Search results

  1. L

    Majirani wanamcheka mpenzi wangu

    Poleni na mihangaiko wana JF. Naomba ushauri nifanyeje hapa nilipopanga majirani zangu wanamcheka mpenzi wangu walikuwa ndani wakicheka huku housegirl akiwa mlangoni nikaona housegirl naye anacheka huku akijibu eeh kaja aliponiona mimi akafunga mlango. Mimi nilihisi wanacheka jinsi anavyo...
  2. L

    Mjamzito: Najigeuzageuza sana usiku

    Habari JF. Mimi ni mama mjamzito mimba imeshaanza mwezi wa nne. Tatizo langu kubwa usiku ninajigeuza sana mpaka naogopa. Naomba mnisaidie ni hali ya kawaida au nitakuwa nina tatizo. Nitashukuru kwa msaada wenu.
  3. L

    Bila living certificate siingizwi kwenye payrol

    Habari zenu wana JF, nimeenda kuripoti kwenye kituo cha kazi ijumaa iliyopita. Hiyo kazi nimeipata kupitia Utumishi. Huyo Afisa utumishi anataka leaving certificate ya A level na O level. Kasema sitaingizwa kwenye payroll bila hizo leaving certificate. Mimi nimesahau nilipoweka. Je...
  4. L

    Msaada tafadhari charge inaingia mpaka niingize kwa nguvu kisha nishikilie.

    Habari zenu wana Jf. Naomba msaada simu yangu wakati wa kuicharge nisipoingiza kwa nguvu na kushikiria haiingii. Naomba msaada nifanyeje. Msaada wenu mhimu sana pia nitashukuru.
  5. L

    Kwa wadada: Unajisikiaje x boyfriend wako akiwa na kazi nzuri

    Habari zenu wana Jf. Najua kuachana kwa wapendanao ni jambo la kawaida kwa dunia ya sasa. Ulipokuwa katika uhusiano na yule ulieachana nae alikuwa anasoma au hana kazi. Mlipoachana rasmi baadae unasikia x boyfriend wako ana kazi nzuri yenye mshahara mkubwa. Unajisikiaje.
  6. L

    Kuhusu Tigo overscratched voucher nani wa kutusaidia

    Habari za jioni wana Jf. Kuhusu overscratched voucher za Tigo nani wa kutusaidia ni TCRA au . Hapa nilipo nimekwangua voucher vibaya nimepiga call centre wamesema niende Tigo shop na nipo Lindi. Ivi serikali yetu imeshindwa kuzuia utapeli wa aina hii. Hizo Tigo shop zipo ngapi hapa Tanzania...
  7. L

    Kutumia simu huku unacharge kuna madhara yoyote

    Habari zenu wana jf. Naomba kuuliza ukiwa unatumia simu huku ukiwa unaicharge kuna madhara yoyote kwa binadamu. Nitashukuru kwa mawazo yenu.
  8. L

    Kutoa hela bank to tigo pesa sitarudia kumbe kuna makato

    Habari wana jf. Leo asubuhi nimetoa hela bank NMB kwenda kwenye Tigopesa. Kabla sijatoa niliangalia salio bank. Nilipotuma pia nikafanya mahesabu nimegundua ukitoa hela bank kuja Tigo pesa kuna makato lakini hawajatuweka wazi.Sitarudia tena kufanya hivyo.
  9. L

    Mapenzi ya now days afadhari kutembea na mme wa mtu

    Habari wana JF, Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache. Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.
  10. L

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Ukonga Mombasa

    Habari za asubuhi wana jf. Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya ukonga mombasa .Dalali nitaomba anipm
  11. L

    Ungekuwa ni wewe mdada ungefanyeje.

    Habari zenu wana MMU. Nilikuwa na bf kwa bahati nzuri nina ujauzito wake.Nilipomwambia alinipa hela niitoe mimi sikuitoa nikakaa kama miezi miwili nikamwambia mimba sikuitoa kwa sababu naogopa kufa. Akasema atatoa matunzo nikijifungua na kudhibitisha mtoto ni damu yake ila kwa sasa hata changia...
  12. L

    Wizara afya na hospital badilisheni utaratibu wa Mwananyamala hospital

    Wizara inayohusika na masuala ya hospital utaratibu wenu hapa hospital ya Mwananyamala sio. Umeme umekatika hata kadi hawatoi. Mnataka watu tufe.
  13. L

    Msaada jinsi ya kuedit document kwenye simu

    Habari zenu wana jf . Natumia simu ya android nomedownload file la document to go. Nashindwa kuedit document zangu. Mawazo yenu mhimu.
Back
Top Bottom