Search results

  1. Zanzibar-ASP

    Ajira Tume ya uchaguzi iangalie wanaosota mitaani badala ya kuajiri Walimu

    Ndugu yangu wewe umeajiriwa au unakaa, kula na kulala kwa shemeji?
  2. Zanzibar-ASP

    Daraja la Salender laanza kumong'onyolewa na Mafuriko, Magufuli aliona mbali kutujengea Daraja la Tanzanite!

    Ndugu yangu daraja la Tanzanite ni mpango wa Kikwete kwa 100%. Magufuli aliukuta tu, Samia akalizindua. Ule ulikuwa ni msaada wa Korea kusini baada ya kutuhonga kwenye uchaguzi wa kumpata katibu mkuu wa UN, ambapo Tanzania ikatumia ushawishi wake Afrika (kwa kuwasaliti waafrika tusimchamgue...
  3. Zanzibar-ASP

    Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

    MASWALI 1. Je, kila mara Rais anapofanya kikao cha baraza la mawaziri huwa umma tunapewa taarifa rasmi? 2. Je, serikali inawajibika kila wakati kutupa taarifa za uwepo wa kikao cha baraza la mawaziri kila kinapoitishwa? 3. Nini mantiki au umuhimu wa sisi watanzania kutangaziwa kuwepo kwa kikao...
  4. Zanzibar-ASP

    Serikali yatoa Tsh. Bilioni 66 Kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua

    Sema watanzania kupitia kodi zao ndio wametoa hizo pesa. Na rais anawajibika kuzisimamia zikafanye kazi iliyokusudiwa. Rais Samia hana hiyo pesa, na hata angekuwa nayo isingeweza kuitoa.
  5. Zanzibar-ASP

    Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

    Ujinga wa jeshi la Polisi kwa 100% Kwa hiyo polisi wanatafuta nini kwa hao watu?
  6. Zanzibar-ASP

    Yajue ya Tanga Mjini na maajabu yake

    Ulichokiandika ni ukweli mtupu 100%. Kwa kuongezea. 21. Tanga mjini baiskeli ndio kila kitu, unaweza kuhisi kila mtu anajua kuendesha baiskeli, kila nyumba kuna baiskeli, baiskeli zinapiga miche za kubeba watu kama boda boda. 22. Tanga hakuna haraka, hakuna stress, watu waishi kwa kuridhika...
  7. Zanzibar-ASP

    UZUSHI Pen (kalamu) zinazolipuka kama bunduki zinagawiwa na kuuzwa mashuleni

    Hizo vitu zingekuwa kweli zinagawiwa bure kwa watoto au kuuzwa kama njugu huko Arusha, mpaka muda huu huenda kila 'Mdudu' pale Arusha angekuwa nazo mfukoni kama 10 hivi, na mpaka muda kituo cha Polisi mjini kati (Ngarenaro) pale Arusha kungekuwa na mafuriko ya watu waliotandikwa risasi.
  8. Zanzibar-ASP

    UZUSHI Pen (kalamu) zinazolipuka kama bunduki zinagawiwa na kuuzwa mashuleni

    Huenda watanzania ujinga hautakwisha vichwani mwetu milele. Hiyo video inayosambaa ni ya wajinga tu, hakuna kitu kipya cha ajabu. Ni uzushi mtupu. Ngoja niweke sawa. 1. Video halisi haijachukuliwa hapa nchini, na mzungumzaji halisi haongei kiswahili, na alikuwa akionyesha na kueleza bunduki...
  9. Zanzibar-ASP

    IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

    Japokuwa mimi binafsi simkubali mama Samia, hususani kwenye uwajibikaji, lakini kiukweli kwenye Uchumi, Siasa na Jamii amefanya pakubwa zaidi ya Magufuli. Mama ameweza kuifungua nchi iliyokuwa gizani, kifungoni na kaburini. Yule mwamba wa Chato alituzika shimoni tukiwa wazima huku chawa wake wa...
  10. Zanzibar-ASP

    IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

    Issue sio una pato kubwa kiuchumi, issue ni uchumi wako umetapakaa kiasi gani kwenda sambamba na idadi ya watu waliopo. Mfano rahisi ni huu. Kuna kijiji A, ambapo kuna mabilionea wawili wakiishi wakiishi hapo wenye utajiri wa shilingi Trilioni 1 (bilioni 1000) na katika kijiji hicho hicho kaya...
  11. Zanzibar-ASP

    Biteko: TANESCO inanunua umeme wa Megawati 31 kutoka Uganda na Zambia

    Acha kuongea uongo hapa. Mgao wa umeme ulitandika nchi nzima, na mikoa tajwa mgao ndio ulikolea kupita maelezo. Hakuna mkoa ambao haukuguswa na mgao wa umeme safari iliyopita.
  12. Zanzibar-ASP

    Biteko: TANESCO inanunua umeme wa Megawati 31 kutoka Uganda na Zambia

    Sawa mimi ni Bwege. Wewe mwenye akili timamu sasa niambie ilikuwaje wakati wa mgao wa umeme wa nchi nzima, hiyo mikoa ya Rukwa, Katavi na Kagera mgao ndio ulikuwa mkali kupita maelezo?
  13. Zanzibar-ASP

    Biteko: TANESCO inanunua umeme wa Megawati 31 kutoka Uganda na Zambia

    Nani kasema? Hivi unajua Kagera inao umeme wa gridi ya taifa kabla ya Kigoma, Lindi na Mtwara? Sasa kama haiko kwenye gridi ya taifa kwanini wakati wa mgao wa kitaifa (kwa sababu ya upungufu wa umeme wa gridi ya taifa) nchi nzima iliathiriwa (yakiwemo hiyo mikoa ya umeme wa kununua nje ya nchi)?
  14. Zanzibar-ASP

    Biteko: TANESCO inanunua umeme wa Megawati 31 kutoka Uganda na Zambia

    Acha ujinga ndugu yangu. Hapa Tanzania kwa sasa hakuna mkoa ambao bado haujaunganishwa na gridi ya taifa. Mikoa ikishaunganishwa na gridi ya taifa maana yake, switch ya kugawa umeme kitaifa ikiwashwa (kwa mfano pale Ubungo) kila mkoa unaweza kupata umeme. Jiulize hili swali ili kupima akili...
  15. Zanzibar-ASP

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    Kamanda Murilo amechemka kwa 100%. Taarifa yake imepikwa bila kuiva. Uongo wa taarifa yake uko hapa. 1. Anasema marehemu hakuwa na utambulisho wowote (yaani hata polisi walikuwa hawamju, lakini baada ya kufariki na kupelekwa hospitali ya kituo cha Polisi Kilwa, mara moja ndugu zake walifika...
  16. Zanzibar-ASP

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Muda mchache ujao picha chafu zitaanza kusambazwa unless jamaa aachiwe kwa dhamana.
  17. Zanzibar-ASP

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Ni presha za uchaguzi wa 2025, hivyo wanasiasa wanachafuana sana ndani ya CCM. Jamaa anapiga pesa kwa huo mchongo kwa kuletewa hizo picha na watu wengine.
  18. Zanzibar-ASP

    Captain Geogre Bantu kurithi usukani kuliongoza jahazi bila Captain Mkuu Gardner G. Habash

    Watanzania acheni pombe, pombe itaendelea kuwatandika vibaya na kufupisha maisha yenu. Baada ya Kibonde, Gardner na George Bantu kujigundua wao ni walaibu wakubwa wa pombe, wakaamua kuisifia pombe, kuipa promo na kuvuna matangazo ya pombe. Sijui ni nini kimehusika kukatisha maisha ya Gardiner...
  19. Zanzibar-ASP

    Iran yalidogesha shambulio la Israel, yasema droni zilizotumika ni kama "matoi"

    Wairan wa buza naona mmekuja JF kufarijiana baada ya jaribio lenu la kuishambulia Israel kushindwa kwa 99%. Mzayuni hanaga dogo, anatwanga popote na yoyote. Haogopi mtu.
  20. Zanzibar-ASP

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Nitashangaa sana kama Simba yangu tutarudi uwanjani kuendelea na mechi. Na kama wachezaji wakirudi uwanjani basi mashabiki taratibu tuondoke uwanjani, maana kuna kilio kikubwa kinakuja.
Back
Top Bottom