Lissu: Rais Samia amefanya ‘kitu cha kijinga’ kuliko marais wote wa Nchi hii (kuhusu Mkataba wa DP World)

Hakuna wa kumsikiliza Wala kumuunga mkono huyu Mropokaji ,mkurupukaji na aliyekosa adabu na heshima kwa Rais . Lissu Ni mtu anayeonekana kukosa malezi Bora ya wazazi wake, Ni mtu anayeonekana kutokuwa sawa kichwani maana ujenzi wa hoja ni mdogo usio na ushawishi Wala kueleweka kwa watu,ndio maana anatazamwa Kama sanamu tu. Maana kila mtu anamshangaa kuwa Ni mtu mzima lakini hovyo kabisa,hajielewi wala hajitambui,yeye Ni kuropoka tu chochote kinachomjia mdomoni mwake.
Lucas acha kuwa mjinga HV wee Ni mzazi ,mume wa mtu Kweli
 
Tapeli na saliti tu Hilo,Hakuna chochote anachopigania zaidi ya Tumbo lake na maslahi yake,Hana uzalendo wowote kwa Taifa letu Ndio maana familia yake haina uraia wa Tanzania,ndio sababu anahamasisha machafuko na vurugu nchini kwa kuwa anafahamu kuwa familia yake haipo nchini na Haiwezi kuteseka kwa chochote. Hii ndio sababu watanzania wanaendelea kumpuuza Sana lissu na kumuona Kama kichaa tu.
Wewe ikitokea Vurugu kwani lazima uwepo, si ulale kwako Masaki..
 
View attachment 2681364

Akiwa katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Kibamba, leo Julai 7, 2023, Mgombea urais wa CHADEMA (2020) Tundu Lissu amedai katika historia ya Tanzania kama nchi, hakuna Rais amewahi kusaini mkataba wa ajabu alioutafsiri kuwa tukio la kijinga kuwahi kutokea kama Rais Samia.

Pia, hili litaenda sambamba na kudai katiba mpya, na inawezekana mambo haya yote yakafanikiwa.
Tz tukubali tukatae hatuna rais ni mpigaji kama wapigaji wengine tu.
 
Tapeli na saliti tu Hilo,Hakuna chochote anachopigania zaidi ya Tumbo lake na maslahi yake,Hana uzalendo wowote kwa Taifa letu Ndio maana familia yake haina uraia wa Tanzania,ndio sababu anahamasisha machafuko na vurugu nchini kwa kuwa anafahamu kuwa familia yake haipo nchini na Haiwezi kuteseka kwa chochote. Hii ndio sababu watanzania wanaendelea kumpuuza Sana lissu na kumuona Kama kichaa tu.
We ndio Kichaa Sasa...ebu rudia kusoma ulichoandika
 
Hakuna wa kumsikiliza Wala kumuunga mkono huyu Mropokaji ,mkurupukaji na aliyekosa adabu na heshima kwa Rais . Lissu Ni mtu anayeonekana kukosa malezi Bora ya wazazi wake, Ni mtu anayeonekana kutokuwa sawa kichwani maana ujenzi wa hoja ni mdogo usio na ushawishi Wala kueleweka kwa watu,ndio maana anatazamwa Kama sanamu tu. Maana kila mtu anamshangaa kuwa Ni mtu mzima lakini hovyo kabisa,hajielewi wala hajitambui,yeye Ni kuropoka tu chochote kinachomjia mdomoni mwake.
Raisi Samia ndo hana Adabu anawezaje uza nchi alafu uje kusema Lissu hana Adabu...huyu mama hafai wala kuongoza Familia yake mana wao na watoto wake na vizazi vyao vijavyo kwmawauza....Ata 2025 hatakiwi kufika haachie nchi bora tuongozwe na JuMa Nature.
 
Hakuna wa kumsikiliza Wala kumuunga mkono huyu Mropokaji ,mkurupukaji na aliyekosa adabu na heshima kwa Rais . Lissu Ni mtu anayeonekana kukosa malezi Bora ya wazazi wake, Ni mtu anayeonekana kutokuwa sawa kichwani maana ujenzi wa hoja ni mdogo usio na ushawishi Wala kueleweka kwa watu,ndio maana anatazamwa Kama sanamu tu. Maana kila mtu anamshangaa kuwa Ni mtu mzima lakini hovyo kabisa,hajielewi wala hajitambui,yeye Ni kuropoka tu chochote kinachomjia mdomoni mwake.
Mkuu una shida kichwani

Akili zako hazipo sawa,Samahani inaonekana una mawazo sana sana unahitaji tiba ya psychology

Kuna wakati huwa nasoma unachoandika baadae nikagundua kosa sio lako mkuu,

You are abnormal
 
View attachment 2681364

Akiwa katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Kibamba, leo Julai 7, 2023, Mgombea urais wa CHADEMA (2020) Tundu Lissu amedai katika historia ya Tanzania kama nchi, hakuna Rais amewahi kusaini mkataba wa ajabu alioutafsiri kuwa tukio la kijinga kuwahi kutokea kama Rais Samia.

waka 2025 kwenye uchaguzi mkuu kupitia sanduku la kura, uwe mwaka wake wa mwisho kukanyaga Ikulu ya nchi hii.

Pia, hili litaenda sambamba na kudai katiba mpya, na inawezekana mambo haya yote yakafanikiwa.
Hizi ni zama za mapinduzi ya tehama
Weka clip tumsikie wenyewe, acha ushamba
 
La

La msingi ni kuungana kwenye kesi kupinga. Makubaliano hayawezi kua nje ya sheria halafu eti ndio yabarikiwe kwa kuundwa sheria kuruhusu udhalimu. Kimsingi makubaliano aliyosaini mbarawa kwa niaba ya mama ni non and void.
Wenye kuelewa tulijua huyu mama ni mtu mlaku wa mali na anaanguka kirahisi kwa tamaa. Watanganyika hatutakubali. Akikaza shingo itakua balaa ndio maana kesi iendeshwe na kila hila zithibitiwe. Vibaraka wa Dubai ni wengi hawaoni tabu nchi yetu kua watumwa wa waarabu karne ya 21.
Usukuma gang unakupa tabu sana
 
Back
Top Bottom