John Kachembeho
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 560
- 390

<o😛></o😛>
1980. A kid in Uganda about to die of hunger, and a missionaries.
<o😛></o😛>
<o😛></o😛>
<o😛></o😛>
2002. Soldiers and villagers in IRan are digging graves for the victims of the earthquake. A kid holds his father's pants before he is buried.<o😛></o😛>hii hapa inaweza kuwa ni ngumu kidogo "1989. A young man in China stands before the tanks during protests for democratic reforms" ni sawa sawa na Obama aje kwako kunywa Kahawa ya jioni kibarazani kwako, labda kama sijaelewa amesimama ili kupiga picha na hizo tanks au ndio protests yenyewe tanks zisipite?
Na hizi picha zingine ninamuachia Mungu maana ndiye anajua ukweli wa mambo
1. The Buddhist priest in Southern Vietnam , burns himself
2. A mom and her children try to cross the river in South Vietnam in an attempt to run away from the
American bombs
3. A woman and a girl falling down after the fire escape collapses.
hii hapa inaweza kuwa ni ngumu kidogo "1989. A young man in China stands before the tanks during protests for democratic reforms" ni sawa sawa na Obama aje kwako kunywa Kahawa ya jioni kibarazani kwako, labda kama sijaelewa amesimama ili kupiga picha na hizo tanks au ndio protests yenyewe tanks zisipite?
Na hizi picha zingine ninamuachia Mungu maana ndiye anajua ukweli wa mambo
1. The Buddhist priest in Southern Vietnam , burns himself
2. A mom and her children try to cross the river in South Vietnam in an attempt to run away from the
American bombs
3. A woman and a girl falling down after the fire escape collapses.
nimetumia source hii ya wikipedia na hicho ndio nilisema kwenye comment yangu kuwa ni ngumu sana maana hata hatima ya huyu jamaa haijulikani ilikuwaje "but the name has not been confirmed and little is known about him or of his fate after the confrontation that day"

Ni muhimu ukatambua uhusiano wa picha, tukio na lengo la mpiga picha. Kulikuwa na maandamano ya wanafunzi, ktk hali ambayo haikutegemewa kijana huyo akaenda katikati ya barabara ambayo vifaru vilikuwa vinapita, mwandishi wa habari aliyekuwa juu hotelini aliona tukio hilo akapiga picha. Walichokiona mashuhuda ni kuwa kijana huyo aliondolewa na watu wawili na haijulikani alipelekwa wapi. Tukirudi kwenye swali lako, ili kijana huyo ajulikane na hatima yake ingebidi mwandishi aendelee kumfatilia zaidi tangu alipoondolewa barabarani, lakini ukumbuke ule ulikuwa umati wa watu wengi na jambo hilo lilikuwa la haraka tu, bila shaka watu walikuwa excited tu na kitendo cha kijana kuzuia vifaru pale barabarani na si mengineyo. Ukijaribu kuingia ndani ya akili ya mwandishi wa habari wa kupiga picha, ile tu kupata picha ya tukio kama lile ilikuwa ni zaidi ya furaha kwake bila kujali kilichofata kwa yule kijana. Ni mtazamo wangu!
Kuna video footage pia ya tukio hilo, itafute ujiridhishe mkuu. Ni kweli ni jambo gumu sana ndo maana picha ile ilipata coverage kubwa duniani wakati huo, na taasisi nyingine zikatoa tuzo kwa picha hiyo!