Search results

  1. P

    Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

    Naomba jamaa wa magwanda wakubali kushindwa. Sera za fujo hazisaidii!!
  2. P

    Kwa wanaume: Je unaikumbuka simu yako ya kwanza? Kitu gani kilikusukuma kuinunua?

    Ilikuwa Samsung 125 ina kaantena. Siku moja nikawa napita pale shule ya uhuru kuelekea kituo cha basi ambacho sasa wamekihamisha huku nimeweka simu yangu kwenye mfuko wa shati kaantena kanachungulia. Jamaa akanitega na mguu wake, namuuliza vipi kumbe ni danganya toto, mwenzake akachomoa ile simu...
  3. P

    Lema 'pasua kichwa' CHADEMA

    Najua watu wasiotaka kuambiwa ukweli watakataa lakini huu ndio ukweli wenyewe. Wote wanaweza kuhamasisha maandamano ila wanachozidiana kwa hili ni jee hayo maandamano yana tija yoyote au ni kujitafutia umaarufu?
  4. P

    Ziara ya KM wa CCM W. Mukama Kanda ya Ziwa: Matukio na Yatokanayo

    Naona ni sahihi kwani serikali si inatimiza sera za chama chake?
  5. P

    Ting decoder packages

    Wasiliana nao kwa namba 0763159716 watakusaidia
  6. P

    The truth about army ammuniation explosion like that of Gongo la Mboto

    It is true. We lack professionalism in every think.
  7. P

    Maoni ya wananchi: Suluhu ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam

    Tusubiri flyovers zinakuja
  8. P

    mimba

    Itakuwaje kama tarehe zake huwa zinabadilikabadilika, say mara 28 mare 33 mara 20. Asante mkuu kwa msaada wako.
  9. P

    Elections 2010 Kuelekea uchaguzi: Jeshi lawatisha wananchi

    Tamko la wanausalama linaeleweka vzr ila ni hao wanaojiita wanaharakati hawakulielewa na wameamua kulitafsiri vibaya. Hizi siyo civil societies ni vyama vya siasa. Wanajeshi wanahusika pia na usalama wa raia ndiyo maana hata wakati wa maafa wanajishughulisha na uokoaji. Kwenye tamko lao...
  10. P

    Elections 2010 CCM of 2010 is the Best Ever!!

    Sidhani kama kuna nchi yeyote hapa duniani ambapo hakuna maskini, maradhi na ujinga, kama ipo nitajie. Tuache blabla mafanikio yapo sana ukilinganisha na huko tulikotoka na pia nji zingine. BRAVO CCM NA JAKAYA.
  11. P

    Kigamboni New City Master Plan

    Tanzania kwa kuplani tu ndiyo wenyewe, tatizo liko kwenye utekelezaji. Tusubiri tuona ila plan nimeikubali.
  12. P

    Hiii dunia kweli ni uwanja wa visa..

    Mara nyingi wanawake ndiyo wanabebeshwa lawama. Hii iwe fundisho kwa wanaume, wajue na wao huwa wanakuwa na matatizo vilevile
  13. P

    Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

    Angola na Mali wamecheza jana na matokeo ni draw ya goli 4 kwa 4. Angola waliongoza kwa goli 4 mpaka dakika ya 79 ndiyo Mali wakaanza kurudisha goli moja baada ya lingine. Very suprizing lakini ndiyo maana wanasema mpira ni dakika 90!
  14. P

    Kuwafanyia watoto DNA test

    Kawaida ya ndoa ni kuaminiana ili muishi vizuri. Inapofikia mambo ya kupima DNA UJUE KUNA TATIZO KUBWA SANA ambalo kama hukutatua litaleta matatizo. Vinginevyo hakuna haja ya kupima wala kuongelea suala hilo kwa manufaa ya watoto.
  15. P

    Am Speechless!

    Hata mimi imeniacha speechless. Huyu jamaa yako namfahamu ingawa siyo kwa karibu sana. Wape pole sana nashindwa kifikiria hali aliyokuwa nayo kwa sasa.
  16. P

    Mihadhara ya kidini

    Hata huku tabata wapo. jamaa wana makelele kweli mpaka wanaudhi.
  17. P

    Egypt vs Tanzania Nov 5, 2009

    Naona kuna tatizo hata la kipa. Hivi Kaseja kamfanya nini hasa Maximo mpaka anamwacha wakati ndiyo kipa mzuri. Huyu jamaa aondoke tu!
  18. P

    Zimamoto yatoa stika

    Hivi hizi stika hasa ni kwa ajili ya nini na watatungazia wamepata kiasi gani na wmezitumiaje?.
  19. P

    Kesi ya Liyumba: Wadau mnasemaje?

    Naona mashahidi kwenye kesi hizi huwa wamapangwa kizidhoofisha. Inashangaza kuona mchunguzi anashindwa kujibu maswali obvious kabisa kwa mtu wa taaluma yake. Kweli na hii inaelekea kwenye Uzombe zombe!
Back
Top Bottom