Harare-Zimbabwe

Harare-Zimbabwe

John Kachembeho

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
560
Reaction score
390
Unapata fikra gani kwa mara ya kwanza unaposikia jina la nchi Zimbabwe??
Kwa wengi wetu ni fikra ya nchi nchi ya Afrika yenye uchumi mbovu na na noti za fedha zenye sifuri nyingi lakini thamani ndogo, na kingine ni kiongozi wake maarufu Comrade Robert Mugabe.
Well, there is something attractive katika nchi hiyo, hapa chini ni picha za mji mkuu wa nchi ya Zimbabwe, Harare!

zimbabwe2009027.jpg


harare.JPG


harare-zimbabwe-03.jpgEastgate_Centre,_Harare,_Zimbabwe.jpg

First_Street,_Harare,_Zimbabwe.jpg
 
Jee, majengo haya mazuri ni mali ya wazimbabwe wale wazawa au ni wageni?
 
Mji mzuri na msafi, kwetu billboards zisizokua na mpangilio zinachafua zana madhari pia!
 
Jamaa wa Zimbabwe, pamoja na uchumi wao kuzorota lakini wako wasafi.

Hii inaonyesha kuwa nchi mkuu wa nchi akiwa strong, mambo mengi yanawezekana.

Mfano mwingine ni Kigali (Rwanda) kama ilivyoonyeshwa kwenye thread hii hapa chini;-

https://www.jamiiforums.com/jamii-p...kujifunza-sana-kuhusu-usafi-wa-mazingira.html

Big-up viongozi strong kama Mugabe na Kagame.

Hapa TZ hatuna mkuu wa nchi (rais), ndio maana kila kitu majanga..!!!

=================================================================================

Today, Dar es Salaam is growing to be known as one of the dirtiest cities in the world, holding the 12th position as a dirtiest.


411598253.jpg
 
Unapata fikra gani kwa mara ya kwanza unaposikia jina la nchi Zimbabwe??
Kwa wengi wetu ni fikra ya nchi nchi ya Afrika yenye uchumi mbovu na na noti za fedha zenye sifuri nyingi lakini thamani ndogo, na kingine ni kiongozi wake maarufu Comrade Robert Mugabe.
Well, there is something attractive katika nchi hiyo, hapa chini ni picha za mji mkuu wa nchi ya Zimbabwe, Harare!

View attachment 176963


View attachment 176964


View attachment 176968View attachment 176967

View attachment 176965

Wewe umeiona Harare leo. Ungeiona miala hiyo ya 1995 huko rudi chini. Hapo Nairobi ilikuwa inakaa sema ndio hivyo babu kawa mbogo kama unavyojua wenye kuishikilia dunia na hela zao wakamwadhibu.
 
Back
Top Bottom