoa). Cku moja ukaja kugundua ya kwamba mumeo miaka 16 iliyopita alitoka nje na mtoto aliepatikana yupo mpaka sasa hv pamoja na mamae.
  Je, utakua hatua gan dhid ya mumeo ukiangalia miaka ya nyuma uliangaika sana juu ya mumeo. Hebu toa maon yako ungekuwa wewe ndio mama ungefanya nn, kumuacha mumeo au? Mwaga manyanga yako hapa
   
 2. utafiti

  utafiti JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2014
  Joined: Jul 18, 2013
  Messages: 12,833
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 0
  Pole kwa yaliyokukuta
   
 3. kibella24

  kibella24 JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2014
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kitanda hakizai haramu. maisha hayana budi kuendelea!
   
 4. nw eca

  nw eca Member

  #4
  Jan 13, 2014
  Joined: Jan 10, 2014
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kibella kama kitanda hakizai haramu nani ni haramu, na nn kifanyike
   
 5. miss wa kinyaru

  miss wa kinyaru JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2014
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 543
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa upande wangu hilo wala haliwezi kuniumiza kichwa, mama wa watoto 5 na mwanangu yuko chuo bado nihangaike na kitu kidogo kama hicho, ingekuwa kwamba ndo kwanza tunataka kuoana hapo ningesugua kichwa. kubali kilichotokea acha maisha yaendelee.
   
 6. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2014
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Issue ndogo hiyo usihangaike nalo endeleeni kuishi kwa amani...mshauri amlete mtoto
   
 7. Hornet

  Hornet JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2014
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 9,868
  Likes Received: 2,679
  Trophy Points: 280
  Wala hata usiumize kichwa,samehe na maisha yaende,kwani hubby bado ana date na huyo mwanamke? kama sivyo endelea na ndoa yako,pia usiwe katili kwa huyo mtoto wacha ahudumiwe kama hao wa kwako,
   
 8. Heaven Sent

  Heaven Sent JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2014
  Joined: Sep 27, 2013
  Messages: 17,360
  Likes Received: 22,430
  Trophy Points: 280
  Kama mumeo anakujali na anawatunza vizuri watoto wako, yan everything is ok, kwa nin uhangaike na huyo mtoto. Kwa nin issue ya miaka 16 iliyopita ije ikuletee mifarakano kwenye ndoa yako.

  Kama issue ya mtoto inakusumbua sana, jaribu kum-consult mumeo ujue inakuwaje kuhusu huyo mtoto wa nje. All in all we endelea tu kutunza watoto wako bana

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 9. inspector laddy

  inspector laddy JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2014
  Joined: Jan 5, 2014
  Messages: 762
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hayo maumivu yake sasa,inategemea moyo wa mtu!
   
 10. badiebey

  badiebey JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2014
  Joined: Nov 29, 2013
  Messages: 5,891
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Poleeh,cha msingi mume atoe matunzo yako na watoto,we si ndo legal wife??...achana na hao wa nje
   
 11. Sisy2

  Sisy2 Senior Member

  #11
  Jan 13, 2014
  Joined: Dec 22, 2013
  Messages: 131
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Kumuacha ha itasaidia,inabidi kukubali matokeo ili maisha yaendelee.ila lazima umchimbe mkwara na kwa ville atakuwa ana hatia itasaidia kumbana.pole kwa changamoto.jipe moyo
   
 12. Two ten

  Two ten Senior Member

  #12
  Jan 13, 2014
  Joined: Aug 26, 2013
  Messages: 132
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  ningefanya kama sijaskia vile... naendelea zangu na maisha...
  pressure za nini mama, watoto wa5 alaf uanze kujipa stress!!
  maisha yenyew yakwap siku hiz!!
   
 13. m

  mages New Member

  #13
  Jan 13, 2014
  Joined: Jan 10, 2014
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  itabid tu uendelee nae ukizingatia mna watoto . hata ukikimbia unakuwa umemkaribisha uyo wa nje karibu. ni kumkarisha chin na una koromea bac.
   
 14. Dinazarde

  Dinazarde JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2014
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 28,303
  Likes Received: 6,194
  Trophy Points: 280
  Ni mbaya sana upo na mumeo au mpenzi wako halaf anazaa njee,,afadhali awe na mtoto kabla ya mahusiano yenu,anewei kosa la kwanza waweza msameheee
   
 15. C

  Cyan6 JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2014
  Joined: Aug 8, 2013
  Messages: 4,539
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Siku naye akijagundua moja
  kati ya hao watoto wa 5 sio wake itakuwaje? Utataka akufukuze au akuache? Chukua hatua mama! Samehe mara 7 Sabin!
   
 16. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2014
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,050
  Likes Received: 5,212
  Trophy Points: 280
  naona mleta mada ana chembe za ukatili. maana kama vile kachukia huyo mto kuwa hai na anaishi na mama yake.
   
 17. Hornet

  Hornet JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2014
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 9,868
  Likes Received: 2,679
  Trophy Points: 280
  Unajua binadamu tunapenda kila kitu kiende tunavyotaka sisi jambo ambalo ni gumu kutokea..mimi na wewe hatujui sababu ya huyo baba kutoka nje kwa mechi za mchangani,pengine hakutegemea huyo mtoto angetokea..
  Ameshazaliwa ana miaka 16 hakuna haja ya kufanya ukatili hata kidogo,
   
 18. serio

  serio JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2014
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,760
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  There you go again.. Perfect App imewashinda, sasa mmehamia Telexfree....
  Anzisha thread yake basi, not on someone' thread..
   
Loading...