Search results

  1. bigjeff

    Natafuta lori(box) kuanzia Tone 10..(kukodisha)

    Natafuta lori kuanzia tone kumi nakuendelea kuna mzigo kutoka Dar kwenda-Dodoma,Iringa na Shinyanga.. ASAP 0716792692 ..SITAKI DALALI
  2. bigjeff

    Kiwanja kinauzwa

    Nauza kiwanja kipo Kisemvule(Mbagala) kina hati.,ukubwa 100*50,kutoka barabara kuu kama km1.5,bei tunaanza 5.5m,maelewano yapo nipigie 0716792692,Asanteni.
  3. bigjeff

    Biashara ya Gym(Fitness centre)

    Habari zenu wana Jf nilikuwa na ndoto siku moja niwe na fitness centre yangu kwasababu wanasema fanya kitu ukipendacho utafanikiwa zaidi. Wana Jf kuna mtu yoyote anaifanya hii biashara au ana utaalamu nayo jinsi ya 1.kuiendesha, 2.gharama zake vifaa na wapi kwa kuvipata(sehemu ipo nikuifanyia...
  4. bigjeff

    Real Estate Developer

    Wandugu ambao mpo kwenye Sector hii naombeni msaada wakujua jinsi ya kupata mkopo wa kujenga ,changamoto zake, gharama, na vinaitajika nini ili upate mkopo?(Business Proposal).Tuna sehemu nzuri sana Dar(kijitonyama) viwanja viwili vitatu ambavyo nataka kuviendeleza kwa kujenga small apartments...
  5. bigjeff

    Mashamba bado yapo Morogoro

    Mashamba bado yapo Morogoro maeneo ya Kiegea(bwawani) barabara ya gari hadi shambani,maji yapo,ardhi safi tuwasiliane kwa namba hii 0716792692 N:B nawashukuru tuliofanya nao biashara mnaweza kutoa comments zenu thnks Charles Prosper Lyimo,Juma Husssein,Hamisi Salehe na wengine mlionyesha...
  6. bigjeff

    Kiwanja kijitonyama kisiwani

    Kiwanja kinauzwa Kijitonyama Kisiwani mbele ya bar inaitwa Heko upande wa kushoto kina hati na kimepimwa kwa mawasiliano zaidi piga namba hii 0716792692(Mi sio dalali ni kiwanja chetu}
  7. bigjeff

    Natafuta truck Loader ya kukodisha(ASAP)

    Habari ,nataka kukodisha truck loader, kutoa gari kutoka Tanga airport kuja dar,iwe tons 7-10,gari inayobebwa ni Nissan patrol 1.2tons. Tuwasiliane kwa namba hii 0716792692,As soon as possible please.
  8. bigjeff

    Mashamba Morogoro (Maeneo ya Kiegea)

    Shamba lipo Morogoro, Maeneo ya Kiegea, Bwawa la kihonda kwa bei rahisi..kutoka Msamvu dk 40 kwa pikipiki panaitwa Bwawani unaweza kuchimba kisima Tuwasiliana kwa namba hii 0716792692 Asanteni,Nashukuru kwa waliokuja nakufanya biashara nao na pia walionyesha interest ya kurudi tena. NB:wandugu...
  9. bigjeff

    Nauza shamba lipo Morogoro, Maeneo ya Kiegea

    Nauza shamba lipo Morogoro, Maeneo ya Kiegea, Bwawa la kihonda kwa bei rahisi..kutoka Msamvu dk 40 kwa pikipiki unaweza kuchimba kisima Tuwasiliana kwa namba hii 0716792692 Asanteni
  10. bigjeff

    Mashamba yanauzwa Morogoro

    Nauza shamba lipo Morogoro, Maeneo ya Kiegea, Bwawa la kihonda kwa bei rahisi..kutoka Msamvu dk 40 kwa pikipiki unaweza kuchimba kisima Tuwasiliana kwa namba hii 0716792692 Asanteni
  11. bigjeff

    Ushauri wa kupata investors au mkopo wa kujenga appartments Kijitonyama

    Wandugu habari zenu kama muonavyo kwenye picha ni viwanja viwili na kimoja kina nyumba imepangishwa ingine ndio tulikuwa tunajivuta tuimalizie lakini naona eneo hili ni zuri kama tungeviunganisha pamoja tukajenga apartment sasa kusema kweli uzoefu wahi sector bado najifunza kwahiyo ningependa...
  12. bigjeff

    Free Car Wash at Msasani City Mall

    Jeff Mobile Car Wash and Msasani City Mall are happy to provide free car wash for all customers who's coming to Shop in the mall on 24th/01/2015 from 11:00-18:00..Karibuni Sana..Msasani City Mall ipo Karibu na American Embassy
  13. bigjeff

    New Station: JEFF Mobile Car wash

    From this weekend 6/12/2014 na zinazokuja Jeff Mobile Car Wash tutakuwa Triple 7 sport bar,Kawe Station yetu mpya,karibu uburudike na nyama choma,bigscreen kwa wapenzi wa Football,mandhari mazuri,wakati huohuo tunakun'garishia gari lako na quality products na professional car washers.KARIBUNI SANA.
  14. bigjeff

    Jeff mobile car wash

    Jeff mobile car wash
  15. bigjeff

    Biashara ya Gypsum

    Habari zenu wakubwa,mi nina wazo lakufanya biashara ya Gypsum,sasa kwa yoyote alie na uzowefu wa hii biashara aliowahi kufanya au ambao wanafanya,naomba mawazo kwenye biashara hii au muongozo katika biashara hii,kwa mfano soko likoje?,upatikanaji wake najua sehemu moja Makanya,Tender upatikanaji...
  16. bigjeff

    Car wash service

    Wakuu habari zenu na poleni na miangaiko,Happy new year,wadau natafuta sehemu ya kukodisha kwa ajili ya Car wash na tyre fitting,naangaika mwezi wa pili sasa,na pia kuna sehemu zingine rent ni za kustua kusema kweli ,mtu mwenye sehemu au anamjua mtu mwenye sehemu asisite kuwasiliana na mimi...
  17. bigjeff

    Car wash service

    Wakuu habari zenu na poleni na miangaiko,Happy new year,wadau natafuta sehemu ya kukodisha kwa ajili ya Car wash na tyre fitting,naangaika mwezi wa pili sasa,na pia kuna sehemu zingine rent ni za kustua kusema kweli ,mtu mwenye sehemu au anamjua mtu mwenye sehemu asisite kuwasiliana na mimi...
  18. bigjeff

    Car wash service

    Wakuu habari zenu na poleni na miangaiko,Happy new year,wadau natafuta sehemu ya kukodisha kwa ajili ya Car wash na tyre fitting,naangaika mwezi wa pili sasa,na pia kuna sehemu zingine rent ni za kustua kusema kweli ,mtu mwenye sehemu au anamjua mtu mwenye sehemu asisite kuwasiliana na mimi...
  19. bigjeff

    Mobile car wash services

    tunapenda kuwatangazia wamiliki wa magari ,trucks,kampuni binafsi za magari maeneo ya wilaya ya kinondoni jeff mobile car wash tushaanza kutoa huduma za uwoshaji wa magari kokote ulipo nyumbani au ofisini tutakufuata kwa bei nafuu na huduma bora..utafurahi ndugu mteja wasiliana nasi kwa...
  20. bigjeff

    Concrete mixer for sale

    Tunauza Concrete Mixer good condition honda engine,ina stand yake, bei maelewano wasiliana nasi 0713058290/0712928272
Back
Top Bottom