Search results

  1. K

    Mbunge aomba kuwe na chuo cha kufundisha wanaume kutongoza wanawake

    Pamoja na kwamba sipendi kunyanyaswa kwa hao vilema, tunachojua wote ni kwamba siku hizi uwezo wa mwanaume kutongoza ni kuwa fisadi. Ukiwa fisadi tayari una uwezo wa kutongoza hata wanawake wanaopania kuwemo katika list ya wabunge wa viti maalum.
  2. K

    Jiji la Mwanza wagomea sensa, Makarani hawana sare wala vitambulisho!

    Funguka mkuu! Wengine hatujakupata.
  3. K

    Jiji la Mwanza wagomea sensa, Makarani hawana sare wala vitambulisho!

    Bila kusahau ubwabwa kwenye kampeni {Bonyeza hapa}
  4. K

    Jiji la Mwanza wagomea sensa, Makarani hawana sare wala vitambulisho!

    Umepunguza munkari wangu wa kumjibu huyo jamaa. Nilitaka kumuuliza kama hao sita aliowaona ndiyo idadi ya makarani wa Mwanza nzima.
  5. K

    Jiji la Mwanza wagomea sensa, Makarani hawana sare wala vitambulisho!

    Udhaifu wa zoezi la sensa jijini Mwanza umeingia hatua nyingine tofauti na ya jana ya kuchelewesha malipo ya makarani wa sensa iliyowekwa hapa. Udhaifu huo wa jana haukuishia kufanya makarani wachelewe kupatiwa posho yao ya kuanzia kufanya sensa, lakini pia hawakupewa sare yaani utambulisho...
  6. K

    Vodacom’s revenue in the Tanzanian market grew by 45 per cent in this first quarter of the 2012/13

    Mwaka jana siku ya kufunga Bunge kama muda huu Waziri Mkuu alitoa list ya kampuni zinazoongoza kulipa kodi na Vodacom ilikosekana kwenye hayo 10. Kuna tetesi kuwa hii ni moja ya kampuni inayoajiri wageni zaidi kuliko wenyeji tena kwa kazi ambazo wenyeji wana uwezo nazo. Kwamba kuna wahindi...
  7. K

    Nauchukia udaktari. Wanafunzi msiusomee. Hauvutii kama Ubunge, Uwaziri

    Hivi unadhani kila mmoja angekuwa na access ya kuchota hela za EPA nani angelalamika kuongezwa mshahara. Waulize hao uliowataja kama wanaweza kukueleza walivyopata capital ya kuanzisha unavyoviona. Wakikujibu, basi unastahili zawadi.
  8. K

    Nauchukia udaktari. Wanafunzi msiusomee. Hauvutii kama Ubunge, Uwaziri

    Kama vifaa tu vya hospitali ya Serikali imeshindwa kununua hizo skill utauzaje?
  9. K

    Nauchukia udaktari. Wanafunzi msiusomee. Hauvutii kama Ubunge, Uwaziri

    Hebu sema kwa mujibu wa IQ yako ni mahala gani kwenye post yangu nimesema Ubunge, Uwaziri ni profession? Unadhani wakati ninapost sikujua kwamba ubunge si proffession ya kupata chuoni? Nimeandikapost kistaa nikijua mpo mtakaokurupuka kana kwamba nimesema hivyo ni profession. Wewe, unatakiwa...
  10. K

    Nauchukia udaktari. Wanafunzi msiusomee. Hauvutii kama Ubunge, Uwaziri

    Kwanza combination yake unapoingia form five ni Physics, Chemistry na Biolology (PCB), au Chemistry, Biolology, Geography (CBG). Anyway siku hizi University zimekuwa kibao hivyo maadam una Biology na Chemistry basi kuna kila linalowezekana ufike form six na baada ya hapo usomee udaktari...
  11. K

    Rais hakukosea kuwateua wabunge na hapohapo kuwapa Uwaziri. Wameapa tena leo.

    Mkuu, Nakuomba uongee kidogo kuhusu Jaji Mkuu na Jaji wa Zanzibar kuongoza kamati ya Bunge. Maana yake ni kwamba Bunge linaweza kutengeneza kanuni inayoruhusu hata wewe uwe mwenyekiti wa Kamati ya Bunge. Kazi ya kutunga Kanuni hiyo ni ya Bunge na inafanywa “mace” ikiwepo. Lakini Kamati...
  12. K

    Huu ndiyo Mkataba wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Articles of Union)

    Sijui unawezaje kudhani logically unaweza kudanganya watu wazima kama sisi. Unaposema kulikuwa na kfingu cha kura ya maoni baada ya miaka 10, basi kifungu eleza hicho kilinyofolewa lini. Maana Bunge la Tanganyika lilipoujadili ndiyo ukaenda public kwa mara ya kwanza na hivyo kingeonekana au...
  13. K

    Mh Rais Hakuvunja KATIBA yupo sahihi kwa katiba ya nchi yetu

    Kuna watu kwa makusudi hupenda ubishi usiishe kwa sababu tu ya kupachika neno "tafsiri" hata kwa terms zilizo obvious. Msipojikita kwenye Sheria za viapo (Oaths) na Sheria za Kutafsiri Sheria (interpretations) basi mtakaa mbishane kila kukicha.
  14. K

    Huu ndiyo Mkataba wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Articles of Union)

    1: Unazieleaje hizo za kwenye bold. 2: Toka Jumbe na wengine waliopata ku-publish kopi yake, hakuna aliyewahi kukanusha au kumshtaki aliye-publish kwamba ana-mislead public. 3: Hata humu JF, naona sanasana watu wako sceptical tu, lakini sioni anayekana kwamba content za Mkataba tulizoletewa na...
  15. K

    Huu ndiyo Mkataba wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Articles of Union)

    Heshima zako mkuu, Hivi haiwezekani mtu kufungua kesi kwenye mahakama ya kimataifa, I mean kesi kama zile za Mtikila kudai hizi article ambazo ziwekwe wazi. Kama ikithibitika kwamba kweli haziko, basi maana yake hazikuwahi kuweko na hivyo muungano ni batili. Sijui unasemaje na mnasemaje?
  16. K

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Wote wawili hapo kwenye RED mnatakiwa mkapimwe akili zenu. Hakuna sentensi au hata nukta katika historia ya binadamu inayoonyesha kwamba mzazi ana haki ya kumfanyia ukatili mwanae! Kanisa Katroliki linapogundua mzazi kamfanyia ukatili mwanae kwa kumuua kwa njia ya abortion basi hata kumzika...
  17. K

    Kumbe "Magwanda" ni chama tawala cha Uganda

    Ni nini usichokielewa kwamba yale walivyoaa wabunge wa Uganda ni "magwanda" tena yanayostahili kuitwa "Kombati"
  18. K

    Kumbe "Magwanda" ni chama tawala cha Uganda

    Nani kataja neno wanajeshi. Wanaojua kusoma wamesoma habari nzima na chini ya ile picha imeandikwa hivi: {Waziri Mkuu wa Uganda, Amma Mbabazi, akizungumza na wabunge wa NRM katika mkutano wao huko Kyankwanzi....}
  19. K

    Kumbe "Magwanda" ni chama tawala cha Uganda

    Waswahili Bwana, Mnabishia hadi picha!
  20. K

    Kumbe "Magwanda" ni chama tawala cha Uganda

    Nadhani ungependa tuwaite kabisa "Kombati" na si jina la heshima "Magwanda".
Back
Top Bottom