Search results

  1. samaki2011

    Kimenuka tena: Athari za escrow, wafanyakazi wa TAZARA wamegoma Wakidai stahiki zao

    Habari ndio hiyo, juzi walimu Manispaa ya kinondoni walilazimika kuandamana na kuwapa kashkash baadhi ya wakuu wao kwa madai mbalimbali, leo tena wafanyakazi wa Tazara jijini DSM wamegoma wakidai stahiki zao. Hii nchi inaendeshwa kihuni, watu wamechota pesa lukuki bila kuchukuliwa hatua...
  2. samaki2011

    Kimenuka Kinondoni Dsm: Walimu wavamia ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa

    ITV taarifa ya habari saa 2 Wavamia ofisi za cwt, baadae wakaona ujinga wakavamia ofisi ya mkurugenzi kuna ntu nimemwona akipewa kichapo (Kumbe ni katibu) wakidai haki zao ikiwa ni malimbikizo ya mishahara, na stahiki nyinginezo. Walinzi walijaribu kuwazuia ndipo walimu walipoamua kuwaamuru...
  3. samaki2011

    Vurugu Kilimanjaro Serikali za Mitaa,mtendaji apata kipondo

    Taarifa kupitia ITV sa 2 leo tarehe 8/1 mtendaji wa serikali ya kijiji kapewa kipigo kikali kwa kosa la kubandika matokeo yanayoonyesha mgombea wa ccm kuwa mshindi badala ya wa NCCR. alipata kichapo baada ya hapo wananchi wakamshurutisha amtangaze mgombea wa NCCR. Naomba kama kuna aliye na...
  4. samaki2011

    Mheshimiwa Mbowe tunaomba hao vijana watatu kutoka geita uwaangalie - please

    Hao vijana watatu wameonyesha uzalendo wa ajabu na wa hali ya juu, tunajua hii serikali ni ya kidhalimu sana, yakiuonevu sana, nikosa gani walilolifanya hadi polisi wawakamate? eti wafuate taratibu, hivi raisi ni zaidi ya Mungu, mbona wala sembe na wasanii wanaingia ikulu ka hotelini vile, huyu...
  5. samaki2011

    UKAWA tunahitaji kusherehekea ushindi uwanja wa taifa - dsm

    Wadau kutokana na ushindi munono kabisa tulioupata kwa kuwatokomeza wale wala rushwa, majizi ya mali za umma, wabakaji wa demokrasia, n.k sasa ni wakati muafaka wa kusherehekea ushindi wetu, juhudi tulizofanya ni kubwa mno kwanza kujiandikisha, kupiga kura na kulinda kura zetu usiku kucha bila...
  6. samaki2011

    Jiandaeni kuona bomu la nyuklia likilipuka ndani ya CCM muda sio mrefu

    Wadau kwa habari nilizozipata kutoka vyanzo mbalimbali vya habari na wadau wakubwa ndani ya ccm yenyewe kuna mpasuko mkubwa sana utatokea muda c mrefu na utaanzia ndani ya bmk. Kama una IQ nzuri hautahitaji mimi nikufafanulie na kukuletea vielelezo ambavyo kwa sasa hatuwezi kukupa kwa sababu za...
  7. samaki2011

    Udhaifu wa wanawake na wanaume

    Siku 1 nilikuwa nasafiri kutoka dar kwenda arusha. Kwa bahati nilikaa siti 1 na mdada m1 hivi mrembo, yule sister alikaa upande wa dirishani halafu mkononi alikuwa ameshika kitabu kilichokuwa na heading "Relationship to marriage" kilikuwa kimeandikwa kwa lugha ya kingereza. Kama kawaida yetu...
  8. samaki2011

    CCM itafungwa goli la kisigino na UKAWA muda si mrefu

    Vuta nikuvute juu ya rasimu ya katiba inayoendelea kujadiliwa bungeni inazidi kuiweka ccm mahali pabaya zaidi mbali na misimamo iliyoonyeshwa na viongozi wake waandamizi kwamba piga ua katiba itaandikwa hata bila ukawa. Kwa nyakati tofauti viongozi wa ccm kama wassira, lukuvi, nape n.k walikuwa...
  9. samaki2011

    Warioba awe baba wa taifa wa pili kwa uzalendo uliotukuka

    Wadau habari zenu!!! Maoni yangu wadau wa jf ingefaa sana huyu mzee akawa baba yetu wa taifa wa 2 baada ya Nyerere kutokana na ujasiri na uzalendo wake wa hali ya juu ktk kulinda maoni ya wananchi, ccm wanamchukia kwa sababu alikataa kuhongwa ili kuchakachua maoni yetu, huyu mzee ana uchungu na...
  10. samaki2011

    CCM yafilisika Kwa Kujaribu Kuidhoofisha CHADEMA

    Wadau kwanza poleni na mishemishe mbalimbali zinazowakabili. Kwa utafiti nilioufanya ni kwamba chama chetu kile kilichoshika hatamu kiko ktk wakati mgumu sana kifedha kutokana na kujaribu kutumia pesa nyingi sana kucheza rafu kwa lengo la kukidhoofisha cdm bila mafanikio. Wamechota pesa kila...
  11. samaki2011

    Ridhiwani Kikwete achemka bungeni jioni leo

    Katika hali isiyo ya kawaida Muheshimiwa alisimama na kuanza kuzungumzia matatizo ya umeme Lugoba tofauti na kifungu kilichokuwa kinapitiwa, alijikuta akikwama baada ya kuulizwa na spika kuhusu kifungu anachokizungumzia.
  12. samaki2011

    Askofu aungana na Kakobe kutaka serikali ya Tanganyika

    Ngara. Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severin NiweMugizi ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe kupigia debe Serikali ya Tanganyika. Akizungumza katika mahojiano ofisini kwake mwishoni mwa wiki...
  13. samaki2011

    Lukuvi ashushuliwa! Askofu wa Kanisa la Methodist amtaka atubu

    ASKOFU wa Kanisa la Methodist Jimbo la Dodoma, Joseph Bundala, amemtaka Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi, atubu makosa yake ili asamehewe. Lukuvi akiwa katika sherehe za kumsimika Askofu Bundala, aliwataka waumini waukatae mfumo wa serikali tatu uliopendekezwa katika...
  14. samaki2011

    Ccm yazidi kuteketea

    WANACCM zaidi ya 60 katika Kijiji cha Jojo, Kata ya Santilya, Mbeya Vijijini, wamejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Kujiunga kwa wanachama hao CHADEMA, kumemtia hofu mtendaji wa kijiji hicho, Anderson Yamaliha na kudaiwa kutoa vitisho. Mtendaji huyo alipotafutwa na...
  15. samaki2011

    Pinda: UKAWA ruksa kufanya mikutano nchi nzima!

    Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametoa ruksa kwa wanachama wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya mikutano yao nchi nzima. Pinda alizungumza jana wakati akifunga maonyesho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye...
  16. samaki2011

    Kuichagua CCM ni sawa na kulalia kisu chenye ncha kali tumboni

    Ndugu zangu wapenda maendeleo na mustakabali wa nchi yetu habarini zenu na poleni pia na majukumu mazito yakujenga taifa. Nasikitishwa sana na hali ya maisha ya watanzania jinsi wanavyopata mateso ktk nchi yao iliyo jaa maziwa na asali. Maisha ya watz wengi takribani asilimia 33.6 ni masikini wa...
  17. samaki2011

    Habari ya kusikitisha TBC 1 leo usiku

    Wanajamvi habari za jioni. Kwa wale mliokuwa mkiangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku, mtakumbuka kuna habari moja ya kusikitisha ya mtoto mmoja mwenye kichwa kikubwa kuliko kawaida (Jina lake ni Baraka na mama yake anaitwa Fatuma Chaduku), mama wa mtoto huyo ameomba msaada kwa watz ili...
  18. samaki2011

    Afisa Habari-CHADEMA atoa ufafanuzi juu ya uchaguzi wa madiwani

    Kuna mambo mengi yamezungumzwa tangu jana na hadi leo kuhusu matokeo ya uchaguzi wa marudio katika kata 27 na ushindi wa CHADEMA katika kata 3 za Kiborloni, Sombetini na Njombe mjini. Tutaendelea kusoma, kusikiliza na kupokea kila aina ya criticism, zinazotolewa kwa njia mbalimbali...
  19. samaki2011

    Msihofu CCM inapozidi kuhujumu maisha ya watu, ufalme wake umeshafitinika

    MSIHOFU CCM INAPOZIDI KUTISHA WATU, KUUA NA KUJERUHI KUPITIA VYOMBO VYAKE VYA DOLA, GREEN GUARD, N.k. UFALME WAKE UMESHAFITINIKA Mfalme mmoja anaitwa Belteshaza alifanya karamu. wakiwa wanakula na kunywa majira ya usiku kwa ghafla akaona mkono ukiandika maneno ukutani. Yale maneno yalisomeka...
  20. samaki2011

    Mdee amshukia Waziri Tibaijuka mgogoro wa ardhi

    Dar es Salaam. Waziri Kivuli wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halima Mdee amemshukia Waziri wa wizara hiyo, Profesa Anna Tibaijuka kwa kushindwa kutatua mgogoro wa shamba la Kapunga mkoani Mbeya na badala yake ameukuza. Kwa mujibu taarifa yake kwa...
Back
Top Bottom