Search results

  1. kingunge wa jf

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    Naomba kufahamishwa sababu ya serikali kushindwa kuruhusu ujenzi wa vituo vya Gesi asilia kuenea nchi nzima. Nimeona wabunge wakilalamika bila kuadress issues haswa ni kwa nini Kuna vituo viwili tu vya Gas asilia ya kwenye magari nchi nzima ukizingatia matumizi yake ni cheap na Affordable kwa...
  2. kingunge wa jf

    Nini kirefu cha herufi ya kati herufi G kwenye jina la Gadner G Habash?

    Nauliza krefu cha herufi G kwenye jina la marehemu Gadner G Habash na je hayo ndio majina yake halisi?
  3. kingunge wa jf

    Ofisi za NIDA Ilemela na Nyamagana RUSHWA na usumbufu vimekithiri

    Week iliyoisha siku ya jumatatu nilikuwa nafatilia namba ya NIDA katika halmashauri ya Nyamagana. Nikaenda pale ofisi za NIDA nikaambiwa niwasubiri watumishi wameenda Kunywa Chai, nikasubiri mpaka saa 10 jioni walikuwa bado hawajarudi baadae nikaambiwa wameondoka nirudi kesho. Yarab! Niliporudi...
  4. kingunge wa jf

    Nataka kujua location ya tapeli aliyenitapeli pesa yangu

    Yupo sijataka kumshirikisha kwanza...
  5. kingunge wa jf

    Nataka kujua location ya tapeli aliyenitapeli pesa yangu

    Wana jukwaa naomba kujua namna ya kujua alipo mwizi wangu aliyenitapeli mil 1. Nimejuana nae kwa kuunganishwa na jamaa mmoja kwamba anauzq spare parts.. amekuwa akiniuzia natuma pesa anatuma spea lakini hivi karibuni nilituma mil 1 ili anifungie mpk sasa siku ya 5 hapokei simu anajibu sms tu...
  6. kingunge wa jf

    Natafuta Used Spare parts za matrekta aina zote

    Kwa anayefahamu ni wapi wanauza spare parts za zana za kilimo kama matrekta aina zote hususani Matrekta ya Fiat/New Holland. Njoo inbox
  7. kingunge wa jf

    Ni maeneo gani ya Uhitaji mkubwa wa Mtrekta ya kulima?

    Wanajukwaa mimi ni mmiliki wa trekta zaidi ya moja naomba kujua ni maeneo gani yanauhitaji mkubwa wa trekta wakati wa msimu wa kilimo na ni mwezi upi? Kama mtu Anauhitajika na trekta la kulima naomba aje inbox Chap..!!
  8. kingunge wa jf

    Kariakoo na Dar es Salaam: Wanahistoria tendeeni haki Historia za majina hayo

    Mpaka sasa utafiti wa FaizaFoxy haujapata mpinzani hasa kuhusu asili ya neno Dar Es Salaam. Bado ni ujinga kukataa evidences alizotoa kwa sababu nyepese za kiimani..
  9. kingunge wa jf

    Lissu: Rais Samia amefanya ‘kitu cha kijinga’ kuliko marais wote wa Nchi hii (kuhusu Mkataba wa DP World)

    Wewe ikitokea Vurugu kwani lazima uwepo, si ulale kwako Masaki..
Back
Top Bottom