Search results

  1. TinyMonster

    Kuna biashara zimedoda kwa sababu ya ugomvi wetu na nchi jirani, hasa Kenya

    In all fairness, Wakenya sasa hivi hawaji kwa sababu ya usumbufu kwenye mpaka tangu Covid ianze
  2. TinyMonster

    Jeshi la Tanzania limekana madai kwamba limekuwa likihusika katika mzozo wa kivita unaoendelea nchini Msumbiji

    Tatizo inaanzia Msumbiji baadae watapanda hadi Mtwara bora kama inawezekana tupeleke jeshi kuwasaidia wamaliziwe huko huko
  3. TinyMonster

    Uchaguzi 2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

    Good observation ingawa haibadili ukweli kuwa CCM wamefanya mikutano mingi zaidi kuliko chama chochote, mgombea wao kila wilaya au centre kubwa anasimama na kuhutubia tofauti na vyama vingine ambavyo vinaenda mkoa kwa mkoa.
  4. TinyMonster

    Kurugenzi ya Mawasiliano CHADEMA iamke

    Nimeona nilisemelee hili mapema kabla kampeni hazijaanza, kiukweli kurugenzi ya mawasiliano CHADEMA imepwaya sana suala la organization ya huu mkutano mkuu. Mtu anaweza kuwaza kuwa uhaba wa vyombo vya habari kwenye Mkutano ni kwa sababu vyombo vya habari vina uoga lakini ukweli ni kwamba...
  5. TinyMonster

    Fursa ya kazi ya kuchuma matunda Uingereza kiangazi cha 2020

    Kati ya visa ngumu kuzipata ni pamoja na ya Uingereza. Hizo kazi wanapewa watu wa visiwa vya Caerebbean ambao wana unafuu kutokana na kuendelea kumtambua malkia Elizabeth kama mtawala wao.
  6. TinyMonster

    Ili CHADEMA isife, Mbowe kampigie goti Rais Magufuli kwa uongo mliomzushia toka aingie madarakani

    Hizi akili nyingine sijui mnazipata wapi. The fact kwamba dola inatumia nguvu kubwa kuizamisha chadema inamaanisha Mbowe ni tishio na haitaji kwenda kujipendekeza kwenye system kama wanavyofanya kina Mbatia na Lipumba.
  7. TinyMonster

    Iddi Amin kiongozi bora kuwahi kutokea Afrika

    Huyu mwamba aliwapelekesha wazungu na wahindi hawana hamu nae
  8. TinyMonster

    Chanzo cha B. Dozen kuhama Clouds

    B. Dozen kuondoka Clouds wengi wanadhani ni sababu za marupurupu au kumsifia Diamond waziwazi ila ukweli ni kuwa chokochoko zilianza mwaka juzi baada ya marehemu Ruge kumchukua Kennedy toka East Africa Radio na kumuweka kwenye XXL akiwa na lengo la kumfanya awe sura ya kipindi. Kwa miaka zaidi...
  9. TinyMonster

    Nini kifanyike Wizara ya Viwanda na Biashara?

    Hayupo active kivile ila ni Mwana JF toka enzi hizo hajawa mbunge
  10. TinyMonster

    Nini kifanyike Wizara ya Viwanda na Biashara?

    Natamani nikubali ili mlete dili PM niwanyooshe 😂😂
  11. TinyMonster

    Nini kifanyike Wizara ya Viwanda na Biashara?

    Ni wizara muhimu sana katika nchi kama ingekuwa ni timu ya mpira tungesema ndio namba 6, maana ukivuruga viwanda na biashara wizara nyingine na taasisi za serikali haziwezi kujiendesha kutokana na ukweli kwamba makusanyo ya kodi yakikwama kutokana na biashara kutokuwa nzuri uchumi unayumba. Ni...
  12. TinyMonster

    Humphrey Polepole na Janet Masaburi wanavyoizika rasmi CCM Segerea

    Kwanza tukubaliane CCM Segerea inapumulia mashine. Hawana diwani hata mmoja na 2015 isingekuwa ujinga wa chadema kusimamisha mgombea pengine Mtatiro ndiye angekuwa mbunge
  13. TinyMonster

    Ukweli kuhusu kusitishwa bomoabomoa bonde la Msimbazi

    Ndiye mtu pekee ambaye mkuu anamkubali hilo linajulikana na ndio maana hajamfukuza pamoja na madudu yote aliyofanya
  14. TinyMonster

    Ukweli kuhusu kusitishwa bomoabomoa bonde la Msimbazi

    Kuhama ni muhimu kama umewaandalia mazingira mazuri. Si umeona kimara wanavyolala nje baada ya kubomolewa
  15. TinyMonster

    Ukweli kuhusu kusitishwa bomoabomoa bonde la Msimbazi

    Wanasiasa ni opportunist mkuu lengo lao ni kuhakikisha wanabaki madarakani
  16. TinyMonster

    Ukweli kuhusu kusitishwa bomoabomoa bonde la Msimbazi

    Taarifa za chini ya kapeti ni kuwa suala la bomoabomoa ya nyumba 17,000 iliyotangazwa kufanyika Dar kusitishwa kutokana na rais kutokuwa na taarifa nayo ukweli wake haswa ilikuwa ni wabunge wa majimbo ya Ilala na Segerea kwenda kulalamika Ikulu kwamba bomoabomoa hiyo inatishia maelewano yao na...
  17. TinyMonster

    Diamond Platnumz jihadhari na washauri wako

    Kwa wiki nzima hii ukifuatilia kinachoongelewa katika mitandao ya kijamii na kwenye vipindi vya burudani ni ugomvi unaowahusisha Diamond na Alikiba, yote ikianza baada ya wimbo wa Fid Q aliowashirikisha Diamond na Rayvanny kutoka na kusikika mashairi yaliyoonekana kama yanamlenga Alikiba. Mara...
Back
Top Bottom