Search results

  1. chakii

    Huyu Mwanajeshi aliekuwa akihutubia leo si ndio yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Muandaaji wa hizi scenes kafeli pakubwa wamafukuze kazi Tu. Hawa viongozi sijui wanatuonaje Watanzania
  2. chakii

    Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

    Hii nchi viongozi wanaongoza kwa ajili ya kuchaguliwa tena, wao wanachowaza ni Uchaguzi tu na kuendelea kubakia madarakani
  3. chakii

    Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Hii nchi ina vituko Sana, na kwanini bei ya unit moja ya umeme ibakie ileile ya kipindi cha ukame na wakati sasa hivi wanasema Wana umeme ambao hawajui pa kupeleka? Tusidanganyane bado umeme ni tatizo nchini
  4. chakii

    Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Kasikilize tena taarifa ya waziri wa Nishati Bw. Biteko
  5. chakii

    Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Mtauzaje wakati bado hamna umeme wa kuwatosheleza MAHITAJI mkuu?
  6. chakii

    Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Namna gani utaweza kusema ng'ombe hakimbii wakati umemfunga kamba miguuni
  7. chakii

    Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Ndio maana nikasema bado hatujawa na umeme wa kututosha kama asemavyo Waziri, umeme uliopo ni wa kuwasha taa pekee na kuwasha TV na Radio
  8. chakii

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Mama angeshinda wangeomba radhi? Waache unafki ila ujumbe umefika
  9. chakii

    Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Ndio. Unasemaje umeme unazidi MAHITAJI huku watu wamefungia majiko ya umeme store wanahangaika na mkaa au kuni
  10. chakii

    Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Sahihi
  11. chakii

    Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Nimemsikia Waziri wa Nishati Bw. Biteko akisema Serikali imelazimika kuzima mitambo ya kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mwl Nyerere kwa kuwa matumizi ya umeme nchini ni madogo kuliko uzalishaji. Nataka nimwambie Waziri Biteko kauli yake ya kuwa matumizi ni madogo SIYO KWELI bali ni kwamba UNIT...
  12. chakii

    Nina wazo la biashara japo la naliuza

    Walete walete mkuu....
  13. chakii

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    SIMBA ondoeni timu uwanjani, huu ni udhalilishaji
  14. chakii

    Nashughulikia mambo mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Nahitaji MTU anayetoa huduma kama hii yako ila aliyepo Dar es salaam
  15. chakii

    INAUZWA Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526

    Bado hujanijibu swali langu lakini
  16. chakii

    INAUZWA Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526

    Kwa mwezi mmoja unaweza Ku earn kiasi gani cha pesa kupitia channel yako?
  17. chakii

    Arusha: Abiria wa Mikoani wamekwama!

    Sawa msafiri😀
  18. chakii

    Arusha: Abiria wa Mikoani wamekwama!

    Daraja la msomali lipo Bomang'ombe wilayani Hai au Arusha?
Back
Top Bottom