Search results

  1. R

    Ajira na waganga wa kienyeji

    Mkuu binafsi kazi ishakuwa tizi na kadgree kangu mwaka wa 6 sasa
  2. R

    Matibabu mbadala ya ugonjwa wa uvimbe wa mishipa ya fahamu(neurofibromatosis).

    Nina mdogo wangu ana tatizo hilo linamtesa sana toka akiwa mdogo amefanyiwa operation mara kadhaa na bado unajirudia. Ulimtokea ktk eneo la pua na jicho. Nawakaribisha wataalamu kwa msaada kama kuna dawa maana hospital anaambiwa ni upasuaji tu sasa atapasuliwa mpaka lini? Ndo tunawaza hapo
  3. R

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Vipi kwa tatizo la neurofibromitosis kuna dawa zinazowezaondoa uvimbe hasa uliomtokea mdogo wangu kuzunguka jicho na pua amefanyiwa operation 3 ila unarudi tu.
  4. R

    Kujiunga NHIF ni kiasi gani?

    Kwa walalahoi ni kuliwa kichwa tu hapo.
  5. R

    Kujiunga NHIF ni kiasi gani?

    Kwa walalahoi ni kuliwa kichwa tu hapo.
  6. R

    Namba tatanishi

    +255693364917 Wadau nilipigiwa simu na hii namba jana asubuhi nikiwa kazini nikashindwa kuipokea ila kila nikiipigia naambiwa si sahihi. Katika kuipa umakini wadau wananambia namba zenye mfumo huu huwa ni za kuitwa ktk usaili, nikataka kujua kutoka humu kama kuna mwenye uzoefu na hili hasa kwa...
  7. R

    Msaada wa kisheria

    Kutokana na kuwepo kwa makundi ya vijana wasio na maadili hasa vibaka katika mitaa yetu, nafikiria kuanza kutembea na silaha aina ya KISU (special) popote pale kwa ajili ya kujilinda. Naomba kujua kutoka kwa wajuzi wa sheria kama hili jambo ni halali kisheria au kuna utaratibu wa kufuata...
  8. R

    Kwa wanaohitaji dagaa wakavu au waliokaangwa kwa ajili ya biashara.

    Dagaa waliokaangwa vizuri na wazuri walio katika grade nzuri kutoka ziwa Victoria wanapatikana kwa bei nafuu mno itakayokupa faida nzuri utakapouza kwa rejareja hata kwa jumla. Kama utahitaji kutoka mikoani nitakutumia..... Nipm tufanye biashara.
  9. R

    Tujifunze kwa wenzetu Wakenya jinsi wanavyoendesha mijadala hapa JF kwa Hekima

    kenya na tanzania ni vitu viwili tofauti kabisa, Kenya kuna amani tanzania hakuna.
  10. R

    Wahariri wa magazeti wameanza kuelewa somo

    nao ni binadamu na wana mapenzi mema na inchi hii hivyo huchukizwa na vitendo vinavyoendelea.
  11. R

    Kosa kubwa walilolifanya Tanganyika Law Society (TLS)

    Ningekuwa nina mtoto shuleni hapo ningemwondoa asijeambukizwa maradhi yako.
  12. R

    Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

    Dah nimeumia sana asee
  13. R

    Naombeni tofauti kati ya kuburuza, kukokota, kuvuta na kusukuma.

    Unajua sana vitu mkuu sema hujiamini na mimi nimekuelewa zaidi kwa sababu umetoa hadi mifano ya picha inayoeleweka kabisa. Vipi kuhusu kukokota
Back
Top Bottom