Search results

  1. nyaunyau

    Utapeli TALA mikopo

    Nishahesabu maumivu
  2. nyaunyau

    Utapeli TALA mikopo

    Niliwatumia Akiba ili nipate mkopo😃😃
  3. nyaunyau

    Utapeli TALA mikopo

    Kukopa ni KAWAIDA tu,Kuna taasisi wanakopesha hawana shida mfano UMOJA LOAN wapo vizuri
  4. nyaunyau

    Utapeli TALA mikopo

    Wameishia kuchukua Hela yangu,chakushangaza kwanini hawafuatiliwi na wanajitangaza kwenye mitandao?
  5. nyaunyau

    Utapeli TALA mikopo

    Kuna UTAPELI mkubwa kuna watu wanajiita TALA MIKOPO,wanadanganya watu kwamba wanatoa mikopo kwa Riba ndogo,unaambiwa weka Akiba Kiasi fulani,mfano ukitaka kukopa Laki mbili unaambiwa weka 32,000,ukiweka pesa hiyo kwa mujibu wa Maekezo yao hiyo 32000 ndo inakuwa imeliwa
  6. nyaunyau

    NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

    Naomba link ya kidato Cha pili mkuu
  7. nyaunyau

    Habari njema mwendokasi Mbagala

    Dar Kama Ulaya sasa
  8. nyaunyau

    KERO: Mabasi ya mwendokasi yapo machache mida ya asubuhi na jioni

    Hamjipangi nyakati za asubuhi na Jioni kwani hamjui abiria ni wengi muda huo KIMARA NI SHIDA SANA. Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
  9. nyaunyau

    Pesa anazogawa Rais Magufuli kama njugu anazipata wapi? Nani kaziidhinisha?

    Kumbuka hiki ni kipindi cha KWARESMA,Rais ni mkristo kama wakristo wengine hiki ni kipindi cha toba,kushiriki Mateso nk kutoa kwake ni mambo binafsi kaguswa kumpa huyo mlemavu.
  10. nyaunyau

    Sitakagi ujinga mimi

    Ahahahaha....kweli hutakagi ujinga
  11. nyaunyau

    Jengo la Waterfront lawaka moto, juhudi za kuuzima zinaendelea

    Moto Mkali umeibuka ndani ya Jengo LA Water front,chanzo bado hakijafahamika.
  12. nyaunyau

    Wale tusiopenda matumizi ya condoms tupeane uzoefu, mimi sipendi kutumia condom

    Tembea na vipimo vya ukimwi,mnapimana fasta mnaendelea.
  13. nyaunyau

    Nahisi nimeathirika na VVU

    Fuata hilo.
  14. nyaunyau

    Msaada kuhusu UTI

    Choma power sef
  15. nyaunyau

    UDART Jipangeni mtoe Huduma Kwa Haraka

    Umeona eee,ni shida mkuu
  16. nyaunyau

    UDART Jipangeni mtoe Huduma Kwa Haraka

    Imekuwa shida Kwa wakazi Wa Kimara,abiria wanakaa kusubiri usafiri kituoni tena Terminal Kwa masaa tatizo lipo wapi?.
Back
Top Bottom