John Kachembeho
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 560
- 388
Moja ya kauli za Rais Magufuli jana wakati akiongea na Taifa kupitia wazee wa Dar es salaam ni kutoa wito kwa watanzania kujitafakari pia ni kitu gani wamekifanya kwa nchi yao katika ssiku hizi 100 za utawala wake wa serikali ya awamu ya tano?
Tutafakari, tubadilishane mawazo, ni Yapi tumeyafanya kwa nchi yetu/Taifa letu katika siku 100 za Magufuli?
Mimi naanza;
Nimetoa ajira kwa watanzani watano na nimekuwa mwaminifu katika utoaji kodi ikiwemo kudai risti za manunuzi katika siku 100 za Magufuli.
Tuendelee....