Search results

  1. Cool

    Zoezi la urasimishaji Iringa lina upigaji pesa

    Hivi karibuni Mh. Waziri Lukuvi ameagiza gharama za urasimishaji zisizidi Tzs.150,000 nchini kote. Ila Manispaa ya Iringa bado wanatoza Tzs.250,000 kwa sqm 400. Nimeona mama mmoja mnyonge ameshindwa kabisa kutoa hiyo hela. Swali langu ni kwamba hivi ni upigaji au ndo gharama zimebadilika...
  2. Cool

    Ma-Professor wa vyuo vikuu wanapolazimisha watu kununua pamphlets zao

    Sijaelewa ni kwa nini hili suala linakaliwa kimya namna hii. Kuna baadhi ya wahadhili wa vyuo vikuu hasa UDSM na campus zake wanawalazimisha wanafunzi eti ili ufaulu lazima ununue pamphlet langu. Na ukinunua anakuandika jina kabisa ili siku anaposahihisha ajue adui yake ni nani ili amkamate...
  3. Cool

    Kanisa la EAGT Mafia lachomwa moto

    Picha za kanisa la EAGT zilivyonaswa toka katika chanzo chetu, Nasikia ni la Mafia, Limechomwa kipindi cha Pasaka. Wenye habari zaidi watujuze, mliopo huko
  4. Cool

    Tuition ya "a" level arts inapatikana wapi kwa hapa dar?

    Jamani wana jamvi, nahitaji tuition ya form six kwa masomo ya HGE hapa Dar es Salaam inapatikana wapi. Nahitaji kwa muhula huu wa likizo ya mwezi June.
  5. Cool

    Dr. Nchimbi: "Heri Mchawi kuliko mwongo"

    Jamani wanajamvi naomba kujulishwa kwa wale wakristo, hivi ni wapi imeandikwa heri mchawi kuliko mwongo? Maana Dr wetu amenukuu katika kuchangia hoja bungeni jana. Nisaidieni jamani
  6. Cool

    Dar bwana!.. maeneo mengi yananuka kinyesi kibichi

    Kila siku nikipita mitaa mbali mbali ya Dar es Salaam nasikia harufu ya fresh kinyesi, hivi ni nini hasa, ukichukulia mvua sasa hivi hazinyeshi ila mitaa inanuka kana kwamba jamaa wanajisaidia kwenye mitaro. Si uswahilini, si masaki, si mikocheni,, kote kunanuka tu. Hivi nani muhusika mkuu...
  7. Cool

    Makanisa ya Changanyikeni Dar kuweni macho kuanzia hivi sasa

    Kwa habari nilizonazo, ni kwamba kuna kundi la watu wanasemekana ni waislamu wenye msimamo mkali wamepiga kambi maeneo ya Chuo kikuu huko Changanyikeni kwa ajili ya kufanya matukio kama yale ya Mbagala na sehemu zingine. Kuweni macho, ......(tafadhali msipuuze) Source.. Mimi mwenyewe
  8. Cool

    Benjamini Mkapa akigombea tena 2015 itakuwa safi sana

    Ikiwezekana Benjamini Mkapa agombee tena 2015 itakuwa safi sana kwa jinsi hali ilivyo, Nawaza tu!
  9. Cool

    Jamani Oilcom ni wezi! wezi! wezi wa mafuta kabisa

    Nimekuwa nasoma post mbalimbali kuhusu wizi wa hawa jamaa wa Vituo vya mafuta vya OILCOM, nikapuuza leo yamenikuta. Nimetoka na gari yangu mpaka Oilcom pale tiptop manzese, nikajaza mafuta ya 12,000 yaani lita 6. Natoka hapo nikijua hayo yatanifikisha mpaka kesho, nafika Jangwani taa ya mafuta...
  10. Cool

    Mi nawaambia TIGO wanatuibia!

    Jana nilikuwa na salio la 250/= kumpigia jamaa wa namba ya tigo baada ya dakika 1.01 salio limekwisha DU!
Back
Top Bottom