Search results

  1. K

    Vituko vya Clinton: Alicheat on Monica Lewinsky as Well

    Monica Lewinsky (ironically) freaked out that Bill cheated on her By Daniel Halper New York Post June 18, 2016 President Bill Clinton had an affair with former Vice President Walter Mondale’s daughter — while multitasking with at least two mistresses in the White House — according to a...
  2. K

    Wanasiasa Waliotajwa Kwenye Panama Paper

    Panama Papers: Who’s Implicated from Africa? By Conor Gaffey On 4/4/16 at 2:27 PM Panama Papers Leak The massive leak of confidential documents described as the Panama Papers has got a lot of politicians and world leaders hot under the collar. Here, Newsweek considers five of the African...
  3. K

    Kumbe Bwana Marion Suge Knight Aliipigwa Risasi Last Weekeend

    Yahoo News LOS ANGELES (Reuters) - Hip hop mogul Marion "Suge" Knight, who was shot and wounded at a Los Angeles nightclub over the weekend, was resting at a local hospital but had "lost a lot of blood," his family said on Monday. Knight, 49, was struck by bullets early on Sunday...
  4. K

    Tajiri Mkubwa Kuliko Wote Zanzibar

    Tajiri mkubwa kuliko wote Zanzibar Ni Noushad Mohamed akifuatiwa na Raza Mohamed Raza
  5. K

    Je wakati umefika wa kuliangalia suala la ndoa kwa mtazamo tofauti?

    Mwandishi anasema sikuhizi divorce rate imeongezeka sana almost nusu ya ndo zote zinafungwahuvunjika) na pia almosy asilimia 50 ya watu walioko kwenye ndo walifanyiwautafiti wakakiri kuwa wamewahi kucheat (physically or emotionally). Kwaiyomwandishi anauliza je hatuoni kuwa wakati umefika wa...
  6. K

    JK kummaliza Lowassa: Amrudisha Sokoine nyumbani aje kuchukua ubunge Monduli

    Kama mwendelezo wa siasa za maji taka. Ndugu JK na Membe wamemrudisha Joseph Sokoine nyumbani kutoka alikokuwa ofisa ubalozi Canada ili aje kugombea na hatimae kuchukua ubunge wa Lowassa. Hii ni kama ilivyoainishwa na mwana JF mmoja - JK Na Edo Walipokuwa wamoja katika umoja wao wa kidhalimu...
  7. K

    Apartments za nyuma ya umoja wa vijana wa ccm

    Wakuu kama kuna anaejua bei ya kodi ya zile apartments za Pale nyuma ya jengo a umoja wa vijana wa CCM naomba atujuze. Kama kuna any other additional usefull informations about zile apartments naomba please
  8. K

    Rais ajaye ni lazima awe tofauti kabisa na rais Kikwete

    Wananchi wanataka mabadiliko na wanataka uongozi ujao uwe tofauti kabisa na uongozi wa sasa. Atakayepelekwa kwa wananchi na uongozi uliopo sasa kutaka kugombea urais hatafanikiwa kama atakuwa anafanana na uongozi huu wa awamu ya nne. Ukurasa wa 106 wa kitabu cha Mwalimu mkuu wa watu...
  9. K

    Balozi Hamisi Kaghasheki Lazima Ataangushwa Ubunge na Ndugu Anatoli Amani

    Ndugu Anatoli Amani Amejipanga vizuri kumuangusha Balozi Hamisi Kaghasheki katika kinyang'anyiro kijacho cha ubunge ndio maana Balozi anatokwa sana na povu. Balozi anasema hamuogopi Amani kwakuwa Amani ni kinyago chake alichokichonga mwenyewe. Anasema utachongaje kinyago alafu uanze kukiogopa...
  10. K

    Shortlist BOT na President Delivery Bureau

    Ikifika tarehe 31 January hujaitwa kwenye short list ya zile kazi za hawa mabwana nadhani its safe to assume kuwa hukufanikiwa. PDB walishaanza kuita watu na kuwa interview since December. Hawa Deloitte wameamua kuita kimya kimya na kumalizana nao kimya kimya. BOT Mpaka kufikia ijumaa ya...
  11. K

    Barua ya Wazi Kwa Mhe. Anna Tibaijuka: NHC Inahitaji Mabadiliko ya Haraka

    Kwako Mhe. Waziri Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka (Mb) Salaam Mama nakuandikia wewe kama Waziri mwenye dhamana yakuongoza, ku-monitor and evaluate shirika la NHC. Natumia muda wangu kukuandikia kwakuwa najua wewe unajali, wewe ni msikivu, upo karibu sana na wananchi, ni member wa jamii forums...
  12. K

    Wenye sura kama hizi ndio wanaolewa kwa wingi

    Ukiangalia asilimia - wenye sura kama hizi ndio wanaolewa kwa wingi. Common features - Tiny, Warefu, sassy, Wembamba, Sura ndefu, Unywele huu. Matokeo yake ni kwamba baada ya miaka 15 nchi itajaa vijana wenye sura nzuri tupu - demography na maphology ya wananchi Tanzania itabadilika...
  13. K

    Mjue Rais Goodluck Jonathan

    Mjue Rais Goodluck Azikiwe Jonathan Kama jina lake lilivyo, alipata Ugavana kwabahati tu na baadae akapata Urais kwa bahati tu Alikataa kufuata nyayo za wazazi wake. Ana PhD ya Zoology Balozi wa Marekani alimkashifu kuwa hana kipaji wala ari ya uongozi...
  14. K

    Ukimchagua January Makamba Umechagua Kuendelea na Utawala wa Kikwete

    Kama kuna kosa kubwa kuliko yote ambayo watanzania mtafanya basi ni kumchagua huyu mtoto January Makamba awe Rais. Mkimchagua January Makamba mtakuwa mmechagua kuendelea na utawala dhaifu wa Jakaya Kikwete - hawa watu wanashabihiana kwa karibu kila kitu. Watanzania enough is enough tusirudie...
  15. K

    Karne ya the Kikwetez, the Makambaz & the Kairukiz

    Mambo yanayoendelea Tanzania ni matapishi na uharo mtupu. Kila nikigeuka huku nasikia binti makamba au binti kairuki kateuliwa kuwa somebody serikalini, nikigeuka kule nikigeuka huku kijana wa makamba au wa kairuki kateuliwa kuwa waziri au big wig serikalini. Inamaana nchi hii wasomi na wanaofaa...
  16. K

    Kosa Kubwa Kuliko Yote Aliyofanya Benjamin Mkapa

    Kujiuzia, yeye na rafiki zake, nyumba za serikali. Nyumba nzuri zilizotengwa mahsusi kwenye maeneo mahsusi kwaajili ya viongozi wa serikali for hundreds and hundreds of years - zimeenda kuuzwa kwa walafi wachache ambao nao haraka haraka wameenda kuziuza. All in all it ended up being a big...
  17. K

    Dilemma ya Watanzania Wengi Ughaibuni: Kuishi Ulaya au Kurudi Nyumbani

    Watanzania wengi walioko nje ya nchi wana struggle sana na hili swali. Maisha ya Ulaya na Marekani kimsingi ni ya upweke na yana ugumu fulani ambao kama hujaishi huko huwezi kuyajua. Ugumu wa kubeba maboxi, kulea wazee, kufanya kazi viwandani, kukosa muda na familia ya Tanzania na familia yako...
  18. K

    Kumbe Jamal Malinzi ni Mdogo Wake Dionis Malinzi. Duuh

    Kumbe Rais Mpya wa TFF (mtarajiwa of course kama wajumbe wana akili) ni mdogo wake Dioniz Malinzi. Kwaiyo Mwenyekiti wa BMT na Rais wa TFF wote ndugu moja. Ila tukiacha masihara wagombe wote safari hii hawafai na tunampenda Malinzi kwakuwa ndio ana kauhafazali. Nyamlani ni tapeli kabisa. Na...
  19. K

    Finally: Ndugu Pharell Williams Amekaoa kale Kabinti

    Naona Ndugu yetu Pharell Amekaoa kale ka-super model anakokavalishaga nguo za ajabu ajabu. Mdada ni mrefu kama mvinje. Jamaa kaona ukapela sasa basi UPDATE: PICHA ZA HARUSI HATA WAMAREKANI WENZAO WAMUWASHANGAA
  20. K

    Masikini R Kelly: His Better Days are Over - Anafilisika

    The Greatest Musician of all time Mr. R Kelly - The R in R&B - ameanza kufilisika. Ameshindwa kufanya malipo aliyokopa kununua Nyumba yake iliyokuwa na thamani ya dola million 5 na sasa benki wamenyang"aanya nyumba na wako kwenye procedure za kuiuza kwa less tha 1 million dollars. Daah - Mzee wa...
Back
Top Bottom