Search results

  1. M

    Kanunua gari amtongoze mke wangu. Nimfanyeje?

    M2 kama Huyu unamfanya mke wa2 tu, coz anataka kukukomoa Kwann asitafute m2 ambae hayuko kwenye mahusiano! Anamtafuta mke wako ambae mmesota naye kitambo, ... kuna v2 vinauma ila kuchezewa mke wako na bwege kama huyu. .. inauma bro!!
  2. M

    Njoo Tupeane Mbinu Za kuwakwepa Vibaka

    daa kuna kipindi nilichelewa kirud kwa amko keko nilikua natoka kwa mamkubwa k-nyama, nlipitia kkoo mida ya saa5 kutoka kkoo mpaka keko nlikosa gar ikabid nitembee, kufika karibia na mataa ya keko kwenye lile daraja la treni nkaona njemba zinanivizia, salama yangu nikaona nijifanye kama wao...
  3. M

    ITIKADI ni imani; Membe amepotoka na amefanya uamuzi wa kijinga

    Kinachotekea sasa hiv sio, sio itikadi bali ni ubinafsi, maslahi binafsi, unafki, all for personal benefits and not as a nation!!
  4. M

    ITIKADI ni imani; Membe amepotoka na amefanya uamuzi wa kijinga

    'Itikadi ni imani' ... naamina imani hubadilika, watu hubadili imani wanapoona waliyokuwa wanayaamini hawayaishi, so huwez kuendelea kuamin kitu ambacho kiwez kukiishi.. conclusively kama unaweza kabadil imani it is easy kubadil itikadi!
  5. M

    Clearing and Forwarding service

    kalibu!!!! Wakalibishe!!! are you serious!!! remember you are talking business! how can we trust you? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Timber ni continuous product, lkn minerals wanachimba zikiisha zimeisha!! Thats a fact basing on natural resources found in these places!!
  7. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Mafinga has potential to grow than kahama, i have been in both places! Mafinga has timber which is more valuable to me than minerals!!! Which 4 me has less impact to locals than timber!!
  8. M

    Hizi ndizo fedha alizolipwa Ndugai ambazo hataki watu wajue lakini anatangaza za Lissu hadharani

    Duuu! Ipo siku Mungu atawainua wanyonge tunaokosa panadol kwenye vituo vyetu vya afya....kama alivyomuinua T.A.M.L kutoka kwenye matundu ya risasi yaliyotoboa mwili wake!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Dkt Mlundwa: Zitto atofautishe Uchumi na Uhasibu

    Kwel kabisa ..... hiz n zile zile
  10. M

    Dkt Mlundwa: Zitto atofautishe Uchumi na Uhasibu

    Naomba nikukosoe mkuu "retained earnings" sio mapato mengine... bali ni faida inayorudishwa kwenye kampuni kwa ajili ya kuinvest na shuguli zingine, .. baada ya kutoa portion ya gawio .... Unapoongelea mapato mengine "other income" ni faida inayopatikana kwenye vyanzo vingine vya mapato ambavyo...
  11. M

    Marekani ikiipiga Korea Kaskazini, nini kinachoweza kuendelea?

    I believe USA haingii kwenye vita tu kwa sababu kawa provoked, 4 m its a matter of calculations socially, politically na mostly economically.... when it comes to war naamin hamna nchi individually inaweza kusimama na marekan it wont take even a day kuwasambaratisha but what will they gain if...
  12. M

    Ni Tanzania Pekee (only in Tanzania)

    Sioni shida coz this PHD person anasoma kiingereza lkn anaishi kiswahili
  13. M

    Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    Mmhh sio kosa kisheria na kikanuni, you mean rais amekosea mazima!!!!
Back
Top Bottom