Kwa anaeijua vizuri SQL Database au anatumia c#. Msaada tafadhali

nw eca

Member
Jan 10, 2014
20
4
Msaada wakuu najua wengi wetu tunatumia fb, kuna kile kipandw cha post ambacho mtu akipost kitu kinaonekana kwa watu wote wanaomhusu na wanaweza ku comment na mengineyo.
Lengo langu ni kufanya kitu kama kile ninatumia SQL Database.... Nimekwama kwa sababu sijui structure ya database kama jinsi walivyofanya fb kuweka uhusiano kwa marafiki na issue zingine.

Kwa anaweza saidia hata kwa wazo database na table jinsi walivyozipangilia na kuweka uhusiano wa comments itakua poa sana
 
Hilo ni darasa kubwa, ingia kwenye vitabu. Dvds may be online tutorial's
 
Duh! Hivi mnafahamu hizi ni profession za watu?

Unajua nini kuhusu relational database?
 
You can try NoSQL databases like MongoDB, at the surface they can be easier to implement relations but still it's important to understand relational databases.

Also, kwa maoni yangu if you plan and design your database correctly the rest will be easy, so take your time nailing all relations before you write a single line code.
 
Msaada wakuu najua wengi wetu tunatumia fb, kuna kile kipandw cha post ambacho mtu akipost kitu kinaonekana kwa watu wote wanaomhusu na wanaweza ku comment na mengineyo.
Lengo langu ni kufanya kitu kama kile ninatumia SQL Database.... Nimekwama kwa sababu sijui structure ya database kama jinsi walivyofanya fb kuweka uhusiano kwa marafiki na issue zingine.

Kwa anaweza saidia hata kwa wazo database na table jinsi walivyozipangilia na kuweka uhusiano wa comments itakua poa sana
Sio lazima ujuwe database schema ya fb ili uweze kuimplement kitu kama hicho, tumia logic zako, knowledge yako ya c# na database utafanikiwa
 
You can try NoSQL databases like MongoDB, at the surface they can be easier to implement relations but still it's important to understand relational databases.

Also, kwa maoni yangu if you plan and design your database correctly the rest will be easy, so take your time nailing all relations before you write a single line code.
NoSQL kwangu si shida nimeahatumia sana.. lakini kitu nafanya now ni lazima nitumie SQL
 
Sio lazima ujuwe database schema ya fb ili uweze kuimplement kitu kama hicho, tumia logic zako, knowledge yako ya c# na database utafanikiwa
Sikumtazama fb, kitu nimefikiria mimi mwenyewe ishu ni kwamba kinataka kufanana.. ndo maana nikatolea mfano wa fb ili mtu aelewe kiurahisi, lasivyo maelezo yangu yangechukua page tatu.
 
Acha uvivu ndugu. Fanya kazi kisha ukikwama uje useme umekwama wapi tukusaidie hapo. So far hamna ulichofanya zaidi ya kutupa assignment yako tuifanye
Kama huna la kusema acha usiandike chochote hujui nimefanya nini mpaka now. Usiweke maneno yako ya kejeli na ufikiri kiupana zaidi.
Na kama wewe ni developer huwa haufanyagi hivyo kijana.
 
Kama huna la kusema acha usiandike chochote hujui nimefanya nini mpaka now. Usiweke maneno yako ya kejeli na ufikiri kiupana zaidi.
Na kama wewe ni developer huwa haufanyagi hivyo kijana.
Be humble humu mkuu. You don't know who you are deling with. Kuna jinsi ya kuuliza swali as developers tukaelewa uelewa wako na wapi pa kukusaidia, lakini kwa jinsi ulivyouliza hilo swali hata nikitaka kukusaidia sijui pa kuanzia kwasababu sijui nini unajua na nini unataka kujua.
 
Umekwama wapi sasa? Tengenza table ya Users(UserID,fname,lname,......) , tengeneza table ya Posts(PostId, UserID, text,.....). Tables ziko linked kwa UserId. Malizia mwenyewe.
 
Umekwama wapi sasa? Tengenza table ya Users(UserID,fname,lname,......) , tengeneza table ya Posts(PostId, UserID, text,.....). Tables ziko linked kwa UserId. Malizia mwenyewe.
Thanks
 
Hicho kitu unachouliza ni somo pana sana. Na FB hawatumii SQL peke yake, ndiyo the underlying database ni MySQL ila wana non sql database on top, wanatumia graph database its much simpler kuhandle social connections. Kwa kutumia SQL mfano kujua rafiki yake rafiki yake rafiki yangu ni kitu complex balaa hasa unapofikiria efficiency and speed.

Kaa chini anza kusoma SQL uelewe vizuri how relational databases work, tengeneza software kama 5 hivi kupata uzoefu then nenda kasome non sql databases, popular ni MongoDB ujue utofauti ni nini, strength na weaknesses compared to SQL dbs alafu nenda kasome graph databases hizi pia ni nosql ila zipo categorized kivyake. Ujue pia strength na weakness zake. Ukimaliza kaa sasa ufikirie unatengenezaje unachotaka kutengeneza maana sasa hivi tukikumwagia hapa hatukusaidii kesho utarudi na kingine.

Mi hua si mvivu wa kuandika ila vitu kama hivi hua nashauri ujitafutie tu, utakuja kushukuru baadaye
 
Back
Top Bottom