Askofu aungana na Kakobe kutaka serikali ya Tanganyika

samaki2011

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
1,775
468
Ngara. Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severin NiweMugizi ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe kupigia debe Serikali ya Tanganyika.

Akizungumza katika mahojiano ofisini kwake mwishoni mwa wiki iliyopita, NiweMugizi alitaka Serikali kutobeza maoni ya wananchi wanaotaka Serikali ya Tanganyika kwa kuwa muungano uliopo unaunganisha nchi mbili.

Kauli hiyo inarandana na ile iliyotolewa na Askofu Kakobe juzi wakati akitoa mahubiri ya Pasaka, aliposema anaungana na Watanzania wanaodai Serikali ya Tanganyika na kuahidi kuwapa ari na shauku ya kuhakikisha inapatikana.

NiweMugizi ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), alisema ukosefu wa elimu ya uraia kwa Watanzania wasomi na wananchi, ndiyo kikwazo cha kutetea uzalendo kwenye muundo wa Muungano.

Alisema katika miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kumeibuka mambo mengi ya mpasuko wa umoja uliokusudiwa na waasisi wa kufanya mataifa mawili kuwa moja.

Alisema ili kuhakikisha Tanganyika inapatikana, lazima Serikali ya Jamhuri ya Muungano ikubali kuwa shirikisho, kwa kila nchi kupoteza baadhi ya mamlaka na masilahi ya taifa.

Huyu atakuwa ni askofu wa 37 kuumbua misimamo ya chama cha mafisadi

source - Mwananchi
 
source - Mwananchi newspaper

Hawa ndio wenye maono ya kweli ya urithi wetu na zawadi aliyotujalia Mwenyezi Mungu ya Tanganyika ambayo HAKUNA kiongozi au tabaka lolote la wachache (kama CCM na waja-tumbo wao), watakaoweza kuzuia kuwepo kwake.

Ahsante baba NiweMugizi...Taifa jipya litakuenzi daima kwa vision yako dhidi ya viongozi vipofu hawa na waliojaa woga wa kuitambua nchi yao ya maziwa na asali, ambayo kwa hila zao wameifunika kizani kwa muda tu..itafufuka!
 
Jumbe za Pasaka toka kwa viongozi wa Kanisa Katoliki ni moto Mkali sana na haat Sitta hana ka kusema zaidi maana alitegemea labda kwenda Kwa Pengo ingalikuwa msaada lakini hakuna kitu.
 
Maneno kuntu hayo yazingatiwe.hawa watu wanao pinga serikali 3 hawana hoja yamsingi naona wanarudia yaleyale aliyo zungumza jk wana fanya nini Dodoma?
 
Ninawapongeza hawa maaskofu jamani sio wanafiki kama wengine walivyo wanafiki.wengine ni wakina Yuda tu, wengine wanajifanya hawataki kujihusisha na hili la Tanganyika yetu.watadaiwa siku moja
 
ccm na aibu yao bungeni wanajadili kikao cha chama eti kutuandalia katiba. Itarahamwe aibu tupu hoja zenyewe dhaifu na wala hamna anayewasikiliza wanabwabwaja bwabwaja kama mabata vile yanayoogelea kwenye tope la kinyesi
 
Niwemugizi ni zaidi ya askofu ninayemwani japo si muamini wa dhehebu lake.
Huwa ninaamini kwa 100% kile anchokiongelea.
Hakika mungu amlinde na mabaya yote.
 
Hapa ndipo ccm inaonekana vilaza jaman, tujenge hoja hapa basi, mimi kweli ser 2 sina hoja ila ser3 ndo maana nasubiri mnibadilishe mawazo na fikra kwa hoja zenye mashiko, njooooni huku
 
Ngara. Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severin NiweMugizi ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe kupigia debe Serikali ya Tanganyika.

Akizungumza katika mahojiano ofisini kwake mwishoni mwa wiki iliyopita, NiweMugizi alitaka Serikali kutobeza maoni ya wananchi wanaotaka Serikali ya Tanganyika kwa kuwa muungano uliopo unaunganisha nchi mbili.

Kauli hiyo inarandana na ile iliyotolewa na Askofu Kakobe juzi wakati akitoa mahubiri ya Pasaka, aliposema anaungana na Watanzania wanaodai Serikali ya Tanganyika na kuahidi kuwapa ari na shauku ya kuhakikisha inapatikana.

NiweMugizi ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), alisema ukosefu wa elimu ya uraia kwa Watanzania wasomi na wananchi, ndiyo kikwazo cha kutetea uzalendo kwenye muundo wa Muungano.

Alisema katika miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kumeibuka mambo mengi ya mpasuko wa umoja uliokusudiwa na waasisi wa kufanya mataifa mawili kuwa moja.

Alisema ili kuhakikisha Tanganyika inapatikana, lazima Serikali ya Jamhuri ya Muungano ikubali kuwa shirikisho, kwa kila nchi kupoteza baadhi ya mamlaka na masilahi ya taifa.

Huyu atakuwa ni askofu wa 37 kuumbua misimamo ya chama cha mafisadi

source - Mwananchi newspaper

kuna vigogo wanatafuta cd ya Kakobe ibada ya Pasaka haijulikani kuna nini!!
 
hata waislamu wote wanatakiwa waidai Tanganyika ndio nchi yao halali hii Tanzania ni ya wakristo
 
Maaskofu wavuta bangi makanisani pia si wapo?

Huu si uungwana hata kidogo. Hivi inakuwaje ccm mukiambiwa Tanganyika munakasirika sana tatizo lenu nini? Hii ni aibu sana, ccm inakataa nchi yake kiss madaraka!!!. ccm watu wa ajabu sana. Kwahiyo Tanganyika ikirudi ccm mutahama nchi au ndo munaogopa chama kimekufa hiki.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom