Search results

  1. John Kachembeho

    Ya kuhamia Dodoma na hoja ya gharama, Upande wa pili

    Wasalaam wakuu; Tangu Rais wa jamhuri atangaze nia ya serikali yote kuhamia dodoma ndani ya miaka minne na miezi minne iliyobaki ya utawala wake, kumekuwa na hoja juu ya gharama za uhamisho huo na ikiwa ni muhimu kuingia gharama hizo wakati huu. Kwa wachambuzi na watoaji taarifa kwa jamii na...
  2. John Kachembeho

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kivule 20m X 40m

    Kiwanja flat 20m X 40m kinauzwa 7m Kipo kivule Dar es salaam
  3. John Kachembeho

    Umefanya nini kwa nchi yako katika siku 100 za Magufuli?

    Moja ya kauli za Rais Magufuli jana wakati akiongea na Taifa kupitia wazee wa Dar es salaam ni kutoa wito kwa watanzania kujitafakari pia ni kitu gani wamekifanya kwa nchi yao katika ssiku hizi 100 za utawala wake wa serikali ya awamu ya tano? Tutafakari, tubadilishane mawazo, ni Yapi...
  4. John Kachembeho

    Kuhusu Ndege Airbus Aliyoongelea Rais Magufuli

    Tuiangalie hii A320 Kwa mujibu wa bei mpya za January 2016 zilizotolewa na Kampuni la Airbus, ndege hii mpya kabisa ina bei ya dola za kimarekani milioni 98. Hii ni sawa na takribani shilingi za kitanzania Bilioni 210 (Katika Trilioni moja unapata ndege 4 kama hii unabaki na chenji). Ndege hii...
  5. John Kachembeho

    Nilisafiri safari moja kwa njia mbili tofauti kwa wakati mmoja!

    Nikiwa na umri wa miaka saba nilisafiri safari moja, siku moja na muda uleule, kutoka sehemu ileile na kwenda destination ileile lakini kwa njia mbili tofauti. Nakumbuka safari zote mbili zilivotokea siku ile, kwanz safari ile ilianzia kijijini kwa mama asubuhi ya sa12 nikiwa na shangazi yangu...
  6. John Kachembeho

    Tuchague/Tufuate Chama au Mtu/Watu

    Chama cha Tanu kilileta uhuru wa Tanganyika chini ya uongozi wa Nyerere, China ikafanya mapinduzi ya kiuchumi na kijamii chini ya uongozi wa Mao Tse Tung wa chama cha Communist Party of China, Singapore chini ya Lee Kuan Yew wa People's Action Party ikafanya mapinduzi makubwa ya kiuchumi kutoka...
  7. John Kachembeho

    Mkapa, Obasanjo, Mbeki Live ITV muda huu

    Salaam wakuu, muda huu naona kuna mjadala mzuri ukiwahusisha marais wastaafu Mkapa, Obasanjo, Mbeki. Karibuni kujifunza kwa hawa nguli
  8. John Kachembeho

    Harare-Zimbabwe

    Unapata fikra gani kwa mara ya kwanza unaposikia jina la nchi Zimbabwe?? Kwa wengi wetu ni fikra ya nchi nchi ya Afrika yenye uchumi mbovu na na noti za fedha zenye sifuri nyingi lakini thamani ndogo, na kingine ni kiongozi wake maarufu Comrade Robert Mugabe. Well, there is something attractive...
  9. John Kachembeho

    Tulia Ackson ni nani, CV yake ipoje?

    Leo hii katika bunge la katiba, mjumbe mmoja kwa jina la Dk. Tulia Apson alitoa mchango wake makini na wa kisomi sana ikiwa ni pamoja na kuwataka wajumbe sasa waache kujadili watu na kujikita katika mjadala wa rasimu ya katiba. Kwa manufaa ya wanajukwaa na watanzania kwa ujumla, huyu dada...
  10. John Kachembeho

    Barabara ya Morogoro imezibwa

    Somewhere karibu na Kibaha barabara ya Morogoro imezibwa kwa mawe na wananchi. Sababu kuna mtu amekufa jirani na barabara kama siku tatu zilizopita, taarifa ikatolewa polisi hakuna hatua iliyochukuliwa, sasa wananchi wameziba njia kushinikiza polisi wauondoe mwili wa marehemu!
  11. John Kachembeho

    Tanzania Commandos show

  12. John Kachembeho

    Malala Yousafzai-On Mission to Change the Course of life!

    Malala Yousafzai- "the most famous teenager in the world.” (Born: July 12, 1997 (age 16) She is a Pakistani school pupil and education activist. On 9 October 2012, Yousafzai was shot in the head and neck in an assassination attempt by Taliban gunmen while returning home on a school bus. In the...
  13. John Kachembeho

    We Mzee, Hivi Umetumwa??

    Kila siku vipigo tuuuuuuu, si uondoke bhana! Au umetumwa eeeh??
  14. John Kachembeho

    River above the river

    The river above the river: Magdeburg Water Bridge , Germany
  15. John Kachembeho

    Pictures with meanings

    1957. The first day ofDorothy Counts at the Harry Harding High School in the United States . Countswas one of the first black students admitted in the school, and she was nolonger able to stand the harassments after 4 days.<o:p></o:p>
  16. John Kachembeho

    Rwanda's Ex-Spy Chief Killed in South africa

    source; BBC News - Patrick Karegeya: Rwanda exile 'murdered' in Johannesburg Exiled former Rwandan intelligence chief Patrick Karegeya has been apparently murdered in a Johannesburg hotel room, South African police say. They say the dissident might have been strangled, with a rope and bloodied...
Back
Top Bottom