Search results

  1. Kiruke cha Ibwe

    Wanawake mnaombaomba hadi kero ndo maana mnapigwa mimba hovyo

    1. Hv kuomba omba na mimba vinahusiana?? 2. Unajiweka katika risk ya kupata magonjwa kama ukimwi na pia kusababisha watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu simply because umeombwa?? Sijui ni hela ama nn 3. Sasa kama hutaki kuombwa si uachane naye?? Hiki kizazi taab sana, zamani wanaume...
  2. Kiruke cha Ibwe

    Matatizo ya kiuno

    We wakike au kiume?
  3. Kiruke cha Ibwe

    Preta njoo nikutongoze, wengine tulieni mjifunze

    Mwambie we mdogo bado hujaanza izo mambo
  4. Kiruke cha Ibwe

    Preta njoo nikutongoze, wengine tulieni mjifunze

    Kataa wewe tupate mistari mingine ebo! Ujue watu tupo na kalam n karatas ;)
  5. Kiruke cha Ibwe

    Wanandoa kukaa zaidi ya mwaka bila kufanya tendo la ndoa

    Habari. Hivi inawezekana na ni sawa kwa wanandoa kukaa kipindi kirefu bila kukutana kimwili? Inafika zaidi ya mwaka na wakiulizwa wanasema hakuna shida!!
  6. Kiruke cha Ibwe

    Mke wangu analeta kiburi, hataki niongeze mtoto wa sita

    Mbembeleze atakuelewa tuu...na salon asiende tena
  7. Kiruke cha Ibwe

    Njia gani za kuapata kazi nchi za Ulaya

    Duh cdhani kama huyu jamaa ni mzima, wakati mwingine kama huna mchango ni heri kukaa kimya badala ya kudhalilisha ukoo wenu
  8. Kiruke cha Ibwe

    Mitungi ya ORYX gas

    Ndio wanakuuzia
  9. Kiruke cha Ibwe

    The perfect one night stand

    One night stand should remain as a one night stand...niliwah kulazimisha kurudia game mara baada ya kupata mambo ya uhakika kwa mtu alopaswa kua one night stand...iliboa na hatukuiongelea tena...hadi sasa tukikutana tunapishana kama strangers
  10. Kiruke cha Ibwe

    Top ten yangu kwa uvivu

    Vipi maswala yetu ya kikubwa hua unamaliza kwel? Au unaishia kulala kwenye kifua cha wife?
  11. Kiruke cha Ibwe

    Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

    Aaaaah kwenden zenu...kama vp jipodoen na nyie :/
  12. Kiruke cha Ibwe

    Kuna 'vigari' mwanaume hutakiwi kuendesha by the way

    Mh kuna haja ya kuanzisha baby class humu JF maana naona watoto wanapost upuuzi majukwaa ya watu wazima. Annoying
  13. Kiruke cha Ibwe

    Gerald Hando avujisha sexy photos

    Kha yani nlivokua na ugwadu wa chabo nlipoona hii post nkaclick fasta kumbe ovyo
  14. Kiruke cha Ibwe

    Inaniuma sana ila sina jinsi,na sijui nifanyeje naomben ushauri wenu

    Ongea na shemeji yako...mfahamishe tu kua umejua ayatendayo ila usimwambie unapanga kuchukua hatua yani .. Na yeye aumize kichwa kidogo
  15. Kiruke cha Ibwe

    I decide to mary her for the sake of my kid

    Kwel kwenye Miti hapana wajenzi. Ila pia nadhani hujitambui...kama huna mpango nae mbona umetulia nae mda mrefu hvo? Two years with her...did u have any other girlfriends during that time??
  16. Kiruke cha Ibwe

    Kuoa/kuolewa sio sababu ya kunenepeana

    Inaonekana ile chakula ya usiku ina virutubisho sana ss kwanini wasinenepe?
  17. Kiruke cha Ibwe

    Hivi kuna atakayekataa kuwa rais wetu ni wa ukweli?

    Ilo la sembe ndo linaniuma zaidi. Yani imekua ni kawaida sijui vijana na watoto wetu tuwafiche wapi
Back
Top Bottom